Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Wengi walio kushauri hapa sio wajanja ni nungwe wenzio.

Majemedari tunakushauri hivi.

Moja jishushe mlete karibu hakikisha unakua na uhuru wa kushika simu yake then futa kila kitu kinacho kuhusu. Ikiwezekana I restore. Ukifanikisha hili.

Muite hakikisha mmesimama na hamjakaa kimahaba yaani akili zote zipo sawa. Kisha muambie mimi na wewe hatujawahi kufanya mapenzi na sikujui hunijui hii mimba yako ya miezi Saba tafuta boya mwingine wa kumzawadia na kwa mke wangu nenda ila hakikisha umeandaa na gharama za kunilipa kwa kunichafua. Nakutakia maisha mema.

Ukimaliza hayo maneno usiongee kingine chochote ondoka na usigeuke nyuma.

Kisha ukirudi kwa mkeo mpange kwa kumuambia muambie mke wangu naona majaribu ya kazi yangu yamekua mengi sijui kwa nini na wala sijui nani yupo nyuma ya haya.

Akikuuliza kwa nini mwambie kwa mfano kuna siku nimekuta kichwa cha kuku kwenye Mlango wa kuingilia ofisin..siku nyingine nimekuta cha paka hapa lazima ashangae

Kisha muambie baada ya hayo kupita saizi kumekua na upotevu wa vitu ofisin halafu sijui hata vinapoteaje...ukimaliza kumuandaa hivyo basi ngoma imeisha.

Siku huyo binti akijileta ukweli jifanye ndio unamuona akisha ongea ujinga mgeukie mkeo mwambie mkewangu mbona kama sielewi au kuna kitu umefanya huko ndio maana haya majanga yameanza kutuandama hiki nini tena....,

Hapa mkeo lazima amjie juu huyo demu na kumfulusha atamuona kama kirusi kwenye familia. Kisha mkumbatie wife muambie mke wangu tusipo kuwa makini tutapoteza mali na kutesa watoto.

Mkeo akijaribu kuonesha interests na hiyo mimba mwambie atajua mwenyewe wewe haupo na hauhusiki kwa chochote na hizo story hutaki kuzisikia maana familia yako bado inakuhitaji na unamambo mengi inakudai huna nafasi na ujinga.

Hadi hapo umekua mshindi.

NB
Michepuko ni kwa ajiri ya wanaume wenye nyege na akili na sio nyege tu.....asante kwa kunichosha
Wee umesikiaaa wapi Hizo Picha kama zipoo demu lazima itakuwa kaziifadhi mahali pia kama kwenye emali au nini..So jamaa akijidai kuleta ubabe huo ndo atakomeshwaaa zaidi yanii hapo kama ana uhakika Mtoto sio wake bhasi amkataeee na demu akitaka kuharibu familia yake hata asijisumbue muache afanye anachowezaaa.
 
Chai hii...mimba miezi 7 haikuonekana mwezi mmoja ulopota?? Doesn't make sense.
 
Wee umesikiaaa wapi Hizo Picha kama zipoo demu lazima itakuwa kaziifadhi mahali pia kama kwenye emali au nini..So jamaa akijidai kuleta ubabe huo ndo atakomeshwaaa zaidi yanii hapo kama ana uhakika Mtoto sio wake bhasi amkataeee na demu akitaka kuharibu familia yake hata asijisumbue muache afanye anachowezaaa.
Rudia kusoma nilicho andika
 
Wengi walio kushauri hapa sio wajanja ni nungwe wenzio.

Majemedari tunakushauri hivi.

Moja jishushe mlete karibu hakikisha unakua na uhuru wa kushika simu yake then futa kila kitu kinacho kuhusu. Ikiwezekana I restore. Ukifanikisha hili.

Muite hakikisha mmesimama na hamjakaa kimahaba yaani akili zote zipo sawa. Kisha muambie mimi na wewe hatujawahi kufanya mapenzi na sikujui hunijui hii mimba yako ya miezi Saba tafuta boya mwingine wa kumzawadia na kwa mke wangu nenda ila hakikisha umeandaa na gharama za kunilipa kwa kunichafua. Nakutakia maisha mema.

Ukimaliza hayo maneno usiongee kingine chochote ondoka na usigeuke nyuma.

Kisha ukirudi kwa mkeo mpange kwa kumuambia muambie mke wangu naona majaribu ya kazi yangu yamekua mengi sijui kwa nini na wala sijui nani yupo nyuma ya haya.

Akikuuliza kwa nini mwambie kwa mfano kuna siku nimekuta kichwa cha kuku kwenye Mlango wa kuingilia ofisin..siku nyingine nimekuta cha paka hapa lazima ashangae

Kisha muambie baada ya hayo kupita saizi kumekua na upotevu wa vitu ofisin halafu sijui hata vinapoteaje...ukimaliza kumuandaa hivyo basi ngoma imeisha.

Siku huyo binti akijileta ukweli jifanye ndio unamuona akisha ongea ujinga mgeukie mkeo mwambie mkewangu mbona kama sielewi au kuna kitu umefanya huko ndio maana haya majanga yameanza kutuandama hiki nini tena....,

Hapa mkeo lazima amjie juu huyo demu na kumfulusha atamuona kama kirusi kwenye familia. Kisha mkumbatie wife muambie mke wangu tusipo kuwa makini tutapoteza mali na kutesa watoto.

Mkeo akijaribu kuonesha interests na hiyo mimba mwambie atajua mwenyewe wewe haupo na hauhusiki kwa chochote na hizo story hutaki kuzisikia maana familia yako bado inakuhitaji na unamambo mengi inakudai huna nafasi na ujinga.

Hadi hapo umekua mshindi.

NB
Michepuko ni kwa ajiri ya wanaume wenye nyege na akili na sio nyege tu.....asante kwa kunichosha
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Nimecheka kwa sauti
 
Binafsi sijaoa lakini nawaogopa sana hawa wanawake na ikitokea nimeteleza siendi hivihivi bila kinga maana najua madem wanamambo mengi unaweza ukapiga kavu kumbe haupo peke yako siku akijishtukia kanasa mimba na hamjui baba huwa anabambikia mtu yoyote, watu wengi wanalea watoto siyo wao kwa michezo hii ya kuwekewa mtego, sasa hata kama bado sijaoa najua nikiuvaa huo mtego utanitesa sana hata baadae nikioa lazima nitakua kwenye ndoa isiyo na amani, je vipi wewe una mke kabisa na unafanya ujinga kama huo?

Nakuita mjinga kwasababu hujiongezi maana hata ile 45k aliyokuomba mwanzo ilikua ni ya kutolea mimba na angefanikiwa kutoa mimba wala asingekutafuta tena kwasababu hakupendi, kakutafuta baada ya mimba kushindikana kutoka na kakupa mzigo umekula kavu ili akubambikie maana ameshajua wewe ni dhaifu na hapo hutoki mzee labda uanze kutumia akili maana sahivi hutumii akili bado
Ipo siku utajiita mjinga mwenyew, masaa yanasonga utaikumbuka comment yangu
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Amuoe tu aache uoga wa maisha
 
Alihisi kuwa huyu binti huenda ana ujauzito kwa sababu ya muonekano wa katumbo kwa mbali ila akawa anakaushia si nyonyo saa 6 akaona atamuudhi akawa anapiga kimya
We mpuuzi kwa maelezo haya tu inatosha kuthibitisha aliemlala huyo binti ni wewe,,,,,, hivyo chochote utakachoongea kuanzia sasa tutakichukua kama ushahidi...nyambaf
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Si Unakataa TU mimba, maana hata DNA IKO UPANDE WAKO kiongozi
 
Duh!!!,Kwamba Mjuba ameuziwa CD isiyo na nyimbo zake.Pole sana Legend mwenzetu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom