Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

Anaongelea Mambo ambayo hayawezi badilika yameshatokea.ongea kuhusu covid 19, na Ndugai acha unafiki babu.ongea kuachiwa waliokamatwa Kama kule liwale wakati na baada ya uchafuzi
 
Asante mzee Warioba, natamani wazee wenye hekima walisemee taifa.Bado tuna nafasi kurekebisha tulipo jikwaa.
 
Kuongeea vizuri kakosea timing, angezungumza mwezi wa tisa tungeeewa vizuri sana pia kashidwa kuongeea uvunjifu wa katiba wa ndungai kudai atawainda covid 19 pamoja na kuvuiwa uanachama wao.
 
Alikuwa wapi muda wote hayo maneno angesema mwez wa tisa
Kawia ufike. Better late than never. Hamjui hizi semi au ndio kujitoa fahamu tu. Unachotakiwa ni kuiongezea nguvu hii sauti isikike eneo kubwa la nchi hii
 
Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu...
Wazee wanaanza kupata akili baada ya uchaguzi! Kwa nini ha kusema haya kipindi cha uchaguzi?

Unafiki ni mbaya sana. Tena hawa watakuwa wanajua kabisa kuwa Tundu Antiphas Lissu alishinda uchaguzi!
 
Tatizo unafiki si mkweii hakusema hivi mapema aijua mwanaye anapewa madaraka sasa ameona hamna kitu anajitokeza utazana anatupenda kweii. Katiba ya nchi inavunja wako kimya ii watoto wao wapewe vyeo.
 
Kawia ufike. Better late than never. Hamjui hizi semi au ndio kujitoa fahamu tu. Unachotakiwa ni kuiongezea nguvu hii sauti isikike eneo kubwa la nchi hii
Huo ndio ukweli tusiangalie matokeo sisi tuendelee kupiga kelele kwani maisha hayajasimama
 
Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu...
Shauri yake huyu mzee, bashite hajafanya kazi siku nyingi na anatafuta angle ya kurudia enzi zake
 
Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu...
Hana lolote yalipokuwa yanatendeka sialikuwepo? kwanini hakusema ili kuzuia anasema Leo ikiwa athari zimekuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom