Jaji Warioba Kujiuzulu?

Jaji Warioba Kujiuzulu?

Status
Not open for further replies.
Keep cool fanz,Bulee mboo,ninani katika ardhi hii ya jamhuri ya muungano?asitake kumbabaisha mzee wetu.
 
Hiyo press coneference inafanyika saa ngapi?

Nani kampuuza na kumdharau? Vinginevyo atakuwa amejidharau mwenyewe

Dah, kama kusemwa na Bulembo tu anajiudhuru, ina maana haikuwa na maana basi kuteuliwa kwake kuwa mwenyekiti. Atakuwa amejidhalilisha na amedhalilisha taaluma ya uanasheria

Kwani Bulembo ni nani kwenye Tume ya Katiba? Au kuna kipengele kwenye mchakato wa katiba kinachosema kuwa Bulembo akisema tu basi mwenyekiti wa tume anapaswa kujiudhulu?

Mkuu, huyu B. G. TANGAWI anastahili ban ya mwezi nzima kwa kutuletea habari za uzushi
Which is which mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom