Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

Tanzania ni kati ya nchi 10 zenye IQ ndogo kabisa duniani.

Wenye dunia yao sio wajinga kiasi hicho huwa wanaangalia IQ ya mtu na IQ ya nchi yenyewe.
 
elimu ,elimu,elimu.Wanafanya rotation.mpaka zamu ya africa ifike jk atakuwa kaishasahulika,pili lazima ujue lugha za kimataifa japo mbili,jk anajua kiswahili tu
 
Kwamba bushi alikuja kwa mapumziko kwa muda wa angalau siku tatu.....
 
zamu ya Afrika

Hujielewi Wewe!! Mwambie Abadili Uraia Aende Bara Jingine,kwa Afrika Tena Mahesabu Yanaonesha Ni Baada Ya 2045,sijui Huyo Vasco Da Gama Wako Atakuwa Na Umri Gani Kufiti Postion Hiyo!!
 
Ban Ki-Moon UN wakati Tanzania yenyewe ina migogoro kule Zanzibar anajifanya kama ametia pamba za masikio? itakuwa maajabu asitufae sisi watanzania lakini akafae kwa Nchi nyengine ulimwenguni, Charity begins at Home.

Kumbuka UN ilishakubaliana na maamuzi ya tume ya uchaguzi ya kurudia, pia hili la JK kuwaachia wazanzibar waamue mambo yao wenyewe limemwongezea sifa zaidi.
 
Kichwa cha nazi ! Hata mwenyekiti wa kijiji hapati

Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.

Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.

Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.

Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.
 
Kikwete anaweza kabisa kushika hiyo nafasi.Ni viongozi wa Afrika tu kupendekeza hilo jina lake.Na akipendekezwa atashinda kwa kura nyingi mno kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kugombea nafasi hiyo.Sababu hatakuwa na shida kuungwa mkono na mabara mengine ya Asia,Ulaya na Marekani kwani huko kote viongozi wake wanamkubali vizuri mno

Acha Uboya,zamu Ya Afrika Tena Ni Baada Ya 2045. Nakala Aione Mzee Mwanakiji Na Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Hujielewi Wewe!! Mwambie Abadili Uraia Aende Bara Jingine,kwa Afrika Tena Mahesabu Yanaonesha Ni Baada Ya 2045,sijui Huyo Vasco Da Gama Wako Atakuwa Na Umri Gani Kufiti Postion Hiyo!!

Kwani kutoka Boutous Ghali hadi Koffi Anaan ilichukua miaka mingapi?
 
America ya kusini hasa Brazil na Argentina ni tishio kwa nchi za kaskazini hasa ulaya na nchi unazozitaja hazina mahusiano mazuri na Marekani hasa katika masuala ya udhibiti wa dawa za kuleva. Afrika imeshatoa makatibu wa kuu wawili Koffi Anaan wa Ghana na Bhutrose Ghali wa Misri wote hao hawakuwa na shida na nchi za G20 hivyo tayari Africa inarekodi nzuri juu ya nafasi hiyo.

ndio maana nikataja nchi ndogo maana hizo kubwa zimeshasuguana na nchi zilizoendelea sidhani kama watapewa nafasi hiyo, kwasababu nchi za magharibi zilizoendelea zinataka waweke mtu ambaye atawakubalia kirahisi kwenda kuwapiga waarabu maana vita ya ugaidi imeshika kasi, mpaka watu wameanza kusahau kama kulikuwa na riseshen.

kwahiyo nchi ndogo ndogo zina nafasi kubwa kwasababu hazija wa kera nchi kubwa na pia watu wao ni wanyenyekevu na wanaweza kuruhusu agenda za nchi zilizoendelea kusambaza 'demokrasia' kila kona ya dunia.
 
Mwambie Safari njema. Hivi ile club ya wajanja wa mjini ....Saigon bado ipo?
 
ndio maana nikataja nchi ndogo maana hizo kubwa zimeshasuguana na nchi zilizoendelea sidhani kama watapewa nafasi hiyo, kwasababu nchi za magharibi zilizoendelea zinataka waweke mtu ambaye atawakubalia kirahisi kwenda kuwapiga waarabu maana vita ya ugaidi imeshika kasi, mpaka watu wameanza kusahau kama kulikuwa na riseshen.

kwahiyo nchi ndogo ndogo zina nafasi kubwa kwasababu hazija wa kera nchi kubwa na pia watu wao ni wanyenyekevu na wanaweza kuruhusu agenda za nchi zilizoendelea kusambaza 'demokrasia' kila kona ya dunia.

nchi ndogo kama mexico etc zinasuguana na mataifa makubwa juu ya biashara ya mihadarati sidhani kama zinaweza ungwa mkono na mataifa makubwa.
 
Nasikia Boeing na Airbus wanataka waunganishe nguvu jamaa atumike kwenye matangazo ya ndege zao.
Kama kulivyo na matesta wa bia, jamaa ni testa wa airline bomba
 
Uzi mwingine wa JK, naona JK akipata nafasi hiyo atakwenda mwezini kama space tourist kwa jinsi anavyopenda safari. Wakimuuliza kwa nini unapenda sana safari za anga za mbali atajibu naenda kutafuta misaada ya dunia yetu

Ha ha ha! Jamaa Atafika Mpaka Juani Kabisaa!
 
Nasikia Boeing na Airbus wanataka waunganishe nguvu jamaa atumike kwenye matangazo ya ndege zao.
Kama kulivyo na matesta wa bia, jamaa ni testa wa airline bomba
mbona tunaambiwa aliyesafiri zaidi ni CAG Ludovic Uttoh.
 
zamu ya Afrika imeshapita, Ban Ki Moon alipokewa mikoba kutoka kwa Kofi Annan (Ghana, West Afrika)

ila pia kuna uwezekano wa kumtoa mtu Afrika tena, maana bara mengine yaliyoendelea hawataki ku dominate dunia na pia wako busy sana kuisakama Mashariki ya Kati (Middle East).

binafsi, kama ni fair vote na kuangalia historia, nadhani AMERIKA YA KUSINI wapewe nafasi ijayo, hasa vinchi vidogo kama Bolivia, Peru, Uruguay au Guyana.

kwani huyo katibu mkuu ana effect gani! Katibu mkuu yoyote pale ni pambo tu kama sanamu.
 
Uzi mwingine wa JK, naona JK akipata nafasi hiyo atakwenda mwezini kama space tourist kwa jinsi anavyopenda safari. Wakimuuliza kwa nini unapenda sana safari za anga za mbali atajibu naenda kutafuta misaada ya dunia yetu
hahahahaha hashindwi huyu mkwere
 
Back
Top Bottom