Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Udini Udini Udini
Mbona sijakuelewa mkuu? UDINI uko wapi tena????????>
Udini Udini Udini
mkuu pale pekundu kulikuwa na umuhimu wa jaji mstaafu, Mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Waziri Mkuu mstaafu kufanya hiyo kazi, kama ni kukusanya maoni tu hata mimi ningeweza. hapa ndipo CCM mnapokosea - mtahukumiwa vibaya na wananchi kwenye jambo hili kuweni makini.- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Kama ningepata dakika mbili za kuongea na warioba ningemshauri ajiuzulu,hizi kauli za bungeni na kina Bulembo hazina mwisho mzuri kwake,CCM wanatafuta nafasi muafaka wamkaange hizi kauli za mwanzo ni kupima kina tu lakini mwisho wa siku watamtia aibu ya kutosha yeye na tume yake,hii katiba inayotolewa maoni imeshakuwa ya kisiasa zaidi.
mkuu pale pekundu kulikuwa na umuhimu wa jaji mstaafu, Mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Waziri Mkuu mstaafu kufanya hiyo kazi, kama ni kukusanya maoni tu hata mimi ningeweza. hapa ndipo CCM mnapokosea - mtahukumiwa vibaya na wananchi kwenye jambo hili kuweni makini.
Ili Maccm waweze kuchakachua katiba sio??!!! na hatajiuzulu kamwe!!!!! Roll on Warioba watanzania tupo nyuma yako achana na hawa wapambe wa ccm waganga njaa kama huyu anayejiita Le Mutuz. Hivi kwani baba yako akishakuwa mwanasiasa ni lazima na wewe utokee humo humo??!! tafuta namna nyingine ya maisha kijana wewe tayari ni mtu mzima sasa achana na kutaka maisha marahisi kwa kutumia mgongo wa baba!!!!! hivi huwezi kujiuliza baba yako alipambana namna gani hadi hapo alipofika tena kwa kusimama kiume kwa miguu yake mwenyewe lakini wewe mwanaume mzima unakuwa parasite kwa mzee wako hadi leo???!!!- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,
- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.
Le Mutuz
Ili Maccm waweze kuchakachua katiba sio??!!! na hatajiuzulu kamwe!!!!! Roll on Warioba watanzania tupo nyuma yako achana na hawa wapambe wa ccm waganga njaa kama huyu anayejiita Le Mutuz. Hivi kwani baba yako akishakuwa mwanasiasa ni lazima na wewe utokee humo humo??!! tafuta namna nyingine ya maisha kijana wewe tayari ni mtu mzima sasa achana na kutaka maisha marahisi kwa kutumia mgongo wa baba!!!!! hivi huwezi kujiuliza baba yako alipambana namna gani hadi hapo alipofika tena kwa kusimama kiume kwa miguu yake mwenyewe lakini wewe mwanaume mzima unakuwa parasite kwa mzee wako hadi leo???!!!
Ilikuwa bado kidogo nikupe like, lakini nilipofika hapa tu, basi nikaona WEWE HUJUI KITU!
Kama ningepata dakika mbili za kuongea na warioba ningemshauri ajiuzulu,hizi kauli za bungeni na kina Bulembo hazina mwisho mzuri kwake,CCM wanatafuta nafasi muafaka wamkaange hizi kauli za mwanzo ni kupima kina tu lakini mwisho wa siku watamtia aibu ya kutosha yeye na tume yake,hii katiba inayotolewa maoni imeshakuwa ya kisiasa zaidi.
- hatuwezi kuongelea rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema bulembo ni sawa sawa kwamba warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, warioba kama mwananchi wa tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- narudia tena warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu katiba, hatuwezi kujadili rasimu sasa maana tayari rasimu ipo bungeni inasubiri saini ya rais twende kwa mbele.
Le mutuz
...Dr Anatoa mihadhara Universities huko Marekani. JK anakumbatiwa na kupewa PhD za kumwaga huko mMarekani kama shukrani za dhahabu wanazobeba Tz.- Mbona Mwenyekiti wako Chadema ana elimu ndogo sana, toa boriti kwako kwanza mkuu!!, halafu PhD ya Dr. Slaa ni ya wapi eti? ha1 ha! h!
Le Mutuz
- god got nothing to do with this mamen!!
Le mutuz
Elimu ya ukoo mzima wa Bulembo na miaka yao ndo elimu ya Jaji Waryoba, hivyo ni wakati muafaka Bulembo kumuheshimu Jaji na tume yake.