Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao

Jakaya Kikwete akizungumzia mtandao

Mtandao ni zao la Rostam Aziz na Rip Edward Lowassa !!!

Wengine wote wameukuta akiwemo Jakaya na Rip Benjamin William Mpaka !!

Mtandao lengo lake kuu nini kumwingiza Edward Lowassa Ikulu kivyovyote. !!

Baada ya rip MWALIMU Nyerere kudaiwa kumkataa Edward Lowassa.!!

kwakuzingatia ya Samuel Malecela Rostam Aziz
na Lowassa Wakasuka mipango ya kuwa na Mtandao ya hatari ndani ya CCM lengo EDO au waweka Viongozi wanao wataka wao MADILI yao makubwa yasonge mbele!!!

baada kifo cha Nyerere 1998 Lowassa na Rostam waliamini sasa njia nyeupe ya kwenda Ikulu EDO.

kwaiyo Mtandao ukaendelea kumsapot Benjamin Uchaguzi wa 2000 to 2005 kumalidhia miaka yake 10!!!

Apo Mtandao Ukasimama na Jakaya 2005 to 2015 ukadhani chini ya Jakaya ambaye pia ni Rafiki mkubwa wa Edward Lowassa !!!

tena Jakaya kampa UWaziri Mkuu EDO CCM ipo chini ya Mtandao wao Wakaamini kutoka 2015 to 2025 Edward Lowassa ndio RAIS wa Nchi kwa 100%

✍️💩👹👺Zimwi likatokea kukaibuka mgogoro Mkubwa wa Richmond MEDIA za kipindi kile habari ni Richmond tangu mgogoro wa Richmond Shida ikaanzia hapo!!!

Mgogoro ukapelekea kujiuzulu kwa U P.M Edward Lowassa ya Uwaziri Mkuu !! nayeye Rostam akaja kujiuzulu. Ubunge wa IGUNGA kwakujivua Gamba baada ya kuchoka kuitwa Gamba la kifisadi chini ya CCM ya Jakaya kikwete !!!

toka apo hakuna maelewano kati ya. JAKAYA na Rostam.

Sijawai kuwaona wakiwa pamoja ni paka na panya !!!

kwaiyo JAKAYA ndio kupambania kuuvunja Mtandao ulikuwa mkali sana kina Kimbisa uyu uyu Emanuel Nchimbi Makamu wa Sasa wa Rais mwana Mama Sofia Simba UWT !!!

Mtandao ulikuwa unatisha !!+
kinoma Jakaya apewe mauwa mengi!!!

ni wajinga wasioelewa Jakaya au wanajua lkn wapo kufanya propaganda zao!!!

kasaidia kazi ya kuuvunja uwo mtandao kamkwamisha Edward Lowassa na Badala yake tukaondoka na JPM 2015 to 2025 !!

ila watu Uwelewa wao upo Chini sana
Kumbukeni kidogo rip JPM baada ya kukutana na Rip Edward Lowassa na Lowassa kurejea CCM siku iyo !!!

nini kilifatia apo ni kuonana kwa JPM na Rostam AZIZ kabla yake Rostam alikuwa nikama TZ hayupo vile !!!

so Jibu nikwamba Edward Lowassa na Rostam ndio wenye Mtandao
sio Jakaya

Na Rostam, na Jakaya ,sio marafiki kabisa.
Polepole wakupewa pole tu sio wa kumwamini kwasasa..

Umeandika hadithi ndefu isiyo na muunganiko wala mahusiano. Kwanza rekebisha hapo Nyerere hakufa mwaka 1998 bali 1999.
 
Hivi wale mitume kumi na mbili wakimpinga ufisadi wakiwemo lucas, seleli, victor mwambalaswa, aloyce kimaro ongeza na reginald mengi hawa walikuwa mtandao gani? Maana walichachamaa sana kiasi cha kufanya chama chao kigawanyike kimaadili na usafi
Na mimi niulize swali, unao waulizia ndio hawa pia.
Sitta, Mwakyembe, Anna kilango, eti na Makonda.

Au hawa nao ni wengine.
 
Wakuu nikichangia mada nitawekwa kundi gani? Anyway nakula upepo wa maji ya mchamba wima
 
Rostam Aziz ndo masterminder yeye ndo anaweka Marais wote
Maana kwa maelezo ya Kikwete alikuta yupo Samuel Sitta, Edward Lowassa na Rostam Aziz.

Jee nani aliyesema Kikwete aitwe? Ni Sitta, Lowassa au Aziz. Maana kama tayari Lowassa alishakubali kwenda kuchukua fomu, ilikuwaje tena wamwite na Kikwete?

Jee yeye Kikwete alikuwa hautaki Urais?
 
Ni jinga tu Mbumbumbu. litaamini. JAKAYA KIKWETE nayeye ni mwanamtandao.!!!

Kama jibu. Ndio.
Swali nauliza mwenye Akili anijibu ???

Ikiwa Jakaya ni kundi moja la Rostam na Edward Lowassa !!!!

Kwanini chini ya Uwenyekiti wa JAKAYA kikwete ndio CCM ilikuja na. Kujivua. GAMBA ??

chini ya Jakaya ndio Edward Lowassa kujiuzulu Uwaziri Mkuu!!!!¿

chini ya Jakaya Samuel Sitta Spika wa Bunge alitaka kuelekea nje ya nchi Siku Kamati ya Mwakembe inataka kusoma riport yake Bungeni!!
Jakaya kikwete kamzuiya Sitta yupo airport na kumtaka kurudi kuongoza Bunge siku iyo¿¿¿

Chini ya Jakaya Rostam Aziz kajivua Ubunge IGUNGA!!

bado tuendelee kuwaamini Jakaya kikwete nayeye ni mwana mtandao wao !!!
Tuseme kweli ndugu zangu chuki yako kwa Jakaya kikwete isifanye upotoke na kumsingizia uwongo mzee wetu kafanya mengi kuliponya Taifa!!!

Bado Jakaya ni mwanamtandao
uku kawakaba koo wakuu wa mtandao ndani ya CCM na Bungeni ???

😄 😀😀😀 Jakaya ni hazina ya nchi ndugu yangu. Kama sio yeye kwapamoja atujui nchi ingekuwaje leo Ndiomana kelele juu yake nyingiiii wanamjua misimamo yake mzalendo sana Jakaya..!!

mungu amuongezee umri zaid Kiongoz wetu mstaafu
 
Makonda hakusema alisomeshwa na Sita 😂
Kwa hiyo na yeye ni kajukuunau katoto ka wanamtandao😁
Pia nimeona kumbe wako wengi waliowekwa ktk system na wanamtandao...soma Uzi huu hapa chini uone jinsi watu walivyoingizwa ktk serikali na RA na team....hata Bash jamani kumbe alikua mfanyakazi wake ktk moja ya kampuni ya habari ...kweli polepole asipuuzwe hata kidogo....shtuka..nchi imeuzwa kitambo👇
 
Kumbukumbu ziwekwe vizuri Wana mtandao ni
J kikwete
Rostam
Samwel sitta
Lowassa

Duh kweli Tanganyika imepakatwa na ikapatikana
Alikuwepo pia Membe anayetajwa na Slowslow kuwa master mind katika kumtanguliza Magu mbele ya haki. Na sasa sa100 na shosti wake Angela Kiziga ni sehemu ya mtandao wa kuibagaza nchi yetu.
 
Aisee aisee.Duuu.Yaliyokuwa gizani sasa hadharani.

Hii inaunganisha dots kwa haraka sana

Mbona ilikuwa inajulikana kitambo mzee...

Kundi la mtandao liliundwa ili kupena zamu ya kuongoza nchi au kuwa PM au Spika, yaani vile vyeo vya maamuzi vya nchi...

Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, sasa mtandao umebakia kwenye maslahi binafsi na sio ya kisiasa...
 
Back
Top Bottom