Jaji Warioba Kujiuzulu?

Jaji Warioba Kujiuzulu?

Status
Not open for further replies.
Huyu mzee naye inampasa awe na ngozi ngumu kidogo. Yaani kuambiwa na Bulembo kuwa ana sura kama ngiri ndiyo imekuwa nongwa? Mbona JK kila siku tunamsema ana matege lakini wala hana hata mpango wa kumwachia Bilal ofisi. We Warioba embu tulia bwana. Acha utoto huo. Yaani unasusia shamba nguruwe?

Bora angeambiwa ana sura ya kazi kama ya mtoto wa mkulimaa aka 'ACHA WAPIGWEE'
 
Jukwaa hili linazidi kushuka hadhi kila sekunde.
 
Bado tu hajakutana na waandishi? Ni wapi kwani? Pale ofisini kwake Ohio Str?
 
Mhh! VP waandish wameenda? Naona sa 8 imeingia bado tetesi hazijawa taarifa!

Kazi kweli kweli.
 
;
;Nadhani hatakiwi kujiuzulu kwa sasa.......apigane mpaka mwisho na jina lake litakuwa alama ya mabadiliko ya kweli.
 
Kipindi hiki wanasiasa wangejitahidi sana kuwa na subra na kuchunga ndimi zao
hasa pale wanapomshutumu moja kwa moja Mwenyekiti wa tume aliyeteuliwa
na rais wa nchi kwa manufaa ya wote.

Binafsi sioni sababu yoyote ya wanasiasa kumnanga waziwazi Mzee Warioba
tena mbele za watu ambao walimchagua Rais kwa kura nyingi ambaye nae
aliteua jopo la wataalamu kukusanya maoni.

Ifike mahala wanasiasa wasiwe wasemaji wa mambo ambayo yanahitaji
utaalamu na weledi wa hali ya juu.

Kumshambulia Mzee Warioba ni kutomtendea haki kwani katika tume ile
hayuko peke yake bali yuko na jopo la wadau mbalimbali wenye
mitazamo na mawazo tofauti.Hivyo kile ambacho siku zote Mzee Wariaoba
anachokiwasilisha kimependekezwa na jopo lake kupitia maoni ya watu.
 
Mimi namuunga mkono ndugu warioba,katiya wazee wanao eshimika tanzania mzee warioba ni miongoni mwao,kwanza kabisa naomba tujielekeze kwenye hoja ya msingi juu ya mustakabali wa nchi yetu, wakati nikipitia uzi uhu wa bwana .b.g.tantawi, nimeona baadhi ya watu wakimdhiaki mzee warioba, lakini nimegundua ni watu wa chama cha mapinduzi, ambao wana pepo la kupinga mabadiliko ya katiba mpya, ukimsikiliza huyu bwana bulembo utajiuliza huyu ni kiongozi wa chama au ni deiwaka na kibaraka tundani ya chama,ambacho chini ya uongozi thabiti wa baba wa taifa usinge wasikia watu kama bulembo,nape,mwigulu,wakiongea pumba zao majukwaani juu ya mambo muimu kuusu mustakabali wa taifa letu, nitampongeza sana mzee warioba kama atachukua hatua hiyo ya kujiuzulu,nafasi ya uwenyekiti wa tume,kwanza atakua kalinda heshima yake kama mtu makini kabisa,na ihitathibitisha wazi kua maccm hayana nia tadhati juu ya mabadiliko ya katiba, ukisikiliza hotuba ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi bw bulembo aliyoitoa kule tanga, ni hotuba ya kumdhalilisha mzee warioba, na uwezi kujua ni upinzani gani mzee warioba anaokumbana nao ndani ya chama na nje ya chama,kwa nguvu kubwa, napenda kuwambia viongozi wenye mtazamo wa ulevi wa madaraka kama bw bulembo,nchi ihi kamwe haiwezi kuwa ya chama cha mapinduzi, na wasifikiri wao kama chama mawazo yao ndio yakubaliwe na watanzania,izi sio enzi za zidumu fikra za mwenyekiti, watanzania wamesha amka usingizini na kujua haki zao,wao wawetayari kwa maamuzi ya wenye nchi,ambao ni wananchi wenyewe, na kamwe ccm haita tawala milele wakubaliane na matokeo kama mwenyekiti wao taifa alivyo waambia wajiandae kwa lolote,
 
Kama tume ya Warioba ingependekeza maoni ya wanamagamba peke yao hapo kungekuwa na serikali mbili lakini ile tume ilikuwa inapendekeza maoni ya wananchi wa jamhuri ya Tanzania ambao wanataka muungano wao uwe wa serikali TATU!! Kwavile nyie mburula wa magamba hampendi mapendekezo ya tume , ndio maana mnafanya kila mbinu ili TUME isambaratike ili mpate mwanya wa kuchakachua rasimu ya katiba; hamjui kuwa kufanya hivyo mnaipeleka nchi kwenye machafuko ambayo yataigharimu nchi uhai wa watu wengi na nchi hii haitatengemaa tena kwasababu ya upuuzi wa watu wachache wanaofikiri kwa kutumia matumbo yao!!!
 
Akijiuzulu atakuwa ameshindwa. Anatakiwa kujali majukumu yake na kuwapuuza CCM na ushuzi wao.
 
Huyu mzee naye inampasa awe na ngozi ngumu kidogo. Yaani kuambiwa na Bulembo kuwa ana sura kama ngiri ndiyo imekuwa nongwa? Mbona JK kila siku tunamsema ana matege lakini wtala hana hata mpango wa kumwachia Bilal ofisi. We Warioba embu tulia bwana. Acha utoto huo. Yaani unasusia shamba nguruwe?
Mzee wa watu ana magonjwa yake hajazoea majungu ya wanasiasa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom