Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Ridhiwani nje na kuiba mali za umma hana ujanja wowote
Acha kujifanya hamnazo na wewe, kwanini hataki kujitenga na system? peleka ujinga wako huko kwa mumeoMatajiri wana kanuni moja …hawana muda wa kukashifu wala kejeli yeyote
wao wako busy kusaka chenji tu ila sie Masikini kazi yetu ni ku assess ujanja wa watu kujua nani mjanja nani sio mjanja na hiyo kazi tuliyojipa haitusaidii chochote zaid ya kutuongezea chuki na msongo wa mawazo
Issue ipo wazi “shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza”.Sasa wewe uelewake maudhui ya andiko la ko, mara watoto wake mara watoto wa marafiki zake mara ni fisadi,.....Dude acha kujadili personality jadili issue, mtu mwenye wivu wa wengine kufa mapema
Bila babake leo hii angekuwa Naibu Waziri? Hata huo ubunge angeupata? Tuanzie hapo kwanza.
Pengine ni kweli ana hela zake lakini kuwezi kumtenga na kufaidika kwake na system....
Hahah
na Wewe Baba yako kakufikisha wako?
kama huridhiki na role ya Baba yako mlaumu Mama yako
Hata Mimi sina maisha kama ya Ridh lakin kidogo nilichonacho msingi wake aliuchimba Marehemu Baba yangu miongo kadhaa iliyopita
Wewe unataka kutuaminisha kwamba unajua January na Nape kuliko wanavyo jijua wenyewe wewe ni investment director wao kujua mali zao? Acha kila mtu ana mfumo wake wamaisha sio lazma kufananaIssue ipo wazi “shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza”.
Jakaya Kikwete ni mstaafu na ajiingizi kwenye siasa kwa sababu ya njaa. Wala mwanawe anufauki kwa uwepo wake.
Ridhiwani uwaziri ni prestige tu lakini sio kimaslahi ila halipo tayari ni tajiri; siku mkijua anamiliki nini wengi mnaweza dhani hizo mali kazi pata baada ya uwaziri.
Issue inakuja kwa watu kama Nape na January hawana tangible investment awawezi kuwekeza kwenye biashara ambapo Jakaya Kikwete inabidi awabebe watoto wa rafiki zake kila siku kupata mwanya wa kuiba serikalini au ndani ya CCM.
Una roho ya kimasikini sana dogoHivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora.
Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea.
Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.
Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete.
Ridhiwani amekuwa mmbunge toka baba yake raisi. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.
Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi amvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za uzalezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.
Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata awawezi kujiendeleza; na ndio icho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.
Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wagodo zake ni jasho lao.
Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
Namna unavyojipendekeza inatosha kutuambia njaa zako.Wewe unataka kutuaminisha kwamba unajua January na Nape kuliko wanavyo jijua wenyewe wewe ni investment director wao kujua mali zao? Acha kila mtu ana mfumo wake wamaisha sio lazma kufanana
Kwanini?Una roho ya kimasikini sana dogo
Kwa hiyo jasho la Ridhiwani wewe unalijua vizuri sana?Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora.
Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea.
Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.
Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete.
Ridhiwani amekuwa mmbunge toka baba yake raisi. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.
Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi amvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za uzalezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.
Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata awawezi kujiendeleza; na ndio icho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.
Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wagodo zake ni jasho lao.
Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
Ufisadi wake ni upi?Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know,
Punguza chuki, itakufa siku si zakoTatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.