Jamaa Amfuturu Mke wa Mtu Jioni Hii

Jamaa Amfuturu Mke wa Mtu Jioni Hii

Shetani kaingia kati. Tunaomba hili janga limalizike kwa amani na toba.
 
MwanajamiiOne kama isingekuwa suala lako na Mbu hapa jamvini, hakyanani ningekuoa Iddi hii kumbe unajua sana bajeti aiseee

Ila jamani mi nimeona apo kwen hela tu lakini the bigger picture remains kwamba kwa nini alienda kufuturisha mchana kweupe? si angesubiri muda ufike
Hahhahaha Kaizer bora umelitambua hilo la shemeji yako Mbu hahah. Eti angesubiri muda ufike upi sasa ilhali mchana ndo baba ngina yuko kazini, usiku na fungo hili mwenzangu anaishia kukesha kibarazani akisubiri daku ati................
 
Last edited by a moderator:
Acheni mbwembwe wadu kwenye yote mawili, uasi hauna muda afu kwa taarifa tu kumkwarua mke wa mtu huwa nzuri sana kwake nyakati za asubuhi au mchana wa jua kali kwani jion ataaga vp? sema hiyo ni bahat mbaya na pia gemu wamelipigia jirani mno,
haya unafiki mwingine hapo kwenye 30 elf, jamani panatosha kabisa pale congo sku mbili hizi kuna magauni ya kina mama hadi ya elf 6 ambayo hata sista duu akitinga wala huwezi jua, kwani mmesahau au hamjui maduu wengi wanavaa viatu vya pale mwenge vinavyouzwa buku 3, kweli hamjui hili? kiufupi mdau wetu alijipiga sana na hawa wanawake wa kiswahili usipowanunulia nguo mpya hiz skukuu na kunpeleka equata gril kwenye taarabu mbona atakuletea mauzauza. ni mtazamo tu wadau.
 
Umesema vema kabisa. Ila hivi haiwezekani kuwa hawa walikuwa wapenzi wa zamani abao walikuwa na kawaida ya kukumbushia mapenzi yao na leo ilikuwa arubaini yao? Najaribu tu kuexplore angles zote.
 
Umesema vema kabisa. Ila hivi haiwezekani kuwa hawa walikuwa wapenzi wa zamani abao walikuwa na kawaida ya kukumbushia mapenzi yao na leo ilikuwa arubaini yao? Najaribu tu kuexplore angles zote.
Posbo pia kwani kwa mazingira hayo it seems sio mara yao ya kwanza, kawaida ya binadamu huwa wakizoea jambo hata kama ni la hatari kias gan hulichukulia poa, coz katika mazingira ya kawaida kama ingekuwa fest gem yao wangeenda mbali na penye kificho zaidi, inawezekana kweli hiyo ni 40 yao, kwan watu wangapi tunapita tunaona gari zao zinavyonesanesa yote hayo huwa ni mazoea tu.
 
Pole sana kaka, ila unatakiwa utulie kuchukua maauzi ucje ukafanya kitu kibaya hadi jamii ikakushangaa.
 
30,000 mwanamke wa Dar umpe hiyo ela eti ndo shopping ya iddi,Du huyu mwenye mke kweli ni wa maajabu,labda ndo maana mkewe alienda studio kutoa singo apate majihela ya ku add shopping ya Iddi
 
heshimu dini za watu wengine basi mkuu ungeweza kuweka heading neno afumaniwa na mke wa mtu ingeeleweka kuliko kuandika amfuturu

natumaini wewe ni mtu mzima na umenielewa mkuu

nothing personal
 
heshimu dini za watu wengine basi mkuu ungeweza kuweka heading neno afumaniwa na mke wa mtu ingeeleweka kuliko kuandika amfuturu

natumaini wewe ni mtu mzima na umenielewa mkuu

nothing personal
Kweli aisee
 
Hapo nikisema watu wengi hufunga kama fasheni ni kosa?Nikisema hufunga bila kusali/kuswali ni kosa?Nikisema wanafunga kula tu ni kosa?SHAME ON BOTH WOMAN AND MAN WHO commited adultary while on fasting
 
Shetani kaingia kati. Tunaomba hili janga limalizike kwa amani na toba.

Huku kwetu kwa Minchi-Tanga jambo kama hilo ni la kawaida tu linatokea karibu kila siku na kila mwaka kwenye mifungo ya Ramadhani!

Nyie wa Dar mnashangaa nn sasa hapo?Njooni Tanga jamani!Hiyo siyo scandal kwa Tanga bana
 
Hapo watu wengi hufunga kama fasheni ni kosa?Nikisema hufunga bila kusali Nikisema wanafunga kula tu ni kosa?SHAME ON BOTH WOMAN AND MAN WHO commited adultary while on fasting

Wanajishindisha njaa tu hao mkuu. Shame!
 
eeeehh kaka kwa hiyo akaamua kuongeza mshiko umasikini gharama
 
sasa hapo twende mbee turudi nyuma elf 30,000 kweli aende kariakoo akanunue nguo zake, za watoto, na mahitaji mengine ya Idd?

Ndo maana mama akaona akafuturishe mapemaaaa
oya wewe mdau umesahau kuwa tunatofautiana vipato na mahitaji yetu ya kila siku? thus u must cut the shirt according to your hand. sasa sio ajabu kwani kuna nguo hadi za buku 2 au tatu, so huyo mke ilibidi arudishe hadi chenji.
 
apo nimecheka sana lol
 
Hapo ni kumpiga chini fasta na kuwahi ndoa mpya tu,ya nini kufa na pressure
 
Back
Top Bottom