JK??? Over my Dead Body.......
Hizo Kanuni za Kudumu zimepitishwa lini na zinasemaje? Kilichopo kwenye regional rotation is just tradition lakini sio formal... not written anywhere in UN Charter na ndio maana, hata baadhi ya wanaotajwa tajwa wapo pia wa Asia Pacific na Latin America.Swali Zuri,jibu Ni Michache.Kumbuka Kipindi Hicho
Kanuni Za Kudumu Kuhusu Hii Nafasi Zilikuwa Bado Hazijawekwa.Lakini Pia Jiulize Kwa Nini Mwinyi, Mkapa Na JK Walikaa Ikulu Miaka 10 Tu Wakati Mwl Nyerere Alikaa 25yrs.
Mkuu ndoelimu ,elimu,elimu.Wanafanya rotation.mpaka zamu ya africa ifike jk atakuwa kaishasahulika,pili lazima ujue lugha za kimataifa japo mbili,jk anajua kiswahili tu
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.
Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.
Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.
Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.
Jamani hata iweje, dunia inamjua da gama asivyo kiongozi mwenye malengo ila ni mtanuaji. Haiwezekani. Labda kama watampa idara ya matanuzi , mipasho kama ya taarabu. Hapo ndo pakeelimu ,elimu,elimu.Wanafanya rotation.mpaka zamu ya africa ifike jk atakuwa kaishasahulika,pili lazima ujue lugha za kimataifa japo mbili,jk anajua kiswahili tu
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.
Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.
Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.
Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.
Kikwete anaweza kabisa kushika hiyo nafasi.Ni viongozi wa Afrika tu kupendekeza hilo jina lake.Na akipendekezwa atashinda kwa kura nyingi mno kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kugombea nafasi hiyo.Sababu hatakuwa na shida kuungwa mkono na mabara mengine ya Asia,Ulaya na Marekani kwani huko kote viongozi wake wanamkubali vizuri mno
zamu ya Afrika imeshapita, Ban Ki Moon alipokewa mikoba kutoka kwa Kofi Annan (Ghana, West Afrika)
ila pia kuna uwezekano wa kumtoa mtu Afrika tena, maana bara mengine yaliyoendelea hawataki ku dominate dunia na pia wako busy sana kuisakama Mashariki ya Kati (Middle East).
binafsi, kama ni fair vote na kuangalia historia, nadhani AMERIKA YA KUSINI wapewe nafasi ijayo, hasa vinchi vidogo kama Bolivia, Peru, Uruguay au Guyana.
Hizo Kanuni za Kudumu zimepitishwa lini na zinasemaje? Kilichopo kwenye regional rotation is just tradition lakini sio formal... not written anywhere in UN Charter na ndio maana, hata baadhi ya wanaotajwa tajwa wapo pia wa Asia Pacific na Latin America.
mtu ambaye hajui kwanini nchi yake maskiniDo you have any reason to comment that???
Kutokana na sifa nzuri ya JK kimataifa zipo tetesi anaweza kumrithi katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana Ban Ki-Mooon muda wake ukiisha. JK ni kiongozi pekee kutoka nchi za dunia ya tatu mwenye mahusiano mazuri, ni rafiki mzuri wa china, marekani, ujeruman uingereza na ufaransa ambao ni watu wenye ushawishi mkubwa katika baraza la umoja wa kimataifa.
Wakati wa utawala wake viongozi wakuu wa Marekani walitumia muda wa kutosha kupumzika Tanzania ikiwemo Rais George Bush kukaa zaidi ya siku tatu Tanzania jambo ambalo halijawahi kutokea. Pia wakati wa mkutano wa kibiashara wa dunia marais watatu wa marekani walikutana Tanzania kwa mpigo jambo ambalo si la kawaida.
Katika mkutano wa china na afrika JK alionekana akitaniana na rais wa China kana kwamba anaongea na swahiba wake wa karibu huku akiwatambulisha watu mbalimbali kwa mkuu huyo wa uchina.
Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa mambo ya nje balozi Augustine Mahiga ambaye ni rafiki wa karibu wa Ban ni dhahiri Mahiga atalichomeka jina la JK kwa Ban Ki-Moon watakapokutana katika masuala ya kimataifa.
Ni kweli hakuna muisilam aliyewahi kuwa katika mkuu wa UN Boutrous Ghali alikuwa ni mkristo wa madhehebu ya Coptic