Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao

Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao

Maana kwa maelezo ya Kikwete alikuta yupo Samuel Sitta, Edward Lowassa na Rostam Aziz.

Jee nani aliyesema Kikwete aitwe? Ni Sitta, Lowassa au Aziz. Maana kama tayari Lowassa alishakubali kwenda kuchukua fomu, ilikuwaje tena wamwite na Kikwete?

Jee yeye Kikwete alikuwa hautaki Urais?

katika yoote mnasahau uislamu ambao uko vitani tangia uhuru against the so called "mfumo Kristo", hivyo inaelezea kwa nini yeye na siyo lowasa, muslims wako vitani ila adui yao hajui anaona poa tu kwamba yanayotokea na yanayoendelea ni mambo ya kawaida, ni kama hadithi ya chura kwenye sufuria la maji vuguvugu ambalo joto lake huongezeka polepole huku chura akiona raha ya uvuguvugu wa maji na kufurahia ambacho chura hakukijua ni kwamba joto la maji linaongezeka polepole akaja kushtukua imefikia nyuzi joto 100 c ikawa too late kuruka, akachomeka na kuangamia ...

1756626961499.png
 
Back
Top Bottom