Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

- Hayo maneno ya kutishia nyau watuwazima, CCM tumeshaamua tutaisimamia katiba kama Sheria inavyosema, Warioba na Chadema poleni sana, siku zote huwa mko on the wrong side na on the wrong timing, unawezaje kudai katiba mpya na huku unajua huna majority wala hata close to it, soma historia za Dunia za kubadilisha katiba uone kama kuna taifa hata moja Duniani limewahi kubadili katiba huku likiwa na majority kubwa kama CCM, poleni sana huko hamna political startegists wazuri, mnatia ibu sana!1

Le Mutuz
Huyu kiumbe anaongea nini?
Mungu wangu! Kilichomfanya mwenyekiti wako kuanzisha mchakato wa katiba ni nini hasa? Kumbe kweli maccm yanailaani sana ile siku kikwete aliota swala la latiba mpya.
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Rasimu iko Bungeni?acha mambo yako...cyo lazima na hili ww usemee
 
Huyu kiumbe anaongea nini?
Mungu wangu! Kilichomfanya mwenyekiti wako kuanzisha mchakato wa katiba ni nini hasa? Kumbe kweli maccm yanailaani sana ile siku kikwete aliota swala la latiba mpya.

- Kwasababu mnalia lia sana kila wakati kwa mambo msiyoyajua kama watoto wadogo kila siku kulia lia bila hoja!!, Sheria ipo wazi sasa mnataka nini Rais akiuke Sheria na kuwaruhusu Chadema na Warioba muandike KAtiba? Nonsense!!

Le Mutuz
 
Rasimu iko Bungeni?acha mambo yako...cyo lazima na hili ww usemee

- ha! ha! ha1 ha! najibu mapigo yenu yasiyo na tija, tafuteni historia ni wapi duaniani KAtiba iliwahi kubadilishwa na chama minority bungeni! poleni sana

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

lE mUTUZ
 
- MWENYEKITI WA JMUIYA YA WAZAZI/CCM TAIFA; MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM; MJUMBE WA NEC.

Labda nikuulize Warioba ni nani eti?

Le Mutuz

We sidhani kama zinakutosha kichwani.Kichwa kikubwa lakini hakina kitu.Mzee Malecela kala hasara nahisi anamkumbuka yule mtoto wake aliyepoteza maisha kwakweli alikuwa anafuata nyayo za mzee Malecela lakini huyu....Sijui mzee Malecela alibambikiwa huyu mtoto!!
 
- fUNGUA THREAD YA KUBAMBIKIWA WATOTO NA TANZANIA AU LE BIG SHOW, HAPA NAWACHAPA VIBOKO kwamba Warioba hana mamlaka ya kuamua Katiba mpya tuacheni CCM tulale kidogo bana!! ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,

- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.

Le Mutuz
Baadhi ya Wabunge wa CCM ndio waliopitisha hiyo rasimu kwa ukihiyo wao,usipotoshe watu hapa...
 
Chama minority? kila kukicha mijasho nda ndevu zinawachachamaa kupambana na MAJORITY POWER which are within CHADEMA leo unalopoka bila haya unatoa ulimi bila kujua unachokijadili. PEOPLESSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!! MALIZIA unajua hapa kitaeleweka tu Kaniki zenu na mashati hayana tija now.

- ha! ha! ha1 ha! najibu mapigo yenu yasiyo na tija, tafuteni historia ni wapi duaniani KAtiba iliwahi kubadilishwa na chama minority bungeni! poleni sana

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

lE mUTUZ
 
CCM Rasimu ya katiba Imewashika Kubaya....Tapatapa hii mwisho wa simu itatuletea shida kubwa huko mbele tuendako..Wananchi tunasema tume imeleta mapendekezo muafaka wakati CCM inabaki kupiga kulele...Na inapiga kelele kwa kumlaumu mteule wa JK ktk uundwaji wa Katiba mpya.. Poleni sana CCM
 
- Sheria inasema CCM ndio yenye uamuzi wa mwisho juu ya marekebisho ya katiba mpya sio Warioba wala Chadema au muungano wa Chadema na Waliberali CUF, ha! ha!

Le Mutuz

Jitambue brother,hizo buku 7 zinawafanya muwe wehu.
 
- ha! ha! ha1 ha! najibu mapigo yenu yasiyo na tija, tafuteni historia ni wapi duaniani KAtiba iliwahi kubadilishwa na chama minority bungeni! poleni sana

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

lE mUTUZ

Full craaap, jifunze kutype kwanza unachekesha tu hapa.
 
Anakusemea au anasemea Tume, mbona magamba mnachuki na huyu Mzee mwenye hekima

- Warioba anajichukia mwenyewe, unawezaje kushindana na chama chenye majority kama CCM? impossible ninashangaa sana hivi huko Chadema kuna viongozi wa aina gani hasa ambao hawawezi kuelewa kuhusu umuhimu wa political timing, huwezi kudai katiba mpya na wabunge 46 tu.

Le Mutuz
 
- fUNGUA THREAD YA KUBAMBIKIWA WATOTO NA TANZANIA AU LE BIG SHOW, HAPA NAWACHAPA VIBOKO kwamba Warioba hana mamlaka ya kuamua Katiba mpya tuacheni CCM tulale kidogo bana!! ha1 ha! ha!

Le Mutuz
Ha ha ha ha unazidi kujivua nguo
 
- Warioba anajichukia mwenyewe, unawezaje kushindana na chama chenye majority kama CCM? impossible ninashangaa sana hivi huko Chadema kuna viongozi wa aina gani hasa ambao hawawezi kuelewa kuhusu umuhimu wa political timing, huwezi kudai katiba mpya na wabunge 46 tu.

Le Mutuz
Katiba ni kwa maslah ya Taifa sio chama cha siasa wewe usijitoe ufahamu Jiandae kisaikolojia kusikia kile usichokipenda!
 
Chama minority? kila kukicha mijasho nda ndevu zinawachachamaa kupambana na MAJORITY POWER which are within CHADEMA leo unalopoka bila haya unatoa ulimi bila kujua unachokijadili. PEOPLESSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!! MALIZIA unajua hapa kitaeleweka tu Kaniki zenu na mashati hayana tija now.

- Chama chenye majority kisingeweza kwenda kujiunga na Chama walichokiita cha Mashoga, tuliza boli mkuu umekurupukazzzz!!1

Le Mutuz
 
- Warioba anajichukia mwenyewe, unawezaje kushindana na chama chenye majority kama CCM? impossible ninashangaa sana hivi huko Chadema kuna viongozi wa aina gani hasa ambao hawawezi kuelewa kuhusu umuhimu wa political timing, huwezi kudai katiba mpya na wabunge 46 tu.

Le Mutuz

kama ana jichukia mwenyewe kwa nini mnamwandama na maneno ya kashifa wakati mwingine
 
Katiba ni kwa maslah ya Taifa sio chama cha siasa wewe usijitoe ufahamu Jiandae kisaikolojia kusikia kile usichokipenda!

- Mjiandae kuona katiba mpya ya CCM tayari mambo yapo kwa Rais pole pole mpaka mtakapojifunza siasa nma kuacha kulia lia kila wakati kama watoto!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom