William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
William,
Hii Tanzania si ya Malecela wala mgogo yoyote. Wewe ngoja chama cha baba yako kitakapoondolewa madarakani ndipo utakapojua ni kwa jinsi gani watu tunavyokutamani tukugawane huku nje! Hii Tanzania si ya mwaka 47! Watanzania wa leo tumeshawajua adui zetu ni akina nani.
Nyie mtabakia na sapoti ya hao hao wahamiaji haramu ambao wanawasapoti kwa kuwa wanajua ndio nguzo yao ya kuwafanya waendelee kuwepo nchini pasipo uhalali. Na nyie muendelee kuwaua ndugu zetu na biashara yenu ya Unga.
- Sheria ipo wazi kwamba majority bungeni ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria ya jamhuri, CCM ndio tuna majority bungeni kwa hiyo sio Warioba, wala Chadema au CUF wenye uamuzi wa mwisho mnaweza kuitukana as much as you can lakini Sheria ni msumeno Warioba hana mamlaka kisheria kutuamulia katiba, ni vyema akajizulu tume sasa ili apate nafasi ya kutoa maoni yake kama raia.
Le Mutuz