Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
watz wengi wanataka serikali 3 si 2 umeskia ww kubwa jinga yaambie na maccm menzio sawa.
Unajibizana na kubwa jinga? Achana nalo!
watz wengi wanataka serikali 3 si 2 umeskia ww kubwa jinga yaambie na maccm menzio sawa.
Wajuzi wa mambo naomba tusaidiane, hii Le Mutuz, haijui hata kilichopelekwa bungeni kuwa ni muswada wa sharia ya mabadiliko ya katiba. Sasa kusema hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswada, nafikiri ni kutojitambua kuwa huelewi haya mambo zaidi ya upotoshaji. Kaa kimya siyo lazima uongee kama huna cha kusema.- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada , alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Rasimu imeshakuwa muswaada (muswada)?!!! Kwa hiyo unamaanisha kuwa kwa sasa mabaraza ya katiba yanajadili muswada?
Unaposema tume inatakiwa tu kupokea maoni na sio kufafanua yaliyomo kwenye rasimu, unamaanisha kwamba wajumbe wote wa mabaraza wanaelewa 100% ya yaliyomo humo? Kama ndivyo, sasa kwa nini waulize maswali? Au unataka wakiulizwa maswali wajibu "hata sisi hatujui, tuliandika tu tulichoambiwa na waliotoa maoni"?...
Pole sana ,kulingana na kilichopo bado KURA ya Maoni ya watanzania lazima ipigwe ili tujue kama asilimia ngapi wanakubaliana na Rasimuhiyo vinginevyo hakutakuwa na katiba mpya.Kwa sasa ni bora tuendelee na katiba ya zamani kuliko hii inayochezeshwa shere na CCM.- Mr. Lay man Muswaaada umeshapitishwa na wabunge unasubiri saini ya Rais, maana yake ni kwamba haupo kwenye level ya maoni ya wananchi wala Warioba tena, pole sana nenda usome tena katiba.
Le Mutuz
- Mr. Lay man Muswaaada umeshapitishwa na wabunge unasubiri saini ya Rais, maana yake ni kwamba haupo kwenye level ya maoni ya wananchi wala Warioba tena, pole sana nenda usome tena katiba.
Le Mutuz
Wajuzi wa mambo naomba tusaidiane, hii Le Mutuz, haijui hata kilichopelekwa bungeni kuwa ni muswada wa sharia ya mabadiliko ya katiba. Sasa kusema hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswada, nafikiri ni kutojitambua kuwa huelewi haya mambo zaidi ya upotoshaji. Kaa kimya siyo lazima uongee kama huna cha kusema.
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
Malecela nakushauri utumie muda kidogo kusoma na kufuatilia mambo huko kwenye ziara zenu mnazofanya. Muswada uliopitishwa ni wa sheria itakayoongoza mchakato wa katiba kutokea level ya kura ya maoni, sio rasimu. Muswada huu haujawahi kuwa, haupo wala hautakaa uwe chini ya level ya Warioba. Akina warioba wanadeal na rasimu ya katiba, ambacho ni kitu tofauti kabisa na muswada ule uliopitishwa bungeni...
Unajiaibisha mkuu...
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.
- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.
Le Mutuz
- Wananchi wangekuwa hawajui basi Warioba asingelia wanapokataa maoni yake ua kutaka Serikali tatu kwa nguvu!
Le Mutuz
Wewe na Bulembo ni waganga njaa. Haujisikii vibaya kuongozwa na Bulembo ambaye mara kadhaa kabwagwa chini uchaguzi wa udiwani Kijitonyama; Kiboko yake ni Juma Ulole Ulole, Bulembo ni darasa la VII halafu CCM mnampa madaraka mtu mwenye shule ndogo
- ha! ha! ha! CCM tupo wachache kuliko wananchi waliotuchagua na kuwa na wabunge 280, over wenu 46? ha! ha1
Le Mutuz
Warioba hajawahi kulia kutokana na wananchi kutoa maoni fulani. Concern ya Warioba ni nyie wanasiasa kupotosha umma mkiwa nje ya mabaraza...
- Level ya kujadili maoni ya wananchi imeshapita ipo kwenye level ya Muswaada Bungeni, Warioba hana mamlaka ya kuamua rais asaini ama asisaini hana hayo mamlaka.
Le Mutuz
Rasimu imeshakuwa muswaada (muswada)?!!! Kwa hiyo unamaanisha kuwa kwa sasa mabaraza ya katiba yanajadili muswada?
Unaposema tume inatakiwa tu kupokea maoni na sio kufafanua yaliyomo kwenye rasimu, unamaanisha kwamba wajumbe wote wa mabaraza wanaelewa 100% ya yaliyomo humo? Kama ndivyo, sasa kwa nini waulize maswali? Au unataka wakiulizwa maswali wajibu "hata sisi hatujui, tuliandika tu tulichoambiwa na waliotoa maoni"?...
Imeandikwa na mwandishi wa JF
Kweli Taifa limeingiliwa unasemea rasimu ipi iliyopitiwa na bunge?- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,
- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.
Le Mutuz
- Mr. Lay man Muswaaada umeshapitishwa na wabunge unasubiri saini ya Rais, maana yake ni kwamba haupo kwenye level ya maoni ya wananchi wala Warioba tena, pole sana nenda usome tena katiba.
Le Mutuz
hivi we njemba una matatizo gani?mswada wa marekebisho ya katiba na rasimu ya katiba sio kitu kimoja,rasimu ya katiba haiwezi kuwa muswada,muswada unasainiwa na rais au kwa lugha nyingine rais ana nguvu na miswada ya sheria lakini sio sheria mama(katiba).Wananchi ndio wana nguvu juu ya uundwaji wa katiba..dah,eti nawe una cheo ccm!!!!