Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Dini ya Wassira ndio kigezo cha wewe kumporomoshea mitusi?

Matusi yako wapi? onesha. Kama hauna la kuandika ni bora ukae kimya kuliko kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Hakuna Rais yeyeote wa Tanzania aliyefikia hata nusu ya mafanikio ya Kikwete, tena changanya wote kwa pamoja kwa miaka 44 yao hawafikii mafanikio ya Kikwete ya miaka 9. Kumbuka hilo.
 
Sikusikia mfumko wa bei wala wakati wa Mkapa kama ilivyo sasa.
Je hazina anaiacha vipi.Anapoondoka. Amejitahidi kwa sehemu yake na kila aliyepita ana mazuri na mabaya pia. Hivyo siwezi kubeza wala kumpa credit kwamba kafanya zaidi ya waliomtangulia nitakuwa nampaka mafuta na kuwa mshabiki tu.

Katazame takwimu za mifumko ya bei utaona uafadhali uko wapi? wakati wa Mkapa ulikuwa na miaka mingapi?
 
Matusi yako wapi? onesha. Kama hauna la kuandika ni bora ukae kimya kuliko kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Hakuna Rais yeyeote wa Tanzania aliyefikia hata nusu ya mafanikio ya Kikwete, tena changanya wote kwa pamoja kwa miaka 44 yao hawafikii mafanikio ya Kikwete ya miaka 9. Kumbuka hilo.

Kama ni mafanikio ya kupasuliwa busha, hakuna anayemfikia. Kama ni,mafanikio ya kuacha deni la taifa likiwa juu kuliko maelezo, hakuna anayemfikia. Kama rais mjinga asiyejua kwa nini nchi yake ni maskini hakuna anayemfikia
 
Sitegemei punguani kama wewe kunielewa.

Kikwete ndiye Rais pekee na wa kwanza Tanzania aliyepata tuzo ya utawala bora, kumbuka hilo.

Kikwet endiye wa kwanza kualikwa rasmi na Obama kutokea Afrika alipochukuwa madaraka USA.

Kikwete ndiye Rais wa kwanza dunia aliyeweza kuwakutanisha Marais wanne kwa pamoja Afrika kwa wakati mmoja, Obama, Bush, Clinton na Jimmy Carter. Haijwahi kutokea kwingine.

Na mengine mengi ya kwanza ya Kikwete nikianza kuyaweka hapa tutakesha.

1. Sishangai kuniita punguani maana hata Baba yako Wassira umemwita punguani

2. Tuzo ya utawala bora iliyotolewa na Makafiri leo ndo unaifanya reference? Mbona walipomtwanga na kumchinjilia mbali Sadam hukuona kama ni reference?

3. Obama aliyewashikisha adabu Magaidi leo ndio kipimo cha ubora wa kikwete?

4. Wamarekani ndio wanaowatia adabu magaidi. Hao ndio,marafiki wa JK. Na ndio hao wanaoongoza kuiba raslimali za watanzania. Si unaona Barrick wanavyokamua?
 
Hunipeleki huko.

Hapa ni Kikwete tu na mafanikio yake.:

Vyuo vikuu zaidi ya 40 wakati wake tu, nani aliyefanya hivyo wa kabla yake?
 
Takwimu za wamarekani?

Za Ufipa.

Barabara za lami wakati wa Kikwete ni kilomita zaidi ya 10,000 kabla yake changanya wote kwa miaka 44 yao pamoja na mkoloni ni kilomita ngapi za lami?

Tazama watu wako kazini wanatandika jamvi jipya:

MJENGA

Wahenga walisema kuwa akutukanae hakuchagulii tusi na ndicho ulichokifanya wewe kwa kumtukana Kikwete kwa kuzunguka.
 
Last edited by a moderator:
Watakuja watu kubeza hayo mafanikio. Mimi huwa nnawaambia wachanganye awamu zote waone kama Kikwete hajafanya zaidi ya wote.

Vigezo vichache vinahitajika hapo - kati ya vitatu na vitano. Viwili vya micro level na vitatu vya macro level. Ila hii sio kazi ndogo!
 
Kwakweli jamaa amejitahidi snaa;eg kuna mambo yalitakiwa yafanywe na awamu zilizopita mfano shule za kata,barabara,maabara ktk shule zote za kata,chuo kikuu cha dodoma,hv n vitu ambavyo vilitakiwa vifanywe tokea awamu ya nyerere,lkn wote hawakuweza lkn yeye amethubutu,ameweza na anazidi kusonga mbele;haimaanishi km hana udhaifu wala makosa lkn mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Ni kweli kwanza binafsi ni Mtu mwenye Upendo sana!ila ulivyo sema ukubwa jalala!mtu anamtwisha hadi mauaji ya albino nikama yeye ndo alishika panga!mengine hebu tujadili bila kutoka kwenye malengo ya hoja!
 
Back
Top Bottom