Jamaa anayesoma magazeti clouds fm ni mnafiki wa kutupwa

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
yule jamaa sielewi jina lake,lakini Hando anaanzisha kipindi vizuri na tunapenda kusikiliza inapofika wakati wa magazeti huyu kilaza anayesoma magazeti anakuja na kama kuna habari ya kuhusu chadema anaisoma kwa madharau wazi wazi kabisa!sauti yake inaonyesha naye yupo kwenye dhiki kama sisi sasa sielewi kwa nini alete madharau kwa chadema walio amua kuleta mabadiliko,,ovyo kabisa!
 
tatizo lako ni wewe kuwa bado unasikiliza hii radio, lakini tatizo zaidi ni kuwa hakuna option ya kusikiliza radio maana hata hiyo BBC (Sky FM) kwenye 101.4 mhz haipatikani vizuri siku hizi. taabu kweli kweli
 
namshangaa sana jamaa anavyotazama upande mmoja,kweli tuna kazi
 
Huyo atakuwa Paul james (PJ). Jamani kwani hamjui Clouds FM ni Radio Uhuru ya pili?
Mbwa ukimjua jina lake wala hakusumbui
 
tatizo lako ni wewe kuwa bado unasikiliza hii radio, lakini tatizo zaidi ni kuwa hakuna option ya kusikiliza radio maana hata hiyo BBC (Sky FM) kwenye 101.4 mhz haipatikani vizuri siku hizi. taabu kweli kweli

Mi hata huyo G. Hando,simkubali kabisa! Ana jokes ziisizokuwa na kichwa wala mkia! Anaforce ucheshi kwenye kipindi,wakati si asili yake..
Yeye alikuwa msoma magazeti kwenye PB ya akina Mango na Kipanya. Alifit vizuri.

Sikatai kwamba ana ufahamu,ila analazimisha character isiyokuwa yake kwenye kipindi..!
 
sikilizeni MAGIC FM WAKUU walau jamaa wapo fair kidogo! acheneni na hayo mazuzu!
 
Hawa na ndugu zao Channel Ten, huwa hawasomi magazeti pendwa ya JUMATANO! Sababu ni nini?
Hata hivyo kuna TETESI nimezisikia kuwa muda si muda MAGI FM, itamilikiwa na CHAMA! Kama kuna mwenye data atujuze!
 
Na hasa anapoanza kusoma magazeti utamsikia gazeti kongwe la uhuru,then habari leo la serikali haya mengine anapita juu juu tu.Ni kweli wanaweza kuwa redio uhuru no 2,hata jahazi siku hizi hakuna kitu na hasa baada ya kuondoka Gadner.Hiyo redio magamba siku hizi.
 
Kumbe malalamiko yote haya ni juu ya Chadema? Wtf is the Chadema anyway? Mnalalamikia ulaji wa Josephine?
 
asanteni kwa taarifa leo ndo nimepata uhakika kuwa hawa jamaa ni magamba . redio RFa inajitahidi sana jaribuni kuisikiliza
 
yule jamaa sielewi jina lake,lakini Hando anaanzisha kipindi vizuri na tunapenda kusikiliza inapofika wakati wa magazeti huyu kilaza anayesoma magazeti anakuja na kama kuna habari ya kuhusu chadema anaisoma kwa madharau wazi wazi kabisa!sauti yake inaonyesha naye yupo kwenye dhiki kama sisi sasa sielewi kwa nini alete madharau kwa chadema walio amua kuleta mabadiliko,,ovyo kabisa!

Radio zangu za kusikiliza ni hizi
Magic FM 92.9 kuanzia saa 12;00-09.00 akina Orest Kawau, Mary Edward na Meshack Nzowa+ Kibwana Dachi
RFA 98.6 kuanzia saa 12;30-07.00 uchambuzi wa magazeti Faraji Magoha, Mary Mwakalinga na wengineo
EA Radio 87.8 Kuanzia saa 09.00-13.00 akina Zembwela na Michael Baruti
Times FM 100.5 kuanzia saa 14.00-16.00 akina Bi. Hindu, Dida
 
Mi hata huyo G. Hando,simkubali kabisa! Ana jokes ziisizokuwa na kichwa wala mkia! Anaforce ucheshi kwenye kipindi,wakati si asili yake..
Yeye alikuwa msoma magazeti kwenye PB ya akina Mango na Kipanya. Alifit vizuri.

Sikatai kwamba ana ufahamu,ila analazimisha character isiyokuwa yake kwenye kipindi..!

Yeah wakati wa Fina Mango na Kipanya alikuwa anawakilisha vizuri sana kama mtu mwenye mawazo mbadala. Siku hizi amekuwa na mambo ya kitoto sana!
 
Na hasa anapoanza kusoma magazeti utamsikia gazeti kongwe la uhuru,then habari leo la serikali haya mengine anapita juu juu tu.Ni kweli wanaweza kuwa redio uhuru no 2,hata jahazi siku hizi hakuna kitu na hasa baada ya kuondoka Gadner.Hiyo redio magamba siku hizi.

Umewahi kuwasikia siku za karibuni wakisoma mwanahalisi? eti vichwa vya habari vikiwa chadema utamsikia PJ oooh mimi mambo ya siasa siyataki halafu anarukia gazeti kongwe! Kwa arusha sikiliza CAPITAL FM wako poa sana. nadhani ni 102.5

let me b hnst jaman....nawapenda awa watu ila kinachoboa ni icho....

1.hawapo rational kwenye magazet yao
2.hawajui habari ipi waipe uzito wa kuidadavua
3.wana mlengo wa KI CCM...dzain wpo kwenye payrol ya mtu fulani km si lowaaaaaaaaaaaaaaa basi yule naniiinanniiii mwulizen hando atawajuza
4.jicho la ng'ombe lina utata kdg kuna mada nyngne jamaa anazdadavua bila kupata details au kujua kitu kwa undani
au anamchamba mtu ambapo ukitazama kwa undani utasema uyu ana ugomvi naye personaly....yaani ahh km katumwa kumchamba mtu au kumkandamiza mtu basi hatumii akili katika kuchafua watu.mtu .chama au groupla watu....

5.na yule mswanglish ahhh ndo anaboa kabsaaaaaaaaaaaaa...mamaaaaaa wa VILEVILE.....:peep:
 
yule jamaa sielewi jina lake,lakini Hando anaanzisha kipindi vizuri na tunapenda kusikiliza inapofika wakati wa magazeti huyu kilaza anayesoma magazeti anakuja na kama kuna habari ya kuhusu chadema anaisoma kwa madharau wazi wazi kabisa!sauti yake inaonyesha naye yupo kwenye dhiki kama sisi sasa sielewi kwa nini alete madharau kwa chadema walio amua kuleta mabadiliko,,ovyo kabisa!

Mabadiliko ya chadema tumeyaona, yameanzia makao makuu, Josephine katengeneza software ya mahesabu, kafukuza watu kazi, analipa posho ya hausigeli. Kwi kwi kwi teh teh teh! hayo si mageuzi madogo.
 
yule jamaa sielewi jina lake,lakini Hando anaanzisha kipindi vizuri na tunapenda kusikiliza inapofika wakati wa magazeti huyu kilaza anayesoma magazeti anakuja na kama kuna habari ya kuhusu chadema anaisoma kwa madharau wazi wazi kabisa!sauti yake inaonyesha naye yupo kwenye dhiki kama sisi sasa sielewi kwa nini alete madharau kwa chadema walio amua kuleta mabadiliko,,ovyo kabisa!

usimlaumu PJ...yeye anatumwa tu kusoma jaman lakin hana mandate ya kuchagua asome lipi...mwachen pj wala hana kosa......:scared:
 
Back
Top Bottom