Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Kwa sisiemu sishanga hata kama atakua amedanganya elimu na umri,vyote vinawezekana kwa magambaz
 
Kwa sisemu sishangai hata nikambiwa mkw,re kafoji umri na elemu yake,kwa sisiemu vyote vinawezekana
 
Mkuu EMT umemaliza kila kitu hii ni faida ya JF kila jambo linaanikwa.

Uongo mtupu. Majina ya wote waliograduate sheria UDSM yamewekwa online kwenye tovuti ya law school.

Wala huitaji kwenda pale campus kuulizia majina ya graduates.

Alimaliza mwaka 1974 akiwa darasa moja na Mizengo Pinda kama sijakosea.
 
Last edited by a moderator:
One for the road, asante kwa kuweka mambo sawa.

alitakiwa atueleze ni kweli alimaliza form six akiwa na miaka 17? Maana kwa wakati ule ilikuwa ngumu kidogo maana watoto wa siku hizi ndo wanamaliza chuo na miaka 22, lakini 74?
 
Mkuu EMT umemaliza kila kitu hii ni faida ya JF kila jambo linaanikwa.

suala siyo majina, mbona hata mtoa mada kasema mwaka aliomaliza? Yeye yawezekana alitafuta data za umri aloingia nao chuoni maana ndo kiini cha mada yake. Anahitaji umri halisi wa cj.
 
Last edited by a moderator:
JINA LAKE NANI?CHANDE??

LOL,,

POA CHANDE,,TUTAJUA TUH CHANDE MWISHO WAKE

WE ARE KEEPN OUR EYES ON U,WE ARE NEVER GONA BLINK BROTHER CHANDE,,
:madgrin: :madgrin:
 
MADORO Katika Nchi safi! huyu alitakiwa ajiuzulu kwa kudanganya!
 
Last edited by a moderator:
Au ndiyo sababu ya kujitoa kesi ya Lema??? wanasheria watujuze nini kimetokea yeye kujitoa.Tanzania hakuna linaloshindikana linapokuja swala la kuchakachua.sasa hivi maandalizi ya kuchakachua matokeo ya kura 2015 yameanza, maana utasikia oohh tume haina fedha za kuhakiki daftari la wapiga kura .loooooo kazi kweli
 
Nimeona alikuwa darasa moja na PM Mizengo Kayanza Pinda. Hivi PM wetu ana umri gani? We can start from there kufanya estimation ya umri HALISI wa CJ Omari Chande.

Haya mambo ya kugushi UMRI na ELIMU imeyalea CCM na inaonekana haijali kabisa unless someone has steped on their toes ndiyo utasikia sio RAIA (Ulimwengu, Bashe case). ame-forge Umri (Masauni, Nape case).

Mimi najua Omary Chande na Mdogo wake Othman Chande (boss wa TISS) wanasoma sana JF. Kwanini basi Chande asijitokeze hadharani hata kama sio JF aka clear the air kuhusu UMRI wake halisi? Hang on a little bit, nimesahau kwamba hii ni Tanzania chini ya CCM, ni Upepo tu utapita! You can forge everything with impunity.

Hebu angalia nchi za wenzetu makini, kama the MOST POWERFUL MAN ON EARTH, Barak Obama President of the USA alituhumiwa na mwananchi wa kawaida tu kwamba sio RAIA wa Marekani, lakini IKULU ya Marekani ikachukua liberty ya ku prove kwamba ni raia kwa kuonesha LIVE kwenye TV vyeti vya kuzaliwa vya Obama vinavyoonesha alizaliwa USA na ni Raia halali wa Marekani. Iweje Omary Chande au mahakama yenyewe ishindwe kufanya hivyo?!

Kama Chande ataendelea kuzika kichwa chake mchangani (style ya mbuni) ili hali kiwiliwili chake chote kikiwa nje, basi sisi wananchi tutaamini kwamba kweli amegushi UMRI wa kuzalia kwa KUOGOPA kustaafu mapema na hii itakuwa kashifa nyingine kwa mhimili huu wa kutoa HAKI.
 
Chanzo cha taarifa ya Jaji huyo hakiwezi kuwa Chuo kikuu peke yake, hata shule ya msingi alikosoma zipo, shule ya sekondari, High school kote unaweza kupata taarifa hizo.

Mtoa uzi kama angekuwa makini asingeishia chuo kikuu kitivo cha sheria peke yake.

Mkuu kwa teknolojia ya wakati huo miaka ya sitini (60) ni shule gani ya msingi leo hii hata ya sekondari ambayo inaweza ikakupa taarifa hizi? Zaidi sana watakwambia nenda Idara ya Elimu Wilayani. Lakini jambo la msingi hapa, ni kutambua kuwa huyu ni kiongozi wa sekta muhimu anayelipwa kwa fedha za watanzania na nafasi yake inahitaji uadilifu wa hali ya juu. Mtoa mada ameshajitahidi kutufikisha pale alipoweza, je hakuna mdau mwingine mwenye source nyingine ya taarifa za huyu bwana? Lengo ni kubaini ukweli na kuangalia uadilifu wa kiongozi wa sekta nyeti kiasi hichi.
 
ndio maana mpaka leo idadi ya watu haijawekwa hadharani kila kitu hovyo
 
Kamanda Lissu hebu anza na huyu kwanza ndio waje kina Mbaruk & Co,
 
Ndugu yangu nchii haya mambo yanaanzi uvccm,yamehamia mpaka serikalini yalianzia kwa masauni,amefuata sadifu khamis,william malechela mtoto wa mzee tingatinga ana miaka 54 naye anajiita uvccm.basi sasa jambo hili limeingia na kutikisa mhimili wa mahakama this is a silly nation!!!!!!!!!!!!!!
 
I love JF. Hachwi mtu, hakiachwi kitu.... Ukitazama umri wake na shiha yake, kama vinahitilafiana vile...
 
UDSM - LLB 11th INTAKE 1971 – 74
1. Abubakar, A.A
2. Alizeti, M.N.
3. Ayany, E.A.
4. Bwana, J.S.M.
5. Bwesha, K.I.
6. Chakava, S.B.
7. Chamriho, S.M.
8. Gathenji, C.M.
9. Haule, L.G.
10. Ileti, K.F.
11. Kadiri, E.T.K.
12. Kajeri, M.G.C.
13. Kamanzi, J.
14. Kija, G.D.
15. Kilonzo, M.
16. Lyimo, V.K.D.
17. Mahalu, C.R.
18. Makalle, A.P.
19. Mallya, W.J.G.
20. Manento, A.R.
21. Mapundi, E.
22. Masese, G.J.M.
23. Massaba, K.S.
24. Matafu, S.I.M.
25. Matata, C.B.B.
26. Matui, G.B.
27. Mauggo, J.Z.J.
28. Mbinga, A.A.A.
29. Mihyo, P.B.
30. Mlanzi, M.A.
31. Mlawa, G.F.
32. Mlay, J.I.
33. Msakamari, J.M.
34. Muro, M.I.
35. Mpiluka, W.H.
36. Mututo, L.N.
37. Mwagiru, B.C.
38. Mwakilasa, T.H.M.
39. Mwakisu, B.H.K.
40. Nasser, S.
41. Ngibuini, C.K.
42. Odhiambo, O.R.O.
43. Okello, F.O.
44. Othman, M.C.
45. Rachier, A.D.O.
46. Oyoo, J.O.
47. Pinda, M.K.P.
48. Putika, A.S.A.
49. Rashidi, Y.M.K.
50. Shaidi, L.L.P.
51. Sheikh, R.H.
52. Teemba, A.A.M.
53. Wellington, J.O

Namba 47 kumbe Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda ni classmate wa Jaji Mkuu, Othman Chande.
 
. Uzi sio wangu na sipendi na sina kawaida ya kudandia kazi ya mtu. Kama ameamua kutoa taarifa anapaswa kutoa taarifa iliyokamilika bila ya kuacha kipengere chochote. Tusizungumzie ushabiki, tuzungumzie uchambuzi unavyopaswa kuwa. Tusitoe maada yenye mapengo tukitumainia watu wengine kuziba. Mchango wangu katika maada ni kumwonyesha mtoa maada vyanzo vingine vya taarifa anakoweza kutoa ili kuikamilisha maada kiutafiti zaidi. Mtu anayedhani kuwa hizi ni lawama hajangalia kwa maana ya academic criticism anachukulia kama personal attack jambo ambalo sio sahihi. Sitoki nyumbani kwa Jaji Chande Omari wala sijasoma naye lakini pia sikuwa na nia yoyote ya kufuatilia maisha yake. Maadam mtoa maada kaitoa humu jamvini nimevutiwa nayo ndiyo maana nikamshauri atafute taarifa zaidi kutoka kwenye vyanzo vingine ili kuipa uzito, mvuto na ukweli zaidi bila ya kuacha nafasi kwa msomaji ya kuhoji au kupendekeza jambo lolote. Nimependekeza kwa sababu Uzi wake unatoa mwanya wa kufanya nilivyofanya. Ugomvi unatoka wapi? Nadhani mtoa uzi na waungaji mkono wa uzi huu walitegemea kila mtu apokee taarifa hii pasi na kuhoji kama walivyoipokea wao. Hapana
Nina wasi wasi kama ww ni gthinker au kama unajua maana ya mitandao ya kijamii otherwise ungeenda kusoma magazeti tu, acha uvivu wa kufikiri, hv mm nikiweka cheti cha kuzaliwa cha jaji mkuu hapa utakataa kwa kuwa mm sie nilieanzisha topic? Think, reason, conclude.
 
Back
Top Bottom