Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Mungu atakulipa,kwa kututeulia wakuu wa wilaya waliotenda maovu bravo MAKONDA
 
Mtamkumbuka mda wake ukiisha

attachment.php

Ni kweli tutamkumbuka kwa mengi na hayo hapo juu ni baadhi tu bila kusahau CCM, Chama Chamfia Mikononi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mungu ambariki,kwa kuchukua pesa za uma kupitia bank ya stanbic,na kumuomba jacob zuma kutunzia siri,japo kuwa zuma nae ana daiwa na inchi yake mpk ngumi zina tokea bungeni
 
mengine yote sawa, 100%
hebu elezea kidogo juu ya usuluhishi wa migogoro ndani ya ANC south Africa.
kuhusu katiba kachemka.

Ndugu zangu watanzania wenzangu, kupitia jamvi hili, kwa heshima na taadhima nichukue fursa hii kumwandikia Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, kwanza kumpa pole kwa majukumu mazito aliyonayo katika kulitumikia taifa lake. Ninampa pole kutokana na kutambua ugumu wa majukumu aliyonayo.

Kwa nafasi yake, yeye ndiye wa kutupiwa lawama zote pale mambo yanapokwenda si sawa. Pia ni mtu wa kupongezwa pale mambo yanaponyooka. Hii ni kawaida kwani wahenga walikwushasema kuwa mkubwa ni jalala.

Ndugu zangu watanzania wenzangu, mimi leo ningependa kuzungumzia kazi nzuri ambayo Rais Kukwete ameifanya ambapo hata kama baadhi yetu tutaibeza, ukweli utajidhihirisha.

Kikwete, katika kipindi cha miaka 9 amefanya yafuatayo mazuri;
1. Uchumi; amefanya mabadiliko kwenye kilimo ambapo wakulima wengi kwasasa wanalima kisasa na kwa msaada wa pembejeo za ruzuku.

Walau imesaidia taifa kuwa na akiba ya chakula cha kutosha hivyo kutokuwa na hofu ya wananchi kufa njaa. Kilimo cha umwagiliaji kimeongezeka, kilimo cha biashara kimekua. Mabadiliko ya sheria ya uwekezaji angalau yamewezesha nchi kuanza kunufaika na kodi ya uzalishaji ingawa bado si kwa kiasi kikubwa. Uboreshaji wa huduma za kibenki, mikopo ya saccos, uboreshaji wa njia za uchukuzi kama barabara, vivuko, reli kwa kununua vichwa na mabehewa, ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege e.g. Rungwe, Katavi, Gombe, DSM. n.k.

2. Kisiasa; Ni katika kipindi cha Kikwete ambapo uhuru wa shughuli za kisiasa umetolewa. Watanzania sote ni mashahidi kwamba vyama vya siasa vimekuwa huru kiasi kwamba baadhi vimeshindwa kuutumia uhuru huo ambapo baadhi vimeishia kuitisha maandamano, kukitisha chama cha mapinduzi na kutishia uvunjifu wa amani kama mbinu ya kutaka kutimiza adhma zao za kisiasa.

Ni wakati huu ambapo majukwaa ya siasa yametumika kuvitukana na kuvidhalilisha vyombo vya dola kwamba havina lolote. Ni wakati huu ambapo wanasiasa wa vyama pinzani wameachwa kuichambua serikali kwa kadiri ya hazina ya maneno iliyoko vinywani mwao.

Ni wakati huu ambao hakuna mwanasiasa aliwekwa kizuizini kwa kutoa kauli zenye kuhatarisha usalama wa nchi. Wanasiasa baadhi yao walifikia hatua ya kutisha kuwa wanao uwezo wa kuifanya nchi isitaealike, hakuna aliyeshughulika nao.

Aidha ni wakati huu ambao siku moja watu walikuwa wakishuhudia chama fulani kimeitisha maandamano nchi nzima kisha muitisha maandamano akakimbilia South Africa! Kiukweli ni wakati unaelekea mwishonu lkn kwa wanasiasa hasa wa upinzani mtaukumbuka!!!

3. Kijamii; Rais Kikwete amejitahidu kuimarisha huduma za kijamii kama usambazaji wa umeme vijijini kupitia REA, Ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa gesi asilia huko Mtwara ambapo sote tunajua jinsi wanasiasa walivyoupinga na kufanya kila aina ya uchochezi ili usifanikiwe, leo tunashuhudia mradi unelekea kujamilika.

Miradi ya maji vijijini imetekelezwa kwa kasi awamu hii. Upande wa elimu mafanikio yako wazi ambapo ongezeko la ajira za walimu, ongezeko la shule za msingi na sekondari na pia ujenzi wa vyuo vikuu kwa ujumla vimetokea wakati wako.

Maboresho ya mishahara kwa wafanyakazi yamefanyika wakati wako. Kwa upande wa afya, siyo siri ununuzi wa vifaa vya kisasa mahospitalini walau umefanyika wakati huu kwa kiwango cha kuridhisha, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya kupitia TASSAF, hospitali za mikoa kuwa za rufaa, mapambano dhidi ya malaria na UKIMWI, uzuiaji wa vifo vya mama wajawazito, juduma bure za matibabu kwa wazee (bado changomoto katika utekelezaji), maboresho ya Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambapo sasa ina uwezo wa kutibu magonjwa ambayo awali matibabu yake yalipatikana nje yanchi n.k.

4. Kimataifa; Kwanza amejitahidi kukwepa mitego ya maadui zetu waliotaka kuliingiza taifa vitani kwasababu za chuki binafsi na wivu kutokana na nchi yetu kuanza kukua kiuchumi kwa kasi. Mfano wa nchi hizo sote tunao. Kikwete alijua kwamba vita kwasasa siyo kipaumbele cha nchi ingawa uwezo wa kuwachapa hao maadui zetu tunao.

Alifanya uamuzi mzuri na wa kizalendo. Isingekuwa rahisi kwa Rais asiye busara kuacha kuiingiza nchi vitani dhidi ya Rwanda, Malawi na Kenya wakati ambao nchi hizo zilionesha wazi kuichokoza Tanzania. Ni busara ya kiwango cha juu aliyonayo Kikwete hata kufanikiwa kuukwepa mtego huo.

Pia amejitahidi kusuluhisha migogoro katika nchi mbalimbali kama vile ule wa Kenya mwaka 2008, wa Sudan ya Kusini, Congo DR, Comoro, Afrika ya kusini (wa ndani ya ANC). Amekuwa na ushawishi mkubwa kwa mataifa makubwa kwa kuifuata sawasawa sera mama ya taifa ya kutofungamana na upande wowote kwa lengo la kuiepusha nchi kuwa na uadui unaotokana na mivutano baina ya mataifa makubwa.

Katiba mpya; Jambo hili halijaisha, tumwombe Mungu liishe salama!. Sote ni mashahidi juu ya umahiri alionao Kikwete katika namna anavyolihandle swala hili muhomu kwa mstakabali mwema wa taifa letu. Siyo siri swala hili limegubikwa na mambo mengi lkn mbaya na hatari inayoonekana ni kuibuka kwa kundi la watu linaloipinga katiba iliyopendekezwa.

Sina tatizo na kupingwa huko ola nina tatizo na sababu za kuipinga. Mfano wengi wanadai kuwa katiba pendekezwa imekiondoa kipengele cha uadilifu, si kweli kwani kipengele hicho kipo isipokuwa kiliondolewa kwenye Ibara inayohusu tunu za taifa na kuwekwa kwenye ibara ya maadili ya mtumishi wa umma. Kiukweli uadilifu siyo tunu kwa tafsiri yake bali ni swala la uadilifu.

Tunu ni kama vile Lugha ya kiswahili,amani, muungano n.k. Swala la katiba limeingiliwa na siasa kiasi kwamba watu hawajadili tena kwa uchungu wa kulinda misingi ya utaifa wetu bali kwa maslahi na kupata upenyo wa kisiasa.

Ninaamini kwa umakini wa Rais wetu atasimamia na hatimaye tutapata katiba yenye maslahi mapana ya historia ya taifa letu hasa Muungano, udugu na amani.

My take; Pamoja na mafanikio hayo wapo baadhi ya watanzania ambao wameendelea kubeza kwa namna yoyote ile. Baadhi yao wamediriki kukashifu kwa matusi na kumdhihaki Kikwete kwa lugha mbaya kabisa. Ni kweli hakuna binadamu aliyetimilika kwa kufanya bila kukosea.

Inawezekana katika utendaji wake kuna mahali amekosea hata hivyo sidhani kama anastahili kulaumiwa kiasi hicho. Ninawaambia ndugu zangu watanzania wenzangu, tutamkumbuka Kikwete siku moja!. Wanasiasa hasa wa vyama pinzani iko siku mtamkumbuka Kikwete!.

Waropokaji msio na staha katika kauli zenu mtamkumbuka Kikwete!. Na kwako Mheshimiwa Rais, nikusihi usokate tamaa, endelea kuchapa kazi kwani kama ni ng'ombe umebakiza kipande cha mkia tu!. Ulishawashinda tayari mbona!. Up to this moment, you are the winner Sir!.

Cha muhimu malizia kazi zako na Mungu Baba Mwenyezi atakulipa kwa kazi nzuri uliyowafanyia watanzania. Jifunze kwa Prof. Muhongo, aliyekuwa waziri wako ambaye pamoja na mazuri yote aliyoyafanya mwisho wa siku watanzania wasio shukurani walimwandalia manila na kumnyonga kisiasa hadharani!.

As you signing off Sir keepon praying for your nation ili kikombe cha siasa chafu ya wasaka madaraka hali mikono yao ikinuka rushwa, kiliepushe taifa kuingia kwenye machafuko.
 
mengine yote sawa, 100%
hebu elea kidogo juu ya usuluhishi wa migogoro ndani ya ANC south Africa.
kuhusu katiba kachemka.
Katiba kachemka wapi au ulikuwa unataka serikali tatu ambazo siyo rafiki kwetu,katiba iko poa tena yaja punde.
 
Hata mwenye 'nanasi' badala ya kichwa angeweza kuwachaji watumiaji wa umeme tozo fulani ili umeme wa REA uwekwe! No point there!

Umesahau timbwili la Kadhi Courts, Thamani ya shilingi, kufilisika kwa serikali (ushahidi miradi mikubwa inayofadhiliwa na GoT imekwama), serikali kukopa katika mabenk ya kibiashara, kukua kwa deni la Taifa, kuanguka kwa kiwango na ubora wa elimu,mmomonyoko wa kutisha wa uzalendo wa Mtanzania, wizi wa kutisha na ufujaji uliokithiri wa mali ya umma. Je,hayo sio mafanikio ya jakaya? Kwanini huyasemi?
 
Sawa lakini watu wamekuawa maskini saana kipindi chake na wakubwa wameendelea kuwa matajili agalia wakulima wameuza mazao yao hela mpaka leo hawalipwi njoo contractors wa tanzania wanamaliza kazi kuja kulipwa baada mizie tisa na hapo anae dai ml 80 anapewa ml 15 kweli hii ni haki njoo walimu balaaa maskini hadi huluma yani wamebadili mpaka mlo nyama ni jpili tu saizi hakuna anae kipenda chama chake kwajili hiyo watu hawalipwi
 
Sitegemei punguani kama wewe kunielewa.
Mapunguani ni ma CCM yasiyo na macho ya kuona uharibifu wa Kikwete. Wapo wastaarabu waliotamani JK asirudi nyumbani alipoenda kupasuliwa Mshipa.

Kikwete ndiye Rais pekee na wa kwanza Tanzania aliyepata tuzo ya utawala bora, kumbuka hilo.
Wanaompa tuzo bora ni wale wale waliokuwa maswahiba wa Mugabe wakampa na PhD 20+ leo Mugabe wamemnyofoa mituzo yote waliyompa. Waliompa JK Tuzo ni wale wale waliokuwa marafiki wa Sadam, leo Sadam yuko wapi? Waliompa Kikwete tuzo ndio wale wale waliokuwa wamepora ardhi halali ya wazimbabwe, baada ya Mugabe kuzirudisha kwa raia tuzo zote kanyang'anywa. Waliompa JK tuzo ni wale waliomtuma Morgan atangaze sera ya haki kwa mashoga Zimbabwe..

Kikwet endiye wa kwanza kualikwa rasmi na Obama kutokea Afrika alipochukuwa madaraka USA.
Huu ni upuuzi. Obama huyu huyu aliyemuua Gadafi? Obama wa Boko Haram, Obama anayeshinikiza Mashehe wa Zanzibar waendelee kuteseka? Obama anayekataza misaada Tanzania sababu ya Escrow? Obama ambaye kwa kushirikiana na Kikwete ndio wamiliki halali wa Richmond?

Kikwete ndiye Rais wa kwanza dunia aliyeweza kuwakutanisha Marais wanne kwa pamoja Afrika kwa wakati mmoja, Obama, Bush, Clinton na Jimmy Carter. Haijwahi kutokea kwingine.
Kama hicho ndio kigezo cha ubora wa Kikwete wewe ndio bogus uliyeshindikana. Leo wamarekani ndio detertminant factor ya ubora wa Kikwete? Mbona wakiwatwanga magaidi husemi kuwa hao magaidi ni maadui wa dunia kwa vile marekani hawaipendi? Wamarekani wanaoruhusu ndoa ya jinsia moja akiwemo Obama leo ndio wamekuwa JK's friends na wewe unachekelea kama zuzu? Na JK kukutanisha marais wanne ndio issue? Mbona Nyerere alikutanisha marais Robo tatu ya dunia pale Taifa?Mbona Mandela amekutanisha marais wa Dunia nzima?[/QUOTE]

Na mengine mengi ya kwanza ya Kikwete nikianza kuyaweka hapa tutakesha.
Kikwete ndiye kielelezo cha ujinga wa watanzania
 
Watakuja watu kubeza hayo mafanikio. Mimi huwa nnawaambia wachanganye awamu zote waone kama Kikwete hajafanya zaidi ya wote.

Kwa mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi amefanya kuliko awamu zote Na sidhani Kama rekodi yake itafikiwa!
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, kupitia jamvi hili, kwa heshima na taadhima nichukue fursa hii kumwandikia Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, kwanza kumpa pole kwa majukumu mazito aliyonayo katika kulitumikia taifa lake. Ninampa pole kutokana na kutambua ugumu wa majukumu aliyonayo.

Kwa nafasi yake, yeye ndiye wa kutupiwa lawama zote pale mambo yanapokwenda si sawa. Pia ni mtu wa kupongezwa pale mambo yanaponyooka. Hii ni kawaida kwani wahenga walikwushasema kuwa mkubwa ni jalala.

Ndugu zangu watanzania wenzangu, mimi leo ningependa kuzungumzia kazi nzuri ambayo Rais Kukwete ameifanya ambapo hata kama baadhi yetu tutaibeza, ukweli utajidhihirisha.

Kikwete, katika kipindi cha miaka 9 amefanya yafuatayo mazuri;
1. Uchumi; amefanya mabadiliko kwenye kilimo ambapo wakulima wengi kwasasa wanalima kisasa na kwa msaada wa pembejeo za ruzuku.

Walau imesaidia taifa kuwa na akiba ya chakula cha kutosha hivyo kutokuwa na hofu ya wananchi kufa njaa. Kilimo cha umwagiliaji kimeongezeka, kilimo cha biashara kimekua. Mabadiliko ya sheria ya uwekezaji angalau yamewezesha nchi kuanza kunufaika na kodi ya uzalishaji ingawa bado si kwa kiasi kikubwa. Uboreshaji wa huduma za kibenki, mikopo ya saccos, uboreshaji wa njia za uchukuzi kama barabara, vivuko, reli kwa kununua vichwa na mabehewa, ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege e.g. Rungwe, Katavi, Gombe, DSM. n.k.

2. Kisiasa; Ni katika kipindi cha Kikwete ambapo uhuru wa shughuli za kisiasa umetolewa. Watanzania sote ni mashahidi kwamba vyama vya siasa vimekuwa huru kiasi kwamba baadhi vimeshindwa kuutumia uhuru huo ambapo baadhi vimeishia kuitisha maandamano, kukitisha chama cha mapinduzi na kutishia uvunjifu wa amani kama mbinu ya kutaka kutimiza adhma zao za kisiasa.

Ni wakati huu ambapo majukwaa ya siasa yametumika kuvitukana na kuvidhalilisha vyombo vya dola kwamba havina lolote. Ni wakati huu ambapo wanasiasa wa vyama pinzani wameachwa kuichambua serikali kwa kadiri ya hazina ya maneno iliyoko vinywani mwao.

Ni wakati huu ambao hakuna mwanasiasa aliwekwa kizuizini kwa kutoa kauli zenye kuhatarisha usalama wa nchi. Wanasiasa baadhi yao walifikia hatua ya kutisha kuwa wanao uwezo wa kuifanya nchi isitaealike, hakuna aliyeshughulika nao.

Aidha ni wakati huu ambao siku moja watu walikuwa wakishuhudia chama fulani kimeitisha maandamano nchi nzima kisha muitisha maandamano akakimbilia South Africa! Kiukweli ni wakati unaelekea mwishonu lkn kwa wanasiasa hasa wa upinzani mtaukumbuka!!!

3. Kijamii; Rais Kikwete amejitahidu kuimarisha huduma za kijamii kama usambazaji wa umeme vijijini kupitia REA, Ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa gesi asilia huko Mtwara ambapo sote tunajua jinsi wanasiasa walivyoupinga na kufanya kila aina ya uchochezi ili usifanikiwe, leo tunashuhudia mradi unelekea kujamilika.

Miradi ya maji vijijini imetekelezwa kwa kasi awamu hii. Upande wa elimu mafanikio yako wazi ambapo ongezeko la ajira za walimu, ongezeko la shule za msingi na sekondari na pia ujenzi wa vyuo vikuu kwa ujumla vimetokea wakati wako.

Maboresho ya mishahara kwa wafanyakazi yamefanyika wakati wako. Kwa upande wa afya, siyo siri ununuzi wa vifaa vya kisasa mahospitalini walau umefanyika wakati huu kwa kiwango cha kuridhisha, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya kupitia TASSAF, hospitali za mikoa kuwa za rufaa, mapambano dhidi ya malaria na UKIMWI, uzuiaji wa vifo vya mama wajawazito, juduma bure za matibabu kwa wazee (bado changomoto katika utekelezaji), maboresho ya Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambapo sasa ina uwezo wa kutibu magonjwa ambayo awali matibabu yake yalipatikana nje yanchi n.k.

4. Kimataifa; Kwanza amejitahidi kukwepa mitego ya maadui zetu waliotaka kuliingiza taifa vitani kwasababu za chuki binafsi na wivu kutokana na nchi yetu kuanza kukua kiuchumi kwa kasi. Mfano wa nchi hizo sote tunao. Kikwete alijua kwamba vita kwasasa siyo kipaumbele cha nchi ingawa uwezo wa kuwachapa hao maadui zetu tunao.

Alifanya uamuzi mzuri na wa kizalendo. Isingekuwa rahisi kwa Rais asiye busara kuacha kuiingiza nchi vitani dhidi ya Rwanda, Malawi na Kenya wakati ambao nchi hizo zilionesha wazi kuichokoza Tanzania. Ni busara ya kiwango cha juu aliyonayo Kikwete hata kufanikiwa kuukwepa mtego huo.

Pia amejitahidi kusuluhisha migogoro katika nchi mbalimbali kama vile ule wa Kenya mwaka 2008, wa Sudan ya Kusini, Congo DR, Comoro, Afrika ya kusini (wa ndani ya ANC). Amekuwa na ushawishi mkubwa kwa mataifa makubwa kwa kuifuata sawasawa sera mama ya taifa ya kutofungamana na upande wowote kwa lengo la kuiepusha nchi kuwa na uadui unaotokana na mivutano baina ya mataifa makubwa.

Katiba mpya; Jambo hili halijaisha, tumwombe Mungu liishe salama!. Sote ni mashahidi juu ya umahiri alionao Kikwete katika namna anavyolihandle swala hili muhomu kwa mstakabali mwema wa taifa letu. Siyo siri swala hili limegubikwa na mambo mengi lkn mbaya na hatari inayoonekana ni kuibuka kwa kundi la watu linaloipinga katiba iliyopendekezwa.

Sina tatizo na kupingwa huko ola nina tatizo na sababu za kuipinga. Mfano wengi wanadai kuwa katiba pendekezwa imekiondoa kipengele cha uadilifu, si kweli kwani kipengele hicho kipo isipokuwa kiliondolewa kwenye Ibara inayohusu tunu za taifa na kuwekwa kwenye ibara ya maadili ya mtumishi wa umma. Kiukweli uadilifu siyo tunu kwa tafsiri yake bali ni swala la uadilifu.

Tunu ni kama vile Lugha ya kiswahili,amani, muungano n.k. Swala la katiba limeingiliwa na siasa kiasi kwamba watu hawajadili tena kwa uchungu wa kulinda misingi ya utaifa wetu bali kwa maslahi na kupata upenyo wa kisiasa.

Ninaamini kwa umakini wa Rais wetu atasimamia na hatimaye tutapata katiba yenye maslahi mapana ya historia ya taifa letu hasa Muungano, udugu na amani.

My take; Pamoja na mafanikio hayo wapo baadhi ya watanzania ambao wameendelea kubeza kwa namna yoyote ile. Baadhi yao wamediriki kukashifu kwa matusi na kumdhihaki Kikwete kwa lugha mbaya kabisa. Ni kweli hakuna binadamu aliyetimilika kwa kufanya bila kukosea.

Inawezekana katika utendaji wake kuna mahali amekosea hata hivyo sidhani kama anastahili kulaumiwa kiasi hicho. Ninawaambia ndugu zangu watanzania wenzangu, tutamkumbuka Kikwete siku moja!. Wanasiasa hasa wa vyama pinzani iko siku mtamkumbuka Kikwete!.

Waropokaji msio na staha katika kauli zenu mtamkumbuka Kikwete!. Na kwako Mheshimiwa Rais, nikusihi usokate tamaa, endelea kuchapa kazi kwani kama ni ng'ombe umebakiza kipande cha mkia tu!. Ulishawashinda tayari mbona!. Up to this moment, you are the winner Sir!.

Cha muhimu malizia kazi zako na Mungu Baba Mwenyezi atakulipa kwa kazi nzuri uliyowafanyia watanzania. Jifunze kwa Prof. Muhongo, aliyekuwa waziri wako ambaye pamoja na mazuri yote aliyoyafanya mwisho wa siku watanzania wasio shukurani walimwandalia manila na kumnyonga kisiasa hadharani!.

As you signing off Sir keepon praying for your nation ili kikombe cha siasa chafu ya wasaka madaraka hali mikono yao ikinuka rushwa, kiliepushe taifa kuingia kwenye machafuko.

This is a joke of a lifetime.

Hesabu hii mbona rahisi sana, hivi Kikwete alivyoingia madarakani deni la taifa lilikuwa kiasi gani na sasa ni kiasi gani? Ukupata hiyo tofauti linganisha na gharama ya hiyo miradi yote mnayoita maendeleo (ambayo kwa uwingi ni misaada).

Lakini jingine, je ni nini majukumu ya raisi? Na tunatenganisha vipi expected perfomance na perfoming beyond expectations kwa hii case ya JK.??

Je kwenye zile ilani za uchaguzi toka aingie madarakani mambo mangapi yametekelezwa na ni asilimia ngapi ya ahadi zote zilizomo mle?

Kwa mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi amefanya kuliko awamu zote Na sidhani Kama rekodi yake itafikiwa!

Kumbuka kuwa mpaka sasa ni wachungaji ndiyo wameshikwa na vipande vya albino.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, kupitia jamvi hili, kwa heshima na taadhima nichukue fursa hii kumwandikia Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete, kwanza kumpa pole kwa majukumu mazito aliyonayo katika kulitumikia taifa lake. Ninampa pole kutokana na kutambua ugumu wa majukumu aliyonayo.

Kwa nafasi yake, yeye ndiye wa kutupiwa lawama zote pale mambo yanapokwenda si sawa. Pia ni mtu wa kupongezwa pale mambo yanaponyooka. Hii ni kawaida kwani wahenga walikwushasema kuwa mkubwa ni jalala.

Ndugu zangu watanzania wenzangu, mimi leo ningependa kuzungumzia kazi nzuri ambayo Rais Kukwete ameifanya ambapo hata kama baadhi yetu tutaibeza, ukweli utajidhihirisha.

Kikwete, katika kipindi cha miaka 9 amefanya yafuatayo mazuri;
1. Uchumi; amefanya mabadiliko kwenye kilimo ambapo wakulima wengi kwasasa wanalima kisasa na kwa msaada wa pembejeo za ruzuku.

Walau imesaidia taifa kuwa na akiba ya chakula cha kutosha hivyo kutokuwa na hofu ya wananchi kufa njaa. Kilimo cha umwagiliaji kimeongezeka, kilimo cha biashara kimekua. Mabadiliko ya sheria ya uwekezaji angalau yamewezesha nchi kuanza kunufaika na kodi ya uzalishaji ingawa bado si kwa kiasi kikubwa. Uboreshaji wa huduma za kibenki, mikopo ya saccos, uboreshaji wa njia za uchukuzi kama barabara, vivuko, reli kwa kununua vichwa na mabehewa, ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege e.g. Rungwe, Katavi, Gombe, DSM. n.k.

2. Kisiasa; Ni katika kipindi cha Kikwete ambapo uhuru wa shughuli za kisiasa umetolewa. Watanzania sote ni mashahidi kwamba vyama vya siasa vimekuwa huru kiasi kwamba baadhi vimeshindwa kuutumia uhuru huo ambapo baadhi vimeishia kuitisha maandamano, kukitisha chama cha mapinduzi na kutishia uvunjifu wa amani kama mbinu ya kutaka kutimiza adhma zao za kisiasa.

Ni wakati huu ambapo majukwaa ya siasa yametumika kuvitukana na kuvidhalilisha vyombo vya dola kwamba havina lolote. Ni wakati huu ambapo wanasiasa wa vyama pinzani wameachwa kuichambua serikali kwa kadiri ya hazina ya maneno iliyoko vinywani mwao.

Ni wakati huu ambao hakuna mwanasiasa aliwekwa kizuizini kwa kutoa kauli zenye kuhatarisha usalama wa nchi. Wanasiasa baadhi yao walifikia hatua ya kutisha kuwa wanao uwezo wa kuifanya nchi isitaealike, hakuna aliyeshughulika nao.

Aidha ni wakati huu ambao siku moja watu walikuwa wakishuhudia chama fulani kimeitisha maandamano nchi nzima kisha muitisha maandamano akakimbilia South Africa! Kiukweli ni wakati unaelekea mwishonu lkn kwa wanasiasa hasa wa upinzani mtaukumbuka!!!

3. Kijamii; Rais Kikwete amejitahidu kuimarisha huduma za kijamii kama usambazaji wa umeme vijijini kupitia REA, Ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa gesi asilia huko Mtwara ambapo sote tunajua jinsi wanasiasa walivyoupinga na kufanya kila aina ya uchochezi ili usifanikiwe, leo tunashuhudia mradi unelekea kujamilika.

Miradi ya maji vijijini imetekelezwa kwa kasi awamu hii. Upande wa elimu mafanikio yako wazi ambapo ongezeko la ajira za walimu, ongezeko la shule za msingi na sekondari na pia ujenzi wa vyuo vikuu kwa ujumla vimetokea wakati wako.

Maboresho ya mishahara kwa wafanyakazi yamefanyika wakati wako. Kwa upande wa afya, siyo siri ununuzi wa vifaa vya kisasa mahospitalini walau umefanyika wakati huu kwa kiwango cha kuridhisha, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya kupitia TASSAF, hospitali za mikoa kuwa za rufaa, mapambano dhidi ya malaria na UKIMWI, uzuiaji wa vifo vya mama wajawazito, juduma bure za matibabu kwa wazee (bado changomoto katika utekelezaji), maboresho ya Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambapo sasa ina uwezo wa kutibu magonjwa ambayo awali matibabu yake yalipatikana nje yanchi n.k.

4. Kimataifa; Kwanza amejitahidi kukwepa mitego ya maadui zetu waliotaka kuliingiza taifa vitani kwasababu za chuki binafsi na wivu kutokana na nchi yetu kuanza kukua kiuchumi kwa kasi. Mfano wa nchi hizo sote tunao. Kikwete alijua kwamba vita kwasasa siyo kipaumbele cha nchi ingawa uwezo wa kuwachapa hao maadui zetu tunao.

Alifanya uamuzi mzuri na wa kizalendo. Isingekuwa rahisi kwa Rais asiye busara kuacha kuiingiza nchi vitani dhidi ya Rwanda, Malawi na Kenya wakati ambao nchi hizo zilionesha wazi kuichokoza Tanzania. Ni busara ya kiwango cha juu aliyonayo Kikwete hata kufanikiwa kuukwepa mtego huo.

Pia amejitahidi kusuluhisha migogoro katika nchi mbalimbali kama vile ule wa Kenya mwaka 2008, wa Sudan ya Kusini, Congo DR, Comoro, Afrika ya kusini (wa ndani ya ANC). Amekuwa na ushawishi mkubwa kwa mataifa makubwa kwa kuifuata sawasawa sera mama ya taifa ya kutofungamana na upande wowote kwa lengo la kuiepusha nchi kuwa na uadui unaotokana na mivutano baina ya mataifa makubwa.

Katiba mpya; Jambo hili halijaisha, tumwombe Mungu liishe salama!. Sote ni mashahidi juu ya umahiri alionao Kikwete katika namna anavyolihandle swala hili muhomu kwa mstakabali mwema wa taifa letu. Siyo siri swala hili limegubikwa na mambo mengi lkn mbaya na hatari inayoonekana ni kuibuka kwa kundi la watu linaloipinga katiba iliyopendekezwa.

Sina tatizo na kupingwa huko ola nina tatizo na sababu za kuipinga. Mfano wengi wanadai kuwa katiba pendekezwa imekiondoa kipengele cha uadilifu, si kweli kwani kipengele hicho kipo isipokuwa kiliondolewa kwenye Ibara inayohusu tunu za taifa na kuwekwa kwenye ibara ya maadili ya mtumishi wa umma. Kiukweli uadilifu siyo tunu kwa tafsiri yake bali ni swala la uadilifu.

Tunu ni kama vile Lugha ya kiswahili,amani, muungano n.k. Swala la katiba limeingiliwa na siasa kiasi kwamba watu hawajadili tena kwa uchungu wa kulinda misingi ya utaifa wetu bali kwa maslahi na kupata upenyo wa kisiasa.

Ninaamini kwa umakini wa Rais wetu atasimamia na hatimaye tutapata katiba yenye maslahi mapana ya historia ya taifa letu hasa Muungano, udugu na amani.

My take; Pamoja na mafanikio hayo wapo baadhi ya watanzania ambao wameendelea kubeza kwa namna yoyote ile. Baadhi yao wamediriki kukashifu kwa matusi na kumdhihaki Kikwete kwa lugha mbaya kabisa. Ni kweli hakuna binadamu aliyetimilika kwa kufanya bila kukosea.

Inawezekana katika utendaji wake kuna mahali amekosea hata hivyo sidhani kama anastahili kulaumiwa kiasi hicho. Ninawaambia ndugu zangu watanzania wenzangu, tutamkumbuka Kikwete siku moja!. Wanasiasa hasa wa vyama pinzani iko siku mtamkumbuka Kikwete!.

Waropokaji msio na staha katika kauli zenu mtamkumbuka Kikwete!. Na kwako Mheshimiwa Rais, nikusihi usokate tamaa, endelea kuchapa kazi kwani kama ni ng'ombe umebakiza kipande cha mkia tu!. Ulishawashinda tayari mbona!. Up to this moment, you are the winner Sir!.

Cha muhimu malizia kazi zako na Mungu Baba Mwenyezi atakulipa kwa kazi nzuri uliyowafanyia watanzania. Jifunze kwa Prof. Muhongo, aliyekuwa waziri wako ambaye pamoja na mazuri yote aliyoyafanya mwisho wa siku watanzania wasio shukurani walimwandalia manila na kumnyonga kisiasa hadharani!.

As you signing off Sir keepon praying for your nation ili kikombe cha siasa chafu ya wasaka madaraka hali mikono yao ikinuka rushwa, kiliepushe taifa kuingia kwenye machafuko.

Ilikuwa inawezekana kufanya makubwa zaidi ya haya tena Kwa umakini Wa hali ya huu!
 
Leo nimeujua uwezo wako Faiza..wewe ni kichwa.Mungu akubariki in'sha'allah
 
Back
Top Bottom