Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Na ndugu zetu albino vipi??mnakaaa kimya mnadhani sio watu wale??

Vipi madawa ya kulevya yale majina mbona hataji?naona anamaliza sasa utawala wake.

Vipi wahusika wa Escrow ndiyo basi tena?


Ofcoz siwez kumlaumu kikwete pekeyake...ila CCM kwa kweli mmechoka.

Pisheni tuh kwa amani tuone wengine sasa.

Ona mmefikia kubaya sasa HADI MNAHONGA VIMADA VYENU UDC???kweli????

Aaaah you are disgrace to this Nation.
 
Watakuja watu kubeza hayo mafanikio. Mimi huwa nnawaambia wachanganye awamu zote waone kama Kikwete hajafanya zaidi ya wote.

kati ya kikwete na Mwinyi nani alifanya mazuri zaidi ya mwingine
 
Kwa kweli hakuna Rais amenikosha mtima wangu kama JK. Amefanya watanzania tujivunie kuishi mikoani na sasa amewekeza miundo mbinu mpaka wilayani.
Mwenzenu wakati wowote kuanzia sasa nitahamia mkoa wa Mara lakini makazi yatakuwa Wilaya ya Rorya.
 
Nitawajibu baadhi yenu kama ifuatavyo;.
1. Kuna sentensi mbili nimezitumia kwenye bandiko langu, ya kwanza "Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa" ya pili inasema " mkubwa ni jalala". Sentensi hizo zina maana kubwa kwenu ninyi baadhi msio shukurani na ambao kazi yenu kuyaona mabaya tu na mazuri macho yenu yanakuwa na makengeza.
2. Kuna baadhi yenu mmenikejeli eti kwamba bandiko hilo lililenga kupalilia U-DC! Kwa taarifa yenu sihitaji cheo chochote mile isipokuwa nimesukumwa na ubinadamu Wa kuwwlazimisha nyie vipofu fake mlioamua kumchukia Kikwete kwa sababu zenu binafsi.
3. Ninasikitika sana kuona Tanzania ina watu wa aina ya baadhi yenu ambao kwa michango yenu inaonekana mko tayari kuisaliti nchi kwa chuki tu, inasikitisha sana!
4. Naungana na wazalendo wote akiwemo Faiza Foxy kwa kutokubali kuyumbishwa na wasioitakia mema Tanzania.
NB. Vijana, jueni kuwa nchi hii ni yenu hivyo msikubali kuiacha misingi asisi ya taifa letu kwa tamaa za mafanikio ya haraka. Tutaliangamiza taifa letu!. Jueni kuwa wakati juu ni mgumu ambapo nchi inapita kwenye tanuru LA moto kuelekea kwenye uchumi Wa kati. Ni wakati mgumu kwakuwa maadui wasiotutakia mafanikio watazidi kuongezeka. Watajitahidi kuzalisha maadui Wa ndani ili kutugombanisha. Tuwe imara kwani tukiuvuka mtego juu, biashara maisha!. Tumuunge mkono Rais wetu katika kuwa na ustadi wa kuikwepa mitego hiyo!. Tusimwache aikwepe peke yake kwani akikwama tumekwama wrote ndugu zangu. Tukumbuke, usaliti wetu kwa Raid ni usaliti kwa taifa letu. Tusikubali kuja kuhukumiwa na historian. Site kwa pamoja tuelewe kuwa anachokisimamia Kikwete ni uzalendo kwa nchi take na wala si kuwapuuza watanzania! Vijana! vijana! vijana!, Haya!!!!!.
 
Jamaa Jana mmewasikia Mbeya, wamerukia mambo ya BVR tens, yaani huwa hawaeleweki hasa ni nini wanachokiamini na kukisimamia wanakwenda kwa nguvu ya upepo tu!.
 
Huyo ndiyo katika listi ni wa mwisho kabisa. Huo ndio ukweli.Na Udikteta wake lakini hakuna cha maana kwa Watanzania kutoka kwake kilichozidi wengine.
Nyerere hakupendwa na Wamarekani? Kwani mbona Wamarekani wamempa tuzo kibao huzitambui hizo tuzo unazitambua za Kikwete tu?
 
Kumbuka kuwa mpaka sasa ni wachungaji ndiyo wameshikwa na vipande vya albino.

Kwani hapa tunazungumza udini? Kwahiyo awamu zingine wachungaji hawakuwepo? Udhaifu mwingine Ni hatari kabisa kwa afya ya taifa. Walemavu wangapi wa ngozi wameuawa tangu aingie nadarakani?Ni Wachungaji wangapi wamekamatwa Na kupewa malipo Yao ya haki tangu kipindi hicho. Au naye aliingia madarakani kwa kutumia hivyo viungo? Twesha!!!
 
Kwani hapa tunazungumza udini? Kwahiyo awamu zingine wachungaji hawakuwepo? Udhaifu mwingine Ni hatari kabisa kwa afya ya taifa. Walemavu wangapi wa ngozi wameuawa tangu aingie nadarakani?Ni Wachungaji wangapi wamekamatwa Na kupewa malipo Yao ya haki tangu kipindi hicho. Au naye aliingia madarakani kwa kutumia hivyo viungo? Twesha!!!


Hayo ya dini unaleta wewee, mimi nasema mpaka sasa walioshikwa ni wachungaji na hayo si yangu nimeyasoma, sasa wewe utatia mwenyewe akili mu kichwa chako.

Soma zaidi: Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino.
 
Hivi mimi niko wapi! Nishikeni mkono mkanitoe tongotomdgo hapo kwenye green na daraja.

Macho unayo lakini hayaoni, masikio unayo lakini hayasikii, ubongo unao lakini umelala.

Pole sana.

Mambo ya Kikwete haya:

 
Watu wanazungumzia suala la Mauaj ya Albino,hakuna Kiongoz ambaye ataweza kuweka kila kitu sawa katikd Uongoz wake,Majumban kwetu kuna mambo tunashindwa...Hongera JK,hizo ni changamoto tu...
 
Mzito Kabwela huna ubavu wa kudelete nyuzi zilizoenda shule kama hizi vinginevyo kama umeanza utani na mods wa humu ndani!.

Kiukweli Mkwere kafanya mambo, pondeni mwezavyo ila ukweli ndo huo!
 
Thanks mods, mmenitendea haki na pia mmelitendea haki jukwaa, conglats!
 
Back
Top Bottom