Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
T

Very Hot T with Kivumbasi
 
mtoa mada bhana haujui kujivua uhusika kabisa nadhani hiyo ni katika sababu za kuingia kizembe kwenye mtego.

Ungempotezea mazima hautakiwi kumkubali mwanamke ambaye mwanzo alikukataa asee,ni upuuzi.

ALiyekukataa mwanzo akija kwa mara ya pili kuna jambo analitaka na sio mspenzi,so the best option ni kumuavoid by any means na kumpotezea kwa unoko kabisa.

USHAURI : fauta mwanasheria muelezee mkasa mzima aone kama kuna kosa linaweza kukukabili.

Kama hakuna kosa lolote basi anza kumkataa mapema huyo binti ila hakikisha unafanya njama za kufuta text zako kwenye simu yake isije kuwa ushahidi.

Then baada ya hapo mkatae mazima kwamba humjui kingono na hamjawahi kufanya hichi kitu pahala popote.

Tena UMKATALIE MKIWA WAWILI TU KWAMBA MBONA HATUJAWAHI KUFANYA HICHO KITU ? UKIMKATAA MKIWA WAWILI ATAKOSA NGUVU YA KUKUSINGIZIA PENYE WATU WENGI.

Bora aibu ya kusingiziwa kuzini na binti kuliko fedheha ya kukubali mimba hiyo.

usihofie kwamba jamii haitakuelewa endapo ukikataa,je ukikubali jamii ndio itakuelewa zaidi ? NO kama mbwai mbwai tu kuna matatizo ukiyapitia ndio unajifunza udwazi katika haya maisha,yani maisha na experience unazopitia ndio zinakufunza uwe mtu gani.

Sema huyo demu kashaona kwamba jamaa ni fala ndio maana anampa vitisho.

Kajuaje kama jamaa ni fala ? Kwa sababu alikubali kutuma pesa kwa demu aliyemkataa,na akakubali kuanza mahusiano na femu aliyemkataa,hizo ni wekansesa kubwa ambazo wanawake wanazinote kwetu.

So wanaume tuepuke kufanya makosa haya.
Dah Asante mkuu
 
Hakuna cha jamaa yako wala nn!! ww ndo mhusika na ushauri hatukupi sababu ulifanya ufala[emoji23]

NB: kwa mkeo lazima habari zimfikie[emoji23]
 
Kwamba hakumvua nguo au? Yani tumbo la miezi 7 la mwanamke alievua nguo hakulitambua..!!!?
Jamaa alihisi kwamba huyu binti akakuwa nacho pia mabinti wengine mimba za kwanza huwa zinaonekana kwa mbali sana, any way kichwa cha chini kikifura huwezi ukawaza zaidi ya kuchomeka
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
G
 
Nadhani upishi umekushinda sasa.

Chai gani hii, Haina viungo wala sukari.?

kermit.gif

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mimba miezi saba unashindwaje kujua kabla hujamkaza? Au mlikua mnakutana gizani kama mabundi? Au we ni kipofu? Hata kupapasa ulishindwa? Ila hapana ungekua kipofu usingeweza kupost jf.

Mtu una mke na watoto halafu bado ni nyege mkononi mpaka kwa watoto wadogo. Vuna ulichopanda.

Pia acha kujificha kwenye kivuli cha jamaa yako, mwenye huu msala ni wewe. Bichwa maji.
 
Katika vitu mtu asinitishie ni hiyo eti mke/familia yangu itajua. 😂🤣

Ila nawe mzembe, mimba miezi 7 usijue. 🤣
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Kwenye uzinzi, kila mtu ashinde mwchi zake....

Kwa kuwa alienda nyavu bin nyama akapime sotoka. Huo ndo ushauri
 
Huyo jamaa ni mjinga Sana yaani mimba ya miez Saba ashindwe kujua tangu mwanzo?

Daah nyege mbaya sana

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
mtoa mada bhana haujui kujivua uhusika kabisa nadhani hiyo ni katika sababu za kuingia kizembe kwenye mtego.

Ungempotezea mazima hautakiwi kumkubali mwanamke ambaye mwanzo alikukataa asee,ni upuuzi.

ALiyekukataa mwanzo akija kwa mara ya pili kuna jambo analitaka na sio mspenzi,so the best option ni kumuavoid by any means na kumpotezea kwa unoko kabisa.

USHAURI : fauta mwanasheria muelezee mkasa mzima aone kama kuna kosa linaweza kukukabili.

Kama hakuna kosa lolote basi anza kumkataa mapema huyo binti ila hakikisha unafanya njama za kufuta text zako kwenye simu yake isije kuwa ushahidi.

Then baada ya hapo mkatae mazima kwamba humjui kingono na hamjawahi kufanya hichi kitu pahala popote.

Tena UMKATALIE MKIWA WAWILI TU KWAMBA MBONA HATUJAWAHI KUFANYA HICHO KITU ? UKIMKATAA MKIWA WAWILI ATAKOSA NGUVU YA KUKUSINGIZIA PENYE WATU WENGI.

Bora aibu ya kusingiziwa kuzini na binti kuliko fedheha ya kukubali mimba hiyo.

usihofie kwamba jamii haitakuelewa endapo ukikataa,je ukikubali jamii ndio itakuelewa zaidi ? NO kama mbwai mbwai tu kuna matatizo ukiyapitia ndio unajifunza udwazi katika haya maisha,yani maisha na experience unazopitia ndio zinakufunza uwe mtu gani.

Sema huyo demu kashaona kwamba jamaa ni fala ndio maana anampa vitisho.

Kajuaje kama jamaa ni fala ? Kwa sababu alikubali kutuma pesa kwa demu aliyemkataa,na akakubali kuanza mahusiano na femu aliyemkataa,hizo ni wekansesa kubwa ambazo wanawake wanazinote kwetu.

So wanaume tuepuke kufanya makosa haya.
Mkuu unabusara Sana

Sijawai kumfollow mtu wacha nikufate nipate madini zaidi

Back
Top Bottom