Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,315
- 33,810
Hakuna sheria kama hiyo, William unazidi kujitia matope. Hkuna sheria inayosema hivyo.- ha! ha! Childish, Nyerere, mara baba yako, what do have anything to do na this mess Warioba has put himself in? Aliombwa kuandika maoni ya katiba mpya kutoka kwa wananchi that is all hakuombwa maoni yake binafsi, ingawa anao uhuru wa kufanya hivyo ila tu akiwa nje ya tume,
- Mkuu sana umelia sana lakini nje ya topic fungua thread inayonihusu na inayomuhusu baba yangu na wako, hapa tunajadili Taifa, kwamba Sheria inasema nini kuhusu maamuzi ya kurekebisha katiba, inasema CCM yenye majority bungeni na ambao ndio watawala, wana haki ya kuamua katiba iweje sio Chadema, CUF, Warioba au wewe na matusi yako haya ya kitoto sana, pole sana sio mimi ni Sheria ya jamhuri!! ha1 ha1 ha!Le Mutuz
Ninakupa mfano wa baba yako kwasababu moja ya madai yako ni CCM kutaka serikali 2.
Ndio maana tunasema ulipaswa umkemee kwanza halafu utufahamishe, ndipo uiseme tume ya Warioba na wananchi kwa ujumla.
Baba yako ndiye mwasisi wa G55 kwa kujificha Nyerere akamwita Mhuni hadharani, laana inayomtafuna hadi leo tena akijua hatakuwa rais na wanawe ndio hawa tunaowasoma.
FYI, JK mwenyekiti wa CCM na Paymaster Nape wamekataa na kukanusha maneno ya Bulembo na kusema hayo si maneno ya chama. Sasa ninyi wavaa kofia mnasema ninii
William huu uzi umesaidia sana wale waliokuwa na shaka juu yako. Sisi tunaokufaham tulipigwa na butwaakwa kusikia ulipewa fomu za ubunge. Kitendo cha kupewa fomu kilitusononesha sana, wewe hufai kupewa fomu yoyote. Unatakiwa ubaki na Jina la Malecela tu.