Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

kama ana jichukia mwenyewe kwa nini mnamwandama na maneno ya kashifa wakati mwingine

- Anajiandama mwenyewe sisi tunajibu mapigo tu kwa sababu taifa ni letu wote sio lake wala la Chadema, ila Sheria inasema CCM ndio wenye mamlaka ya kuamua katiba mpya!!

Le Mutuz
 
- Sheria inasema CCM ndio yenye uamuzi wa mwisho juu ya marekebisho ya katiba mpya sio Warioba wala Chadema au muungano wa Chadema na Waliberali CUF, ha! ha!

Le Mutuz

Mfyuuu sheria gani inaayosema CCM ndio wenye maamuzi ya mwisho? Pili tofautisha mswada wa marekebisho ya katiba na rasimu ya katiba,kasome kwanza ndio uandike brother.
 
- Kwasababu mnalia lia sana kila wakati kwa mambo msiyoyajua kama watoto wadogo kila siku kulia lia bila hoja!!, Sheria ipo wazi sasa mnataka nini Rais akiuke Sheria na kuwaruhusu Chadema na Warioba muandike KAtiba? Nonsense!!

Le Mutuz

Hebu tuongee kiutu uzima. Kwa nini ccm mnaogopa mabadiliko ya msingi katika katiba mpya? Yale mambo yanayoshabikiwa na wananchi wengi hamyatali kwa sababu gani? Hofu yenu ni nini hasa?
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

unanisikitisha sana wewe kijana? Tatizo sio moyo wako....
 
William ni mmoja wa Watanzania waliobahatika kuona sehemu tofauti na Tanzania ingawa sina uhakika kama exposure hiyo inamsaidia.

Ni mtoto wa Mzee Malecela aliyeshika nyadhifa nyingi serikalini ikiwa ni pamoja na uwaziri wa mambo ya nje,uwaziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais na mgombea mtarajiwa wa Urais CCM mara mbili

Nashawishika kusema William ana mtukana mzee wake kwa sababu za kuthibitika kutokana na maandishi yake

Si kawaida kumjibu kwa kutambua ufinyu na maono yake, ninachotaka kufanya ni jamvi kumuelewa na kuelewa upotoshaji na matusi kwa wazee akiwemo baba yake.

Hoja ya serikali 3 ilianza siku nyingi na kundi la G55 liliifikisha bungeni.
Kundi hili lilikuwa na wabunge 55 wa chama tawala CCM kilichokuwa na wabunge zaidi ya 200.
Kiongozi wa serikali bungeni alikuwa baba yake william mzee J.S.Malecela.

Hoja ya G55 ilikataliwa na Nyerere kwasababu kuu mbili, kwanza haikuwa sera ya CCM na haiwezi kufanyika bila wananchi kuulizwa. Nyerere alitambua kuwa kubadili katiba ilihitaji ridhaa ya wananchi na si CCM.
Nyerere alimtuhumu Malecala kwa kumshauri rais vibaya.

William anaposema sera ya CCM ni serikali 2, wakati baba yake ambaye ni mwanzilishi wa CCM alitaka serikali 3 Kupitia idadi ya wabunge 55 kama ambavyo wapo 47 wa upinzani sasa ni kutoelewa anaongelea nini.
Hapa William hamtukani Warioba anamtukana baba yake mzazi. Hii kama si laana sijui ni nini.

William na kofia ya degree na kuishi nje ya nchi hajui kuwa katiba si ya chama ni ya wananchi.
Hatambui kuwa katiba haina chama kwasababu vyama vinapita katiba inabaki.
KANU na UNIP hazipo tena lakini Kenya na Zambia zipo.
Sasa kuaminisha kuwa CCM ndio wanaandika katiba, inasikitisha sana!!

Aasema wabunge wa CCM wana haki ya kuandika katiba. Hilo tu linaonyesha jinsi asivyojua katiba ni kitu gani. Lakini pia hajui hata sera za chama chake.

CCM haina sera wala haikuwa na ilani ya kuandika katiba.Hakuna kikao chochote kiwe cha NEC, CC au kamati ya wabunge kilichojadili suala la katiba.'Haki ya kuandika katiba'' wanaipata wapi?

Willy, CCM kupitia tume ya Jaji Nyalali, Kisanga na Warioba zimeshawahi kuleta maoni ya serikali 3.
Hakuna mahali katika rekodi CCM imewakemea kwa hilo. Warioba kama baba yako Malecela ndio wenye chama na wanaijua nchi kabla hujazaliwa. Kuwatukana wakiwemo akina Kisanga, Nyalali n.k. ni laana, ungama sasa hivi.

Willy, anasema kazi ya tume ya Warioba ni kukusanya maoni. Tume ya Warioba si makarani ni watu wenye weledi wa kueleza watu nini maana ya katiba ili watoe mawazo kulingana na hadidu za rejea.
Hadidu za rejea wamepewa na JK ambaye ni mwenyekiti wa CCM, kumtukana Warioba ni kumtukana JK, laana hiyo!

Willy anasema Warioba asiandike katiba aachie wananchi. Wakati huo huo haelezi wapi Warioba amelazimisha mawazo yake. Amesahau kuwa mawazo ya wananchi aliyokusanya Warioba ndiyo yale ya G55 ambayo baba yake alisimama Kidete kutetea akiwa na CCM ya wabunge 55.
Vipi amtukane baba yake kupitia Warioba kama si laana.

Williama na Bulembo hawaelezi wapi Warioba na tume yake wamelazimisha mawazo yao.
Wanasema wananchi wamekataa maoni ya Warioba, hawaelezi ni kigezo gani kimetumika kusema wananchi 'wamekataa' hata kabla ya kura ya maoni achilia mbali bunge la katiba.

Willy anasema kazi ya Warioba imekwisha kilichofikishwa bungeni mswada.
Mungu wangu! huyu ni kiongozi ambaye hajui kuwa kilichofikishwa si mswada wa rasimu ni marekebisho ya mswada ambao ulianzisha tume ya Warioba. Hajui kipi kimeanza kipi kinafuta na kitamalizika kipi. jamani!

Anasema wabunge wa CCM wanapaswa kuandika katiba, aibu kubwa!
wabunge wapi kwasababu hiyo si kazi ya chama na hata hao wabunge hawajui ni kitu gani kwasababu haipo katika ilani yao wala sera, sijui kama Willya anajua anachoandika.

Nia si kumjibu kwasababu hana hoja, ninachotaka Wanajamvi wafahamu ni kuwa huyu ipo siku utamsikia ni mjumbe wa NEC au CC. Unaweza kumsikia ni waziri, balozi wetu nchi za nje au mwenyekiti wa bodi ilimradi tu anaweza kuwa sehemu ya maamuzi yanayowahusu Watanzania.

Kwa mtu asiyejua kwanini Tanzania ni masikini basi ajiulize tena.
 
Magamba hawana akili ya kujadili rasimu ndio maana wanamjadili mwenyekiti wa tume. Na bora rasimu ibaki kama ilivyo kuliko kufuata mapendekezo ya miccm!
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Same same failure...
 
Hacha uzuzu we mzee. Iliyopitishwa Bungeni ni Sheria ya Mabadiliko ya katiba. Siyo lasimu. Kama umeshindwa kuelewa muhulize Babaako atakusaidia japo nayeye ndo wale wale .
 
- Umeandika historia yangu badala ya kujadili hoja ya mezani nayo ni kama Warioba ana mamlaka ya kuandika Katiba mpya, ninasema kwamba hana Sheria inasema Wabunge wengi bungeni wa Chama kimoja ndio wenye hiyo haki, kazi ya tume zote zilizopita ilikuwa ni kukusanya tu maoni ya wananchi sio kuamua maoni yawe vipi.

- Nasema tena Serikali ya sasa ya CCM haina agenda ya Serikali tatu, ila ni mbili tu pole sana na maneno mengi kama vile una hoja kumbe yale yale tu, huwezi kubadili katiba ya jamhuri na wabunge 46 huku majority wakiwa na wabunge 280 ni ndoto za mwendawazimu, mtasema maneno yote mngekuwa na akili sa siasa mngeomba iahirishwe mpaka siku mkihsika power sio sasa CCM Sheria ipo wazi ndio wenye mamlaka ya kuamua the bottom line!!

Le Mutuz
 
Jaji Warioba,

Abdalah Bulembo is another dead wood with a simple mind, ignore him with the contempt he Deserves; instead simama kidete tupate katiba ya wananchi, Bulembo ameigeuza TAPA kama kazi ya kitaaluma baada ya kushindwa Biashara
 
Ukipitia mabandiko mengi kwenye hii thread kwa mtu unayeelewa mchakato mzima wa kupata katiba mpya ulivyo, unapatwa na wasiwasi sana na upeo wa baadhi ya watu ambao ungetegemea wanafahamu vizuri zoezi zima lilivyo.

Muswada wa marekebisho ya pili ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba sehemu ya tano ya sheria inayohusu uundwaji wa bunge maalum la katiba, kwa watanzania wengine imeishakuwa ni pitisho la rasimu ya katiba.

Kwa sasa hoja iliyopo ni serikali mbili au tatu kana kwamba katiba ndiyo inaanzia hapo na kuishia hapo hapo. God forbid.

Soft copy ya rasimu ya katiba yenye page 107 zenye vipengele almost 240 za rasimu ya katiba zinakuwa ni kaput mbele ya macho ya vyama vya siasa, na kwa sasa mihemko na munkari katika vyama vya siasa ni sura ya sita ya rasimu ya katiba kuhusu muundo wa jamhuri yenye vipengele kuanzia 57-66 na sura ya saba kuhusu muundo wa serikali wenye bipengele kuanzia 67-101.

Kinachofanyika kwa sasa siyo upatikanaji wa katiba ya nchi bali ya vyama vya siasa, hasa CCM, CHADEMA na CUF.

Watanzania kweli tuna vituko na vituko vinakuja kwa sababu hatujitambui na hatufahamu misingi, haki na wajibu wetu katika taifa. Tumekuwa bendera fuata vyama vya siasa.
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Mawazo mujalabu toka kwa form four failure (division zero brain) akichagizwa na mwenyekiti wake Bulembo std seven leaver!

Eti hapa napo unajiona umetoa comment ya maana wakati umeandika utumbo wa fisi!
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Mkuu kama nimekuona kwenye msafara wa Bulembo Ifakara vile - ile wiki nyingine mwezi jana labda ndo maana unamtetea?
 
hebu tuambiane kwa lugha za upole hili jambo ni zaidi ya vyama vyetu.
 
- Sheria inasema CCM ndio yenye uamuzi wa mwisho juu ya marekebisho ya katiba mpya sio Warioba wala Chadema au muungano wa Chadema na Waliberali CUF, ha! ha!

Le Mutuz
sheria ipi ndg yangu kweli wewe ni mtu kichwani
 
- Umeandika historia yangu badala ya kujadili hoja ya mezani nayo ni kama Warioba ana mamlaka ya kuandika Katiba mpya, ninasema kwamba hana Sheria inasema Wabunge wengi bungeni wa Chama kimoja ndio wenye hiyo haki, kazi ya tume zote zilizopita ilikuwa ni kukusanya tu maoni ya wananchi sio kuamua maoni yawe vipi.

- Nasema tena Serikali ya sasa ya CCM haina agenda ya Serikali tatu, ila ni mbili tu pole sana na maneno mengi kama vile una hoja kumbe yale yale tu, huwezi kubadili katiba ya jamhuri na wabunge 46 huku majority wakiwa na wabunge 280 ni ndoto za mwendawazimu, mtasema maneno yote mngekuwa na akili sa siasa mngeomba iahirishwe mpaka siku mkihsika power sio sasa CCM Sheria ipo wazi ndio wenye mamlaka ya kuamua the bottom line!!

Le Mutuz
Ndio maana nasema hujui unaandika nini. Hivi nani kasema bunge lina mamalaka ya kuabdili katiba?
Kwani kilichopo bungeni ni kubadili katiba? Je, bunge la sasa ndio bunge la katiba?

Mswada ulipofikishwa bungeni ni sheria iliyokubaliwa na bunge ambayo inafanyiwa marekebisho.
Hakuna kitu kinaitwa kuandika katiba na wala wapizani hawajasema waandike katiba.

Hiyo sheria ya wabunge wengi wengi umeipata wapi mwenzetu?

Unakumbuka marekebisho ya sheria ya vyama vingi? Wabunge wa CCM walisema nini, wananchi walisema nini na matokeo yake yalikuwa nini?

Lazima utofautishe sheria za kuhusu wezi wa kuku na sheria kuu ya nchi katiba katika utengenezaji wake.
Ni wendawazimu peke yao wanaodhani katiba ni ya CCM.

Nashukuru umekubali kwa dhati matusi dhidi ya baba yako unayoyatoa mwenyewe.
Kama wanaotaka serikali 3 ni wendawazimu kwa mujibu wako, basi mzee wako aalikuwa mwendawazimu kutaka G55 kabla ya hawa.

Ipo siku tutamiskia waziri William au balozi mwenyekiti wa bodi kama si mkuu wa wilaya.

Kama yupo asiyejua kwanini Tanzania ni masikini, basi ajiulize tena swali hilo!
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Kabla ya kubwatuka jaribu kufanya kautafiti kidogo. Nenda kasome majukumu ya tume ya Warioba halafu urudi hapa janvini
 
- Umeandika historia yangu badala ya kujadili hoja ya mezani nayo ni kama Warioba ana mamlaka ya kuandika Katiba mpya, ninasema kwamba hana Sheria inasema Wabunge wengi bungeni wa Chama kimoja ndio wenye hiyo haki, kazi ya tume zote zilizopita ilikuwa ni kukusanya tu maoni ya wananchi sio kuamua maoni yawe vipi.

- Nasema tena Serikali ya sasa ya CCM haina agenda ya Serikali tatu, ila ni mbili tu pole sana na maneno mengi kama vile una hoja kumbe yale yale tu, huwezi kubadili katiba ya jamhuri na wabunge 46 huku majority wakiwa na wabunge 280 ni ndoto za mwendawazimu, mtasema maneno yote mngekuwa na akili sa siasa mngeomba iahirishwe mpaka siku mkihsika power sio sasa CCM Sheria ipo wazi ndio wenye mamlaka ya kuamua the bottom line!!

Le Mutuz

Najua kichwa yako iko empty ndio maana uliibuka na zero kwiro sekondari lakini ntaendelea kukuelimisha tu.

Soma vizuri na kwa utulivu ikibidi omba msaada kwa ndugu zako ili uelewe mamlaka ya tume ya Warioba kwa mujibu wa sheria ya mchakato wa katiba mpya!

Kuandika vitu usivyo na ufahamu navyo ni aibu kubwa kwako mwenyewe, kwa mzazi wako na chama chako cha ccm!
 
Back
Top Bottom