Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,525
- 6,258
Wako systematic, focused and very strategic.....kumfuata mtu mkubwa na kumueleza mipango yao hakika, hoja ya Mh. Polepole isipuuzweWanamtandao toka 1990s mpaka leo, wanakosana, wanapatana.
Na bado wanaendelea kuchanja mbuga.