Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro.Ninaichukia Ccm ila namkubali Jakaya kwa utenda wake na busara zake.
 
Hatuko katika mwaka wa biashara hapa maana ulitaka twende kwenye trends hapo ndipo utakapokuta unayetaka kumsifia ni bure maana kwenye fiscal development amekuwa failure

Wewe hata unachokibishia hukielewi ni nini.

Development ya Tanzania wakati wa Kikwete inaongelewa Kimataifa ni kati ya nchi 20 zinazo develop kwa haraka duniani:

Fastest-Growing Economies Through 2015 - Business Insider

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Mimi huwa nnawaambia siku zote, kama ni wapinzani wa kweli na mnaitakia mema Tanzania, mtaonesha aliyoyafanya Kikwete kisha mtasema sisi tutafanya zaidi hiki na hiki na hiki, hivi na hivi na hivi. Hapo tutawaelewa. Lakini huu upinzani usio na la kufanya mimi nauona ni ujinga tu na si upinzani.

Domo lote uliyompigia jk hata mjumbe wa nyumba 10 hujapewa! Polee
 
Mafanikio ya kupasuliwa busha ni dhahiri...


Kuwa na ADABU WEWE MWEHUkwani kumtukana Rais ndo uonekane patriotic saaaaana, nyie ndo maadui wa vyama vyenu maana wengi wenu tunaona vyama vyenu ni vyama vya wahuni tu kwa sababu yenu.
 
Utajua uko dunia ya saba pale utakapokuta hakuna huduma yoyote, ndiyo maana namsifu sana JK yeye huenda US hata tezi likimsumbua yeye huyooo, wabunge na mawaziri wao India hiyo Muhimbili mtajua wenyewe haimuhusu Rais wetu aliyetukuka

Unaongelea cancer ninaongelea moyo.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Umwa moyo uende pale halafu uje kutwambia kama hakuna huduma.
 
Unaongelea cancer ninaongelea moyo.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Umwa moyo uende pale halafu uje kutwambia kama hakuna huduma.

Pale Ocean Road kumbe wanatibugi Ebola, sikujua.

JK hana huo ujinga wa hizo shule zako, yeye ni pipa tu Ulayaaaa, US, Asia n.k

Hana ujinga wa kwenda muhimbili, hiyo ni shughuli yako wewe
 
Your Excellence The president of the United Republic Of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, for sure your name shall remain even in Laggards-those who pretend not to recognise your archievements!. Shall remain in heads of the patriots and also shall remain written in the brains of the wises!
 
Watakuja watu kubeza hayo mafanikio. Mimi huwa nnawaambia wachanganye awamu zote waone kama Kikwete hajafanya zaidi ya wote.
Ni kweli kabisa - Nimetoka Kigoma juzi nimeona ile ahadi yake kuwa atakapokuwa Raisi atapageuza kuwa DUBAI:rockon:
 
Ni mwehu tu ndiye anaweza kupinga ukweli huu.
Ni mwehu tu ndiye anaweza kupinga tokea utawala wa baba wa taifa/mwinyi/Mkapa hakuna kasi ya mauaji ya watu walemavu (Alibino) yaliyoshika kasi katika bara la Africa katika utawala wa JK!:rockon:
 
Ni kweli kabisa - Nimetoka Kigoma juzi nimeona ile ahadi yake kuwa atakapokuwa Raisi atapageuza kuwa DUBAI:rockon:

Huo ndiyo ukisikia ufupi wa mawazo.

Na wewe uliamini jina Kigoma litageuka kuwa Dubai?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom