Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

Sijajua kama wanafanyaga rotation, ila kama ni rotation basi SIO zamu ya Afrika, labda Amerika ya kusini, Amerika ya kati, au huko nchi za magharibi.
Kabla ya Ban Ki Moon alikuwa mghana Koffi Annan.

Africa mara mbili?
 
CCM moto wa kuotea mbali imeshapeleka UN naibu katibu mkuu wa BAN ki MOON ambaye ni ASHA ROSE MIGIRO na mwana CCM mwingine Profesa ANNA Tibaijuka.CCM sio wageni UN sio kama CHADEMA.Tukitaka mwana CCM mwenzetu Kikwete aende UN tunaweza.

Haya CHADEMA na UKAWA tupeni uzoefu wenu wa UN.Mnachojua ni maandamano mitaani na kelele bungeni

Kikwete aliwin huku tu huyo jamaa mzigo kabisa
 
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.

Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.

Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.

Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.

not so fast, chief. bado kazi ya kutumbua majipu inaendelea, who knows?

I recall Mkapa alikuwa akipigiwa upatu kama huu mara tu alipostaafu...bomu la ANBEM na Kiwira lilipolipuka - chali!

tusubiri huu upasuaji wa majipu ulioanza - kama ni upasuaji genuine, sijui kama kuna watu tutapona hapa.

...and am not insinuating anything here!
 
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.

Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.

Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.

Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.

NIlikua najua kwamba Tanzania ni moja ya nchi zenye watu wenye lowest IQ duniani, ila sikujua hata humu JF wapo

duuuuuh
 
elimu ,elimu,elimu.Wanafanya rotation.mpaka zamu ya africa ifike jk atakuwa kaishasahulika,pili lazima ujue lugha za kimataifa japo mbili,jk anajua kiswahili tu

Kiswahili chenyewe kile cha akina Hadija Kopa!
 
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.

Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.

Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.

Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.

Hahahahaha labda united nations ya msoga fc
 
amesafiri kuzungukA dunia nzima nafkiri wakitumia hicho kigezo atapata
 
Sijamtaja JK kwenye post yangu bali nimezungumzia taratibu za kumpata SG wa UN na ndio maana nikakuuliza hizo Kanunu za Kidumu zimetungwa lini na zinasemaje??!! Kama sio just UN traditions basi nilitarajia ungezitaja hizo kanuni lakini badala yake unaishia kusema hatujui!! Sasa wewe unaezijua zitaje hizo kanuni... mbona simple tu!!??

Mkuu chige Nadhani Unataka Mpaka Ibara,kiufupi Siikumbuki Ila Jaribu Kupitia Kanuni Zao. Mojawapo Ni Hii Rotation Ktk SG Postion Kimabara.
 
Last edited by a moderator:

wacha uongo hiyo ni kanuni ya fifa ndo finals zinazunguka kimabala
 
Last edited by a moderator:
mtu hajui chanzo cha umasikini wa nchi moja ataweza kutatua matatizo ya dunia!!!
Yani umenichekesha hatari jamaa ajui kwanini Tanzania inakuwa masikini wakati yeye ni Rais wa nchi!....Pili kutoka Rais nakuwa UN Secretary General ni Demotion
 
Haki ya Mungu... mtoa mada... unaishi kwann... una faida gani..!!? Hata shetani anakushangaa.. achia mbali Mungu aliyekuumba..!!

🐗🐗🐗😨
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Ndoto za mchana
 
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa
Okay, taja sifa moja kati ya hizo sifa nzuri za kimataifa.

In other words, taja kitu kimoja ambacho JK anasifika kimataifa kwa kukifanya.
 
utendaji sing'ori.hata kwa kuota haiwezekani labda kwa figisu figisu;ameshindwa kufufua viwanda vya nchini kwake,wajasiriamali,fursa na maloghafi za ndani.Ataweza kwa mataifa mengine?Labda apige ulaji kama kawa...
 
Back
Top Bottom