Umekamatika hapa, ingawa story yako ina kitukuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7
Mwanamke mwenye mimba ya miezi 7 anakuwa na vichuchu saa sita?Alihisi kuwa huyu binti huenda ana ujauzito kwa sababu ya muonekano wa katumbo kwa mbali ila akawa anakaushia si nyonyo saa 6 akaona atamuudhi akawa anapiga kimya
Watu wanakula mpaka matope....!!Michepuko sio deal kuna matope baki njia kuu
Hakuja kasi alianza yeye....45 ya mwanzo aliyomwomba ilikuwa ni ya kutolea mimba....jamaa amekula Mara 4 yote kwa muda mfupi tu wa mahusiano(joto la mimba lilimchanganya maana mwanamke mjamzito ni anajoto sana)NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Ndiyo,tena ndo yanasimama kweli na kuvimba balaaMwanamke mwenye mimba ya miezi 7 anakuwa na vichuchu saa sita?
Kwahiyo hajui kutofautisha kati ya matiti ya meanamke mwenye mimba na asiye na mimba?Ndiyo,tena ndo yanasimama kweli na kuvimba balaa
Hongera unaeweza mkuuKwahiyo hajui kutofautisha kati ya matiti ya meanamke mwenye mimba na asiye na mimba?
Kwani DNA hamna?Mwambie jamaa yako tumekataa kumsaidia hivyo apokee tu mshahara wake wa dhambi.
Ushauri wa bure kwa wanaume walioko katika ndoa kuwa makini sana na mipango ya pemben kamwe usipige kavu. Kuna jamaa kawa kama mjinga anahudumia mtoto hana uhakika kama ni wake, akichelewesha tu mahitaji anatishiwa ataletwa kwa wife wake mambo yawe hadharani.
Mwaka wa sensa nlipatwa na balaa kama hilo, tena nliitwa na mama ake, mama ambae ni pacha wa mama ake mzazi nkaangushiwa zigo tena kwa kishindo,Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri
Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......
Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3
1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi
Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana
Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali
Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana
Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi
Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani
Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu
Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe
Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?
Ushauri tafadhali
NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
my dear mimba za 1 hua hazioneshi.unashangaa ana mtoto tuMiezi 7 wakati anapiga walikuwa wanazima taa zote usiku wa manane?!
Nashangaa yaan miezi 7 asijue? Akati mimba ya miezi 3 inajulikana, LolHivi mimba ya miezi 7 haiojinyeshi..!?
Hajakamatika kizembe bali ni nyege... Achana na kichwa cha chini....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie jamaa yako tumekataa kumsaidia hivyo apokee tu mshahara wake wa dhambi.
Ushauri wa bure kwa wanaume walioko katika ndoa kuwa makini sana na mipango ya pemben kamwe usipige kavu. Kuna jamaa kawa kama mjinga anahudumia mtoto hana uhakika kama ni wake, akichelewesha tu mahitaji anatishiwa ataletwa kwa wife wake mambo yawe hadharani.
Wewee ndo umeandika vzuri kabisaa.mtoa mada bhana haujui kujivua uhusika kabisa nadhani hiyo ni katika sababu za kuingia kizembe kwenye mtego.
Ungempotezea mazima hautakiwi kumkubali mwanamke ambaye mwanzo alikukataa asee,ni upuuzi.
ALiyekukataa mwanzo akija kwa mara ya pili kuna jambo analitaka na sio mspenzi,so the best option ni kumuavoid by any means na kumpotezea kwa unoko kabisa.
USHAURI : fauta mwanasheria muelezee mkasa mzima aone kama kuna kosa linaweza kukukabili.
Kama hakuna kosa lolote basi anza kumkataa mapema huyo binti ila hakikisha unafanya njama za kufuta text zako kwenye simu yake isije kuwa ushahidi.
Then baada ya hapo mkatae mazima kwamba humjui kingono na hamjawahi kufanya hichi kitu pahala popote.
Tena UMKATALIE MKIWA WAWILI TU KWAMBA MBONA HATUJAWAHI KUFANYA HICHO KITU ? UKIMKATAA MKIWA WAWILI ATAKOSA NGUVU YA KUKUSINGIZIA PENYE WATU WENGI.
Bora aibu ya kusingiziwa kuzini na binti kuliko fedheha ya kukubali mimba hiyo.
usihofie kwamba jamii haitakuelewa endapo ukikataa,je ukikubali jamii ndio itakuelewa zaidi ? NO kama mbwai mbwai tu kuna matatizo ukiyapitia ndio unajifunza udwazi katika haya maisha,yani maisha na experience unazopitia ndio zinakufunza uwe mtu gani.
Sema huyo demu kashaona kwamba jamaa ni fala ndio maana anampa vitisho.
Kajuaje kama jamaa ni fala ? Kwa sababu alikubali kutuma pesa kwa demu aliyemkataa,na akakubali kuanza mahusiano na femu aliyemkataa,hizo ni wekansesa kubwa ambazo wanawake wanazinote kwetu.
So wanaume tuepuke kufanya makosa haya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baby Zima taa kwanza
Subiri navua mwenyewe
Oooh me sijazoea taratibu baby
Mfyuuuu taratibu ya Nyoko
Na hiyo mimba ya miezi 6