Jaji Warioba Kujiuzulu?

Jaji Warioba Kujiuzulu?

Status
Not open for further replies.
Tuwe wapole si ni suala la muda tu,kama ameitisha kweli press conference lets wait'
 
ni upuuzi kuongelea pesa kwa Warioba! Ushauri wa kisheria tu ofisini kwake ukienda unamlipa zaidi ya laki 4 kwa saa! Pia ana malipo ya kiserikali kama mstaafu na tena hata bungeni hayapiti. Acha kupotosha

Nyakageni nadhani unajua kusoma lakini sina uhakika kama unaweza kuelewa ulichokisoma.

Wapi nimesema Warioba yuko kwenye tume ya katiba kutafuta pesa kwanza?

Nilichokiandika ni kuwa tayari Warioba ameshavuna Pesa(Mpunga) za kutosha kupitia tume ya katiba na kwa sasa kilichobaki kwake yeye ni kujitafutia heshima tu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani ni jambo gani kubwa kilomsibu hata afikie hatua hiyo? Isije ikawa kweli kasikia rais kasaini ile kitu? Kama rais kasaini ni kwamba hajajiuzulu ola muda wake umekwisha.
 
Huyu mzee naye inampasa awe na ngozi ngumu kidogo. Yaani kuambiwa na Bulembo kuwa ana sura kama ngiri ndiyo imekuwa nongwa? Mbona JK kila siku tunamsema ana matege lakini wala hana hata mpango wa kumwachia Bilal ofisi. We Warioba embu tulia bwana. Acha utoto huo. Yaani unasusia shamba nguruwe?
Una maana CCM ni nguruwe?
 
Ma-CCM yanamushinkiza abadilisho pendekezo l SERIKALI 3 apendekeze SERIKALI 2. Kwani ma-CCM yanajua mapendekezo yakibaki serikali 3 ni aidha ma-CCM yakubali, kama Ma-CCM yakikataa basi rasimu hiyo haitakubalika ZNZ kwenye kura ya maoni.

Hivyo ma-CCM yanataka Warioba apendekeza serikali 2 halafu yaje yawa ghiribu wazanzibari kwamba hayo ndiyo yalikuwa mapendekezo ya Wazanzibari wengi.

Warioba kwa mara kwanza ameamua kuweka masilahi ya TAIFA mbele badala ya Ma-CCM
 
haina haja kwa Mzee Warioba kujiuzulu hasa kwa maneno ya watu wasiojitambua wala kujua nini wanakifanya kama huyo wanayemwita Bulembo,nashangaa kama Bulembo ndio anaongoza jumuiya ya wazazi wakati ni mtupu kabisa upstairs ina maana wote anaowaongoza wapo hivyohivyo.
 
Taarifa zilizonifikia muda huu ni kuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph WARIOBA, amewaita tena waandishi wa habari hapa makao makuu ya Tume kwa ajili ya Press conference, lakini fununu au tetesi zilizozagaa hapa jijini dar. ni kuwa anataka kumwaga manyanga. Tusubiri tusikie. tutawajulisha kila litakaloendelea.
habari zimekufikia kutoka wapi? Wewe kama nani?, kwa nini tetesi na usiwe na uhakika na unachokiandika? Huu ni umbea mwingine baada ya ule wa MAWIO uliokanushwa na WARYOBA
 
kafanya kazi nzuri lakini hathaminiwi, ndio maana nikasema mpiganani mzuri haogopi vita
na pia tume yake imetumia hela nyingi sana
sasa anapaswa kujali pia hela Tume yake ilizotumia ni za watanzania
akae hadi amalize kazi aliyopewa..

Mkuu, uliloliona ni hilo tu?
 
Atakuwa kashinikizwa na Magamba afanye hivyo.Ni bora akaze buti kuliko kujidhalilisha
 
Atakuwa kashinikizwa na Magamba afanye hivyo.Ni bora akaze buti kuliko kujidhalilisha
Ajidhalilishe mara ngapi! Kitendo cha tume yake kwenda kwenye mabaraza ya katiba na hoja zao badala ya kuwasikiliza hoja za wananchi ni kujidhalilisha tosha. Shame on him
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom