pius mabula
Senior Member
- Jul 2, 2012
- 196
- 26
Mteja anaenda Studio kurecord na demu hafu then wanaachiwa room wafanye ufuska! Huyo sio mteja huyo atakua Producer au mwenye Studio, hao ndo Wanawake Babu yangu alikua anawaita Mashetani.
.....amempa mke wake hela sh 30,000/= kwa ajili ya kwenda Kariakoo kufanya manunuzi ya maandalizi ya sikukuu ya Idd; vyakula, nguo za watoto (maana amedai kuwa na watoto watatu), ikiwemo nguo za mkewe (alitaja gauni), ...
Wanawake wanafuata tgo nje ya ndoa. Nyie endeleeni kusema ni dhambi ndani ya ndoa.
Amepata mke mjasiriamali, aliangalia hela aliyopewa akapiga hesabu ya bajeti nzima inayotakiwa ni kubwa kuliko hiyo hela. Alichofanya ni kutafuta namna ya kufidia tofauti iliyojitokeza ili mzee ale vinono siku ya sikukuu.Wakuu,
Mme wa mama aliyefumaniwa amedai kwamba, majira ya saa saba mchana amempa mke wake hela sh 30,000/= kwa ajili ya kwenda Kariakoo kufanya manunuzi ya maandalizi ya sikukuu ya Idd; vyakula, nguo za watoto (maana amedai kuwa na watoto watatu), ikiwemo nguo za mkewe (alitaja gauni), lakini baadae, mida ya saa tisa na nusu alipewa taarifa na rafiki yake wa karibu kwamba mke wake ameonekana maeneo hayo, ndipo alipotafuta wenzake na kuamua kuja kupavamia mahali hapo.
Mwenyeezi Mungu atampa subra huyo mume. Ni habari nzito sana.
Da' Faiza kumbe nawe huwa wapita huku!
Anyway ni habari mbaya kwa mume. Kwangu mimi huwa nasema siwezi kamwe kwenda kufanya fumanizi. Madam bibie kaamua kwenda nje, manake sina thamani tena kwake, hivyo suluhu ni kumwacha tu aende bila mikwaruzano. Hakuna haja ya kuwapa watu faida ya kujua madhila ya kinyumba.