Jakaya na 50 cent.....usipanic

Nahisi JK baada ya uraisi wake lazima atakua msanii wa Rap! Nyie angalieni tu mara JK kapiga picha na JumaNature mara kapiga picha na Chege mara Boyz II Men sasa hapa yuko na 50cents! tusubiri.
 
Huyu jamaa kweli ni balaa sijui lini atakua serious!!! sasa akitoka atasema ohh wanawekeza?!!
 
Mpeni heshima yake muheshimiwa rais,mbona mambo madogo tu kwenye ulimwengu wa kisiasa,naamini kapiganae picha tu kama mtu wa kawaida tu na sio kama 50cnt,kama atakavyopiga na ww au mwingine
 
Najua Sio picha ya ukweli, ila swali langu ni kwamba....

Mbona Kama wamekutania kichochoroni, huyu mzee alienda kufanya nini huko??
 
huyu jamaa anapenda mambo ya konozzzzzz hajui status yake ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…