Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Alihisi kuwa huyu binti huenda ana ujauzito kwa sababu ya muonekano wa katumbo kwa mbali ila akawa anakaushia si nyonyo saa 6 akaona atamuudhi akawa anapiga kimya
Mbona mhusika kama ni wewe mwenyewe ndugu?
 
Kajamaa katakua kamechill sehemu kanasubiri jamaa ahudumie weee,mwisho wa siku kaendelee kumfanya huyo dada.Aisee.
 
Wasichana wemambamba hawajulikani na mwanafunzi wangu mmoja alikuwa na mimba miezi 6 hatukujua na anavaa skin jeans blouse ila siku nikamtania wakati nampima na measure tape ulikuwa na tumbo 28 mbona limekuwa 30 una mimba Nini baada ya siku 2 tatu napata habari Shangazi take kampima mimba sababu hajanunua Pedi muda mrefu hivyo kuna watu mimba hazionekani sana haswa ya kwanza.
Ila miezi 7 mingi jamani. Tena ndo umevua ngua zote kabisa, yaani imebaki miezi miwili tu kujifungua..!! Juu ya mavazi inaweza kufichika ila sio ukivua.
 
Kwanza pole mkuu.
Nilishawahi kukutana na mkasa kama huo. Nilimseti binti alaf tukakutana tuseme kama mwezi wa pili mwanzoni.
Baada ya kumaliza tendo akawa ananiuliza "hivi hujanik*j*lea ndani?", nikamjibu "hapana".

Sasa akawa anasisitiza sana ndo nikaanza kupata mashaka nikawa nasubiri aseme kinachomsibu. Baada ya wiki 3 ndo akaja kunambia anahisi ana mimba. Nikashtuka lakin nikasema itajulikana tuu. Nikamwambia twende tukapime nijiridhishe alaf ndo tufanye uamuzi.

Tukaenda hospitali nikamwambia mtu wa maabara atumie kipimo cha damu maana ndo kinatoa majibu mazuri zaidi. Akachukuliwa damu na majibu yakasema ana mimba ya wiki 7. Nikamuuliza "tangu tukutane tuna muda gani"?. Akajibu ye hajui. Nikamuonesha SMS za siku husika. Hapo hakuwa na jibu, ikabidi nimwambie "naomba umtafute muhusika" nikaondoka nikamuacha hapo.
Akawa anadai nimsaidie kumpa kiasi chochote ili atoe. Nikamwambia "kwa mchezo uliotaka kunichezea sikupi hata mia yangu". Nikakata mawasiliano nae mazima.
 
Ila miezi 7 mingi jamani. Tena ndo umevua ngua zote kabisa, yaani imebaki miezi miwili tu kujifungua..!! Juu ya mavazi inaweza kufichika ila sio ukivua.
Unaonekana kama umemenenepa na mambo mengine yanataka mtu awe anajua yaani kuna watu hawana matumbo unahisi ndo alivyo
 
Back
Top Bottom