Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Alihisi kuwa huyu binti huenda ana ujauzito kwa sababu ya muonekano wa katumbo kwa mbali ila akawa anakaushia si nyonyo saa 6 akaona atamuudhi akawa anapiga kimya
Miezi sana hata nyonyo zinakuwa ni kubwa zimetuna kama tako la liZa. Tena ukinyonya nyonyo zinatoa mtindi.
 
Kwamba hakumvua nguo au? Yani tumbo la miezi 7 la mwanamke alievua nguo hakulitambua..!!!?
Wasichana wemambamba hawajulikani na mwanafunzi wangu mmoja alikuwa na mimba miezi 6 hatukujua na anavaa skin jeans blouse ila siku nikamtania wakati nampima na measure tape ulikuwa na tumbo 28 mbona limekuwa 30 una mimba Nini baada ya siku 2 tatu napata habari Shangazi take kampima mimba sababu hajanunua Pedi muda mrefu hivyo kuna watu mimba hazionekani sana haswa ya kwanza.
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Skia. Hama unapokaa. Piga block.
Kuna mdau kasema tusifanye feva yoyote ya kiuchumi kwa wanawake 2024 naona ushakuwa kikoba.
 
mtoa mada bhana haujui kujivua uhusika kabisa nadhani hiyo ni katika sababu za kuingia kizembe kwenye mtego.

Ungempotezea mazima hautakiwi kumkubali mwanamke ambaye mwanzo alikukataa asee,ni upuuzi.

ALiyekukataa mwanzo akija kwa mara ya pili kuna jambo analitaka na sio mspenzi,so the best option ni kumuavoid by any means na kumpotezea kwa unoko kabisa.


USHAURI : fauta mwanasheria muelezee mkasa mzima aone kama kuna kosa linaweza kukukabili.

Kama hakuna kosa lolote basi anza kumkataa mapema huyo binti ila hakikisha unafanya njama za kufuta text zako kwenye simu yake isije kuwa ushahidi.

Then baada ya hapo mkatae mazima kwamba humjui kingono na hamjawahi kufanya hichi kitu pahala popote.

Tena UMKATALIE MKIWA WAWILI TU KWAMBA MBONA HATUJAWAHI KUFANYA HICHO KITU ? UKIMKATAA MKIWA WAWILI ATAKOSA NGUVU YA KUKUSINGIZIA PENYE WATU WENGI.

Bora aibu ya kusingiziwa kuzini na binti kuliko fedheha ya kukubali mimba hiyo.

usihofie kwamba jamii haitakuelewa endapo ukikataa,je ukikubali jamii ndio itakuelewa zaidi ? NO kama mbwai mbwai tu kuna matatizo ukiyapitia ndio unajifunza udwazi katika haya maisha,yani maisha na experience unazopitia ndio zinakufunza uwe mtu gani.

Sema huyo demu kashaona kwamba jamaa ni fala ndio maana anampa vitisho.

Kajuaje kama jamaa ni fala ? Kwa sababu alikubali kutuma pesa kwa demu aliyemkataa,na akakubali kuanza mahusiano na femu aliyemkataa,hizo ni wekansesa kubwa ambazo wanawake wanazinote kwetu.

So wanaume tuepuke kufanya makosa haya.
Yes kataa. Ulikataa jamii itasema.ngoja tuone mtoto arakayezaliwa. Lakini hapo mtaani pia wanamjua huyo Binti so watakulinda.
Kimbia- Langa
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Chai ya moto sana hii
2cb39eba722b2e08516b9f0936cd6515.jpg
 
Inategemea mwingne anabeba mimba ubavuni, ila ya miezi 7 hata muhusika anakua amechoka, kingne huyo baba wakati wa tendo hakuhisi chochote? Mbna mwenye ujauzito anajulisha tyuuh mapigo ya moyo had joto la mwili.
mgeni wa jiji huyu
 
Hawa viumbe washenz sana kuna kamoja nilikapenda nikaomba mchezo kakaanza mbwembwe nikakapotezea kuna jamaa yangu akakatongoza kakala hela zake sana kakaja kumpa yaan tumekaa mwezi tu kanakuja na story kanamimba na nyumbani wamekafukuza kwa hiyo mshikaji auvae uhusika akapangishie na plus mazaga ya ndani na kukatunza [emoji1787][emoji1787]jamaa alinifata akasema hivi ww ni mchawi nn huyu dem mm niliona km nimekukomesha ila kumbe nimejikomesha.
Mwamba ikabidi akapangishie na matumizi juu ngoma imeenda mienzi tano jamaa hatu kuona tumbo linaongezeka hakuna akakafanyia fujo sana wakapime tena kakakubali mshikaji siku anakapigia ili wakutane wanende wakapime hakapatikani hewan kumbe kalihama usiku na mazaga yote hakakuacha hata soksi msela anaenda kule ghetoni anakuta peupeeee.Tangu hapo hataki malaya tena katulia na mke wake.
 
Nayapenda mishangazi hayanaga pigoo hizooo,ukilipanga tuwe tunawasiliana saa 10 mke hayupo...goma linatiii.Istoshe yanajua kazii haswaa!
 
Hawa viumbe washenz sana kuna kamoja nilikapenda nikaomba mchezo kakaanza mbwembwe nikakapotezea kuna jamaa yangu akakatongoza kakala hela zake sana kakaja kumpa yaan tumekaa mwezi tu kanakuja na story kanamimba na nyumbani wamekafukuza kwa hiyo mshikaji auvae uhusika akapangishie na plus mazaga ya ndani na kukatunza [emoji1787][emoji1787]jamaa alinifata akasema hivi ww ni mchawi nn huyu dem mm niliona km nimekukomesha ila kumbe nimejikomesha.
Mwamba ikabidi akapangishie na matumizi juu ngoma imeenda mienzi tano jamaa hatu kuona tumbo linaongezeka hakuna akakafanyia fujo sana wakapime tena kakakubali mshikaji siku anakapigia ili wakutane wanende wakapime hakapatikani hewan kumbe kalihama usiku na mazaga yote hakakuacha hata soksi msela anaenda kule ghetoni anakuta peupeeee.Tangu hapo hataki malaya tena katulia na mke wake.
Ogopaaa ni Atariiii,Duh!
 
Weeee acha uwongo,mimba ya miez Saba inajulikana hata asipovua nguo lazima kitambi kichomoze tu,maana mtoto anakuwa teyar mkubwa na wengine anakuwa kashageuka chini.Ww hiyo mimba ya dizyn gani ushindwe kugundua hata pua?hata kwenye mapigo ya moyo maeneo ya shingon huwa inajulikana.
 
Alihisi kuwa huyu binti huenda ana ujauzito kwa sababu ya muonekano wa katumbo kwa mbali ila akawa anakaushia si nyonyo saa 6 akaona atamuudhi akawa anapiga kimya
Wala asiogope- asubirie mtoto azaliwe aandae laki 3 akapime DNA . My wife wake akijulishwa amwambie wasubirie DNA test ndo amuhukumu simple
 
Inategemea mwingne anabeba mimba ubavuni, ila ya miezi 7 hata muhusika anakua amechoka, kingne huyo baba wakati wa tendo hakuhisi chochote? Mbna mwenye ujauzito anajulisha tyuuh mapigo ya moyo had joto la mwili.
Exactly my point! Kama ni mnene unaweza usimjue kwa kumtazama ila kulala nae kitandani lazima ujue, matiti yako tofauti na ukibinya yanaweza toa majimaji ndio maana mi nikahoji labda walifanya usiku wa manane gizani.

Nyie miezi 7 mchezo nini.
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
hakuna ishu hapo huyo umbwa vibao viwili anaenda kucheza anapochezaga
 
Wengi walio kushauri hapa sio wajanja ni nungwe wenzio.

Majemedari tunakushauri hivi.

Moja jishushe mlete karibu hakikisha unakua na uhuru wa kushika simu yake then futa kila kitu kinacho kuhusu. Ikiwezekana I restore. Ukifanikisha hili.


Muite hakikisha mmesimama na hamjakaa kimahaba yaani akili zote zipo sawa. Kisha muambie mimi na wewe hatujawahi kufanya mapenzi na sikujui hunijui hii mimba yako ya miezi Saba tafuta boya mwingine wa kumzawadia na kwa mke wangu nenda ila hakikisha umeandaa na gharama za kunilipa kwa kunichafua. Nakutakia maisha mema.

Ukimaliza hayo maneno usiongee kingine chochote ondoka na usigeuke nyuma.


Kisha ukirudi kwa mkeo mpange kwa kumuambia muambie mke wangu naona majaribu ya kazi yangu yamekua mengi sijui kwa nini na wala sijui nani yupo nyuma ya haya.

Akikuuliza kwa nini mwambie kwa mfano kuna siku nimekuta kichwa cha kuku kwenye Mlango wa kuingilia ofisin..siku nyingine nimekuta cha paka hapa lazima ashangae

Kisha muambie baada ya hayo kupita saizi kumekua na upotevu wa vitu ofisin halafu sijui hata vinapoteaje...ukimaliza kumuandaa hivyo basi ngoma imeisha.

Siku huyo binti akijileta ukweli jifanye ndio unamuona akisha ongea ujinga mgeukie mkeo mwambie mkewangu mbona kama sielewi au kuna kitu umefanya huko ndio maana haya majanga yameanza kutuandama hiki nini tena....,

Hapa mkeo lazima amjie juu huyo demu na kumfulusha atamuona kama kirusi kwenye familia. Kisha mkumbatie wife muambie mke wangu tusipo kuwa makini tutapoteza mali na kutesa watoto.

Mkeo akijaribu kuonesha interests na hiyo mimba mwambie atajua mwenyewe wewe haupo na hauhusiki kwa chochote na hizo story hutaki kuzisikia maana familia yako bado inakuhitaji na unamambo mengi inakudai huna nafasi na ujinga.

Hadi hapo umekua mshindi.

NB
Michepuko ni kwa ajiri ya wanaume wenye nyege na akili na sio nyege tu.....asante kwa kunichosha
 
Back
Top Bottom