Jamaa atupwa JELA MAISHA kwa kumlawiti mtoto wa dada yake

Ukiwa hapo hapo Iringa. Hebu muulize huyo hakimu, anategemea huyu mfungwa atapata wapi hiyo milioni kumi?
Waiting for your answer brother.
Mungu wangu ....mkuu hakimu Wala jaji hua hafungi mtu isipokua Sheria wao kazi yao kutafsiri tu ......usimuonee hakimu
 
ndoshida umasikini huu badala ukalale lodge unaenda kulala kwadada sebuleni anaminywa usiku mzima unasikia kinachofata kilichopo mbeleyako hakiyako

au....... Uchawi
 
Anaeona hili linasababishwa na afya ya akili, na yeye atakuwa ana tatizo la afya ya Akili.
Watu kama hawa ni wa kupiga tu risadinwafie mbali.
Naona hata baadhi ya dini zilielekeza adhabu ya mawe,yani adhabu ya kifo.
Kuendelea kuwaendekeza hawa wapumbavu ni kuendelea kuliangamiza taifa
 
Mikoa ya Iringa na Njombe kuna balaaa, mikoa hiyo inahitaji maombi sana.
viongozi wa dini waliopo ktk mikoa hiyo wafanye maombi.
mikoa hiyo ndio vinara wa magonjwa ya Ukimwi na dio inaongoza kwa ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia.
 
Hakuwa na kesi ya kubaka kinguvu, yani rape.

Anaweza kuwa na kosa la kulawiti (sodomy), kubaka kisheria kwa maana ya kujamiana na mtoto (statutory rape) na kujamiana na ndugu wa damu (incest). Hakukutwa na kosa la kufanya ngono kinguvu, yani rape.

Kwa hiyo binti haku resist, hakupiga kelele.

Neglected child. Mzazi hajali. Hakuwahi kumfundisha binti kukataa kuchezewa sehemu nyeti. Mama katoka kidogo mjomba anaingia chumbani unashikwa nyonyo unapanua mapaja, binti wa miaka 12. The mother bears responsibility.
 
Hakuwa na kesi ya kubaka kinguvu, rape.

Kuna kulawiti (sodomy), kubaka kisheria kwa maana ya kujamiana na mtoto (statutory rape) na kujamiana na ndugu wa damu (incest). Hakuna kufanywa kinguvu, ordinary rape.

Kwa hiyo binti haku resist, hakupiga kelele.

Neglected child. Mzazi hajali. Hakuwahi kumfundisha binti kukataa kuchezewa sehemu nyeti. Mama katoka kidogo mjomba anaingia chumbani unashikwa nyonyo unapanua mapaja, miaka 12. The mother bears responsibility.
 
Punguza ujuaji, uzi umeweka maelezo yanayoeleweka kabisa, kilichotokea ni ulawiti.
 
Iringa Sasa Ni tuu Mach.
Kuna Yule aliyehukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mama yake mzazi.
Kuna Yule wa miaka 30 aliyempa mimba mwanafunzi. Kuna dereva Bajaj nae miaka 30. Sasa Tena Kuna huyu wa 30 kwa kumbaka mtoto.
Hata Geita wataanza kuwaonea wivu kwa matukio.
 
Back
Top Bottom