Jakaya na 50 cent.....usipanic

G-Unit got the new member! ha ha ha..... GGGGGGGGGGG -G UNIIIIIII TTTTT; GGG G-UNIT! yeah, ma men JK, wharraaap ma nigga!
 
50cent na JK ni picha ya ukweli kabisa sio Adobe kama uamini tembelea twitter account ya 50 cent utaiona au tembelea mtandao wa burudani wa Raprid.com
 
hiyo picha sio photoshop ndugu yangu hiyo ni picha ya ukweli kabisa....mtoto wa JK MWENYEWE HAPINGI WEWE KIDUDU MTU UNASEMA PHOTOSHOP.Z
ZE UTAMU NDIO ALIYE MPHOTOSHOP KIKWETE..HII REAL
 
HAAA HUYO NDIYE senti hamsini? mbona hapa yuko kama GENTLEMAN suruali zake za Kata K hakuvaa leo?
Mie naona poa tu Celebrity kupiga picha na rais wetu.
 
Back
Top Bottom