Sasa wawili wameshakufa! Yaani hao mtu 2 ndio Wanaburuza nchi kiasi hiki?Kumbukumbu ziwekwe vizuri Wana mtandao ni
J kikwete
Rostam
Samwel sitta
Lowassa
Duh kweli Tanganyika imepakatwa na ikapatikana
Kwa kweli ni masikitiko sanaSasa wawili wameshakufa! Yaani hao mtu 2 ndio Wanaburuza nchi kiasi hiki?
Hao ni kama walikuwa wako kwenye "Payroll" kabisa...Msisahau waandishi wa habari waliokuwa kwenye mtandao wa kikwete
Wao wakiiba wanaenda kununua ma lambogini, unakuta hela hairudi kwenye mzunguko.Wanasema kuiba sio kubaya basi hzo pesa zije kwenye mzunguko hata walalahoi wapate mkate.
Jakaya sioKumbukumbu ziwekwe vizuri Wana mtandao ni
J kikwete
Rostam
Samwel sitta
Lowassa
Duh kweli Tanganyika imepakatwa na ikapatikana