Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

Wewe kinakushinda nini kuwalinda, au wewe si Mtanzania? unangoja kila kitu ufanyiwe? wewe kilema?
kilema ni kiungo
mlemavu ni mtu.
hao watu wanaingiaje kwenye mjadala huu?
you may become one of them at the time you least expected.
mind your language
 
kilema ni kiungo
mlemavu ni mtu.
hao watu wanaingiaje kwenye mjadala huu?
you may become one of them at the time you least expected.
mind your language

Of course, why not? nilikwambia kuwa mimi niko perfect?

Kumbuka "sicheke kilema, mja hujaumbika, diniani mja hauja umbika" - JB:
 
Of course, why not? nilikwambia kuwa mimi niko perfect?

Kumbuka "sicheke kilema, mja hujaumbika, diniani mja hauja umbika" - JB:

maneno ya kupinga kuwepo kwa wazo fulani akilini/moyoni mwako hutamkwa endapo wazo hilo tayari unalo.
 
maneno ya kupinga kuwepo kwa wazo fulani akilini/moyoni mwako hutamkwa endapo wazo hilo tayari unalo.

Sasa unataka nicheze na maneno? Kama ni kilema sijakupa mimi, kama ni mlemavu hayo ni majaaliwa wala si maombi yako wala ya waliokuzaa wala si ya mwengine yeyote.

Kipi kikusikitishacho?
 
Faiza hawana kitu hao. Jana walikuwa na vikao usiku vya viongozi wa kanda mbalimbali. Eti wanapanga kugomea matokeo 2015 na kuwaamuru redbrigade kufanya kazi za jeshi siku ya uchaguzi. In short wanataka kuingia msituni kuasi kwa kuwatumia redbrigade.

Hivi huna laana Fulani kweli wewe? andika yako ni kama unatoka klabu ya kangara vile! Hivi unafikiri akili za wengine ni tope kiasi chako? Pima unayooandika Ndugu acha kuandika UGORO!
 
nashukuru mkuu kwa kuliona hili. watu wanasifia tu wakt awamu hii ndio imeongoza kwa kufanya matumizi yasiyo ya lazima. mabadiliko mengi ya mawaziri, wakuu wa wilaya na mikoa tena wengine walibadilishwa baada ya kukaa kituoni mwezi mmoja tu. safari nyingi za kuhemea nk. ivi UDOM kaanzisha yeye au ni mpango ulioanzia awamu ya tatu kuanzia MEM na MES? au mtu anamsifia kww ujenzi wa barabara bila kujua mafanikio haya yanatokana na uanzishwaji wa road fund ambayo kaikuta. mm naona kazorotesha huu mpango kwa kutokumteua magufuli kutokana na personal hatred. wengine wanafkir kamrudisha magufuli ujenzi kwa kupenda. iv jk alishauriana na nani kujenga bandari kubwa bagamoyo? selfishness. just assume tz ni kampuni yako ww unataka ikutengenezee faida ungepanua bandari gani? no.1 mtwara ili ihudumie mikoa ya kusini na nchi za msumbj, malawi, zambia na DRC. 2. Tanga ili ilete ushindani kwa mombasa. 3. ndo hiyo bagamoyo yake. mtu ana opt chaguo la tatu??? hili limefanyika kwa maslah binafsi na si kingine. niwaulize mnaomwaga sifa zile pesa za EPA zilizorudishwa kisanii ziko wap?
 
"Mzawa JF"huwezi kuwa mzalendo wewe!. Uzalendo tuachie sisi "wazawa wa Tanzania". Wewe baki na kazi yako ya kuitumikia JF!
 
Watakuja watu kubeza hayo mafanikio. Mimi huwa nnawaambia wachanganye awamu zote waone kama Kikwete hajafanya zaidi ya wote.
jamani hata mimi naweza kutumia nyumba ya jirani tajiri nikalinga kuwa ni yangu, ukweli ni kuwa tuaachiwa deni ambalo raisi ajayo atachukua si chini ya miaka 12 kulilipa, na sidhani barabara na madaraja yaliyojengwa na wachina na mafisadi wengine zitadumu kwa kipindi hiki. (kumbuka hata barabara ya msata bagamoyo sii imara kiivyo, leo IMF wanataka turudi kwenye structural adjustements ya uchumi, na hii inamaana watu kuachishwa kazi, bajeti finyu nakadhalika. Ukweli ni kuwa bajeti za mwaka zimechezewa vibaya sana kutokana na usimamizi mbovu, na maendeleo yamedanganywa kisanii na madeni makubwa public dept.jpg public dept.jpg
 
"Mzawa JF"huwezi kuwa mzalendo wewe!. Uzalendo tuachie sisi "wazawa wa Tanzania". Wewe baki na kazi yako ya kuitumikia JF!
Mkuu MJENGA, hakuna aliyesema JK hatalipwa na Mungu. Jk atalipwa tu maana kila kazi ina ujira wake. Kwa Mauaji ya watanzania wasio na hatia kama Mwangosi, Ally Zona, Mauaji ya wana Arusha. Mungu atamlipa Kikwete kwa kuiba fedha za Escrow. Kikwete atalipwa kwa mengi sana. Ukitaka tuyaweke hapa, tutayaweka tu.
 
Last edited by a moderator:
jamani hata mimi naweza kutumia nyumba ya jirani tajiri nikalinga kuwa ni yangu, ukweli ni kuwa tuaachiwa deni ambalo raisi ajayo atachukua si chini ya miaka 12 kulilipa, na sidhani barabara na madaraja yaliyojengwa na wachina na mafisadi wengine zitadumu kwa kipindi hiki. (kumbuka hata barabara ya msata bagamoyo sii imara kiivyo, leo IMF wanataka turudi kwenye structural adjustements ya uchumi, na hii inamaana watu kuachishwa kazi, bajeti finyu nakadhalika. Ukweli ni kuwa bajeti za mwaka zimechezewa vibaya sana kutokana na usimamizi mbovu, na maendeleo yamedanganywa kisanii na madeni makubwaView attachment 228865View attachment 228865

Tukiacha siasa na mahaba binafsi walionayo kina FaizaFoxy Kikwete is the worst president ever
 
Last edited by a moderator:
Upumbavu hautibiki!! tuendelee tu, wakati wenzetu wanachanja mbuga sisi tuendelee kutunga insha za kusifia wasanii
 
Back
Top Bottom