Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

Hivi 'over my dead body' ndiyo huwa inamaanisha 'juu ya mwili wangu uliokufa?' au 'juu ya maiti yangu?'
 
hivi lile kupe la monduli bado lipo kweli! Naona limesuswa kweli na misukule yake, linatamani magufuli alipe hata ukuu wa wilaya! Midudu mingine bwana eti bado linatamaa ya kwenda ikulu

kiranja wa wapumb.avu wewe. kama huna cha kuchangia funga bakuli lako
 
hivi lile kupe la monduli bado lipo kweli! Naona limesuswa kweli na misukule yake, linatamani magufuli alipe hata ukuu wa wilaya! Midudu mingine bwana eti bado linatamaa ya kwenda ikulu
wakwere kwa vijembe hamjambo ila urais ndio bac ngosha ndio habari ya mjini
 
Achana Nalo Hilo Halijielewi.Ban Alimrithi Anan Toka Afrika,kwa Maana Nyingine Hiki Cheo Kurudi Afrika Ni Labda 2045,sijui Huyo Kichwa Nazi Wa Msoga Atakuwa Na Umri Gani!!

Huyo jamaa wa usukumani anakera kuliko kero!
 
Ubishi Mwingine Bhana!! Hivi Hujui Hata Hiki Cheo Cha Unaibu Katibu Mkuu UN Umeanza Kipindi Cha Annan!?.Mambo Yanabadilika Bhana Japo Kwa Hili La Kubadili Ili Tu JK Awe UN-sec Gen Halitatokea. Ok,tambua Hizi Kanuni Kwa Sasa Siyo Traditional Bali Ni Formal. Hao Wanaowatajataja Uliowasema Ni Wale Wasioelewa Kanuni Kama Huyu Mleta Post Pengine Na Wewe Pia!.
Sijamtaja JK kwenye post yangu bali nimezungumzia taratibu za kumpata SG wa UN na ndio maana nikakuuliza hizo Kanunu za Kidumu zimetungwa lini na zinasemaje??!! Kama sio just UN traditions basi nilitarajia ungezitaja hizo kanuni lakini badala yake unaishia kusema hatujui!! Sasa wewe unaezijua zitaje hizo kanuni... mbona simple tu!!??
 
Haiwezekani!!!!!!!!!!! aseeee....yani ni sawa na nyumbu kumrithi punda mwitu
 
Sijajua kama wanafanyaga rotation, ila kama ni rotation basi SIO zamu ya Afrika, labda Amerika ya kusini, Amerika ya kati, au huko nchi za magharibi.
Kabla ya Ban Ki Moon alikuwa mghana Koffi Annan.

Sidhani kama kuna rotation coz before Koffi Annan, alikuwepo mwafrika tena Dr Butrous Butrous Ghali wa Misri!
 
china na marekani kuizonga Tanzania Ni sababu ya Maliasili uliyoikalia hawana urafiki na mtu yoyote,rafiki Yao Ni gesi,tembo,twiga,uranium,coal,iron ore,gold,diamond,tanzanite nk
America does not have permanent friend or permanent enemy sera Yao hapendwi mtu Bali utajiri
bush,Obama na mchina wana urafiki na Mali ya tanzania Tu na sio vinginevyo.
hata putin(Russia)amewekeza kwenye uranium.
Hayo ndo maneno ya ukweli mengine porojo
 
BAN ki Moon anatokea kore ya kusini ambayo ina migogoro ya miaka na korea kaskazini lakini huyo kapeta katibu mkuu wa UN.

Matatizo ya Zanzibar ni ya wazanzibar wenyewe.Kikwete alikuwa Raisi wa serikali ya Muungano.Kwenye mambo ya muungano tuliyokubaliana na yaliyoko kwenye katiba ya Tanzania suala la uchaguzi wa serikali ya Zanzibar si jambo la muungano halimo kwenye mkataba wa muungano wala kwenye katiba.Hilo ni la wazanzibari wenyewe halimhusu Kikwete.Si kazi yake kulishughulikia atakuwa anaingilia mambo ya ndani ya Zanzibar.Nchi huru yenye Raisi,Makamu na baraza lao la mawaziri na wimbo wao wa Taifa wauimbao wapendapo hata baada ya kunywa urojo wakitaka.

Shuwaiyn..., mbona gesi na mafuta munaitaka?? mueandika kwenye katiba ardhi iwe ya Muungano? Rais wa Zanzibar akitoka nje ya Tanzania aandike barua kwa waziri wa mambo nje Tanzania bara kuomba ruhusa?
 
Kumbuka UN ilishakubaliana na maamuzi ya tume ya uchaguzi ya kurudia, pia hili la JK kuwaachia wazanzibar waamue mambo yao wenyewe limemwongezea sifa zaidi.

humpi mtu joto., ccm wameisoma namba Zanzibar
 
china na marekani kuizonga Tanzania Ni sababu ya Maliasili uliyoikalia hawana urafiki na mtu yoyote,rafiki Yao Ni gesi,tembo,twiga,uranium,coal,iron ore,gold,diamond,tanzanite nk
America does not have permanent friend or permanent enemy sera Yao hapendwi mtu Bali utajiri
bush,Obama na mchina wana urafiki na Mali ya tanzania Tu na sio vinginevyo.
hata putin(Russia)amewekeza kwenye uranium.
Hayo ndo maneno ya ukweli mengine porojo
 
Ile ni UN siyo Tanzania, uccm wenu pelekeni huko

CCM moto wa kuotea mbali imeshapeleka UN naibu katibu mkuu wa BAN ki MOON ambaye ni ASHA ROSE MIGIRO na mwana CCM mwingine Profesa ANNA Tibaijuka.CCM sio wageni UN sio kama CHADEMA.Tukitaka mwana CCM mwenzetu Kikwete aende UN tunaweza.

Haya CHADEMA na UKAWA tupeni uzoefu wenu wa UN.Mnachojua ni maandamano mitaani na kelele bungeni
 
Back
Top Bottom