Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Wenye mapenzi ya kweli na Tanzania tufunge na kusali kwaajili ya nchi yetu.
 
Nadhani tatizo tunalohitaji kufumbua ni, je, alianza shule akiwa na umri gani? Mimi nilianza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka saba. Huenda yeye alianza akiwa na umri wa miaka 5 au 6. Hapo ndipo kwenye kitendawili.
Mkuu, mbona unataka kuchakachua hapo, kimahesabu Chande alianza shule akiwa na miaka mingapi kama alizaliwa 1952 na alitumia miaka nane katika elimu ya msingi(Darasa la nane)?
 
UDSM - LLB 11th INTAKE 1971 – 74
1. Abubakar, A.A
2. Alizeti, M.N.
3. Ayany, E.A.
4. Bwana, J.S.M.
5. Bwesha, K.I.
6. Chakava, S.B.
7. Chamriho, S.M.
8. Gathenji, C.M.
9. Haule, L.G.
10. Ileti, K.F.
11. Kadiri, E.T.K.
12. Kajeri, M.G.C.
13. Kamanzi, J.
14. Kija, G.D.
15. Kilonzo, M.
16. Lyimo, V.K.D.
17. Mahalu, C.R.
18. Makalle, A.P.
19. Mallya, W.J.G.
20. Manento, A.R.
21. Mapundi, E.
22. Masese, G.J.M.
23. Massaba, K.S.
24. Matafu, S.I.M.
25. Matata, C.B.B.
26. Matui, G.B.
27. Mauggo, J.Z.J.
28. Mbinga, A.A.A.
29. Mihyo, P.B.
30. Mlanzi, M.A.
31. Mlawa, G.F.
32. Mlay, J.I.
33. Msakamari, J.M.
34. Muro, M.I.
35. Mpiluka, W.H.
36. Mututo, L.N.
37. Mwagiru, B.C.
38. Mwakilasa, T.H.M.
39. Mwakisu, B.H.K.
40. Nasser, S.
41. Ngibuini, C.K.
42. Odhiambo, O.R.O.
43. Okello, F.O.
44. Othman, M.C.
45. Rachier, A.D.O.
46. Oyoo, J.O.
47. Pinda, M.K.P.
48. Putika, A.S.A.
49. Rashidi, Y.M.K.
50. Shaidi, L.L.P.
51. Sheikh, R.H.
52. Teemba, A.A.M.
53. Wellington, J.O
 
“I know you are asking today,‘How long will it take?’ I come to say to
you this afternoon: however difficult the moment, however frustrating
the hour, it will not be long, because the truth pressed to earth will
rise again. How long? Not long, because no lie can live forever. How
long? Not long, because you will reap what you sow. How long? Not long,
because the arm of the moral universe is long, but it bends toward
justice.”


- MLK, from the speech at the endof the Selma march.
 
Chanzo cha taarifa ya Jaji huyo hakiwezi kuwa Chuo kikuu peke yake, hata shule ya msingi alikosoma zipo, shule ya sekondari, High school kote unaweza kupata taarifa hizo.

Mtoa uzi kama angekuwa makini asingeishia chuo kikuu kitivo cha sheria peke yake.

Mkuu wewe uliye makini tunaomba utusaidie. Mtoa mada amejitahidi kwa jinsi alivyoweza tusibeze jitihada zake!
 
. Uzi sio wangu na sipendi na sina kawaida ya kudandia kazi ya mtu. Kama ameamua kutoa taarifa anapaswa kutoa taarifa iliyokamilika bila ya kuacha kipengere chochote. Tusizungumzie ushabiki, tuzungumzie uchambuzi unavyopaswa kuwa. Tusitoe maada yenye mapengo tukitumainia watu wengine kuziba. Mchango wangu katika maada ni kumwonyesha mtoa maada vyanzo vingine vya taarifa anakoweza kutoa ili kuikamilisha maada kiutafiti zaidi. Mtu anayedhani kuwa hizi ni lawama hajangalia kwa maana ya academic criticism anachukulia kama personal attack jambo ambalo sio sahihi. Sitoki nyumbani kwa Jaji Chande Omari wala sijasoma naye lakini pia sikuwa na nia yoyote ya kufuatilia maisha yake. Maadam mtoa maada kaitoa humu jamvini nimevutiwa nayo ndiyo maana nikamshauri atafute taarifa zaidi kutoka kwenye vyanzo vingine ili kuipa uzito, mvuto na ukweli zaidi bila ya kuacha nafasi kwa msomaji ya kuhoji au kupendekeza jambo lolote. Nimependekeza kwa sababu Uzi wake unatoa mwanya wa kufanya nilivyofanya. Ugomvi unatoka wapi? Nadhani mtoa uzi na waungaji mkono wa uzi huu walitegemea kila mtu apokee taarifa hii pasi na kuhoji kama walivyoipokea wao. Hapana

Sasa kelele za nini is ukae kimya wenye data walete?
Au hujuhi maana ya forum? Au unafikiri hili ni gazeti? Hapa tunachangia na kubadilishaba mawazo.
 
Ni vyema kuangalia zaidi CV yake na kujuwa jee alipitia same steps za A level kufika university? nasema hivi kwa sbabu nakumbuka jaji aliefariki Douradou hakupitia huko, system ya wakati ule ilikuwa tafauti na wengi walipoaliza tu kidato cha nne waliweza kuendelea katika profesional waliochaguwa kupitia university lakini zilikuwa nje ya nchi. kama ni kweli basi tuhuma nzito ndani ya kitengo kinachojadili na kuhukumu haki, wapo wahusika wenyewe humu watoe ufafanuzi..
 
Ni vyema kuangalia zaidi CV yake na kujuwa jee alipitia same steps za A level kufika university? nasema hivi kwa sbabu nakumbuka jaji aliefariki Douradou hakupitia huko, system ya wakati ule ilikuwa tafauti na wengi walipoaliza tu kidato cha nne waliweza kuendelea katika profesional waliochaguwa kupitia university lakini zilikuwa nje ya nchi. kama ni kweli basi tuhuma nzito ndani ya kitengo kinachojadili na kuhukumu haki, wapo wahusika wenyewe humu watoe ufafanuzi..

Othman Chande alimaliza Form VI Tambaza High School. Tulikuwa darasani pamoja Form V na Form VI, 1969 - 1970. Pia tuliishi pamoja H.H. The Aga Khan Hostel, Upanga. Kwahiyo hakupitia njia nyingine kwenda kusoma UDSM.


He was an excellent student. Pia alikuwa anapenda sana kutania darasani tukiwa peke yetu kabla ya walimu kuja na baada ya walimu kuondoka na nje ya darasa. I know him. I know him. I have known him for more than 40 years since we were teenagers at Tambaza. He was also very friendly - and somewhat talkative kwa sababu ya utani wake.


Kuhusu umri wake, najua bado hajafikia umri wa miaka sitini na tano. Nilimzidi umri kidogo. Hata baada ya miaka miwili atakuwa bado hajafikia umri huo wa miaka sitini na tano; labda hata baada ya miaka mitatu. Tulikuwa na umri tofauti miongoni mwetu. Kulikuwa na wanafunzi waliowazidi umri wanafunzi wengine katika darasa letu. Kuna hata waliokuwa mbele yetu darasa moja, waliomaliza Form VI, 1969, waliokuwa sawa kiumri na wanafunzi mbalimbali katika darasa letu. Kwa mfano, kuna wanafunzi katika darasa letu tulipokuwa Form VI, 1970, waliokwenda kupiga kura katika uchaguzi mkuu mwaka ule lakini wengine hawakuruhusiwa kwa sababu ya umri wao mdogo.
 
Mkuu asungwilemwaifunga ndugu yangu MADORO kajitahidi kwa kadri ya uwezo wake katoa mifano ya majaji waliosoma na Jaji Mkuu,katoa angalizo zuri sana kwamba mtu anaweza kuanza darasa la kwanza na miaka minne zingatia hiyo ilikuwa mwaka 1956 !.Mengine ata wewe unaweza kusaidia si kukosoa taarifa muhimu.

Hoja sio kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne. Anaweza kuwa alianza na miaka 8 lakini akarukishwa madarasa kama alikuwa akifanya vyema darasani kuliko wenziwe. Ilitokea sana mno enzi hizo.
 
Hoja sio kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne. Anaweza kuwa alianza na miaka 8 lakini akarukishwa madarasa kama alikuwa akifanya vyema darasani kuliko wenziwe. Ilitokea sana mno enzi hizo.

Bonge la logiki. Ulisomea mchundo nini?
 
UDSM - LLB 11th INTAKE 1971 – 74
1. Abubakar, A.A
2. Alizeti, M.N.
3. Ayany, E.A.
4. Bwana, J.S.M.
5. Bwesha, K.I.
6. Chakava, S.B.
7. Chamriho, S.M.
8. Gathenji, C.M.
9. Haule, L.G.
10. Ileti, K.F.
11. Kadiri, E.T.K.
12. Kajeri, M.G.C.
13. Kamanzi, J.
14. Kija, G.D.
15. Kilonzo, M.
16. Lyimo, V.K.D.
17. Mahalu, C.R.
18. Makalle, A.P.
19. Mallya, W.J.G.
20. Manento, A.R.
21. Mapundi, E.
22. Masese, G.J.M.
23. Massaba, K.S.
24. Matafu, S.I.M.
25. Matata, C.B.B.
26. Matui, G.B.
27. Mauggo, J.Z.J.
28. Mbinga, A.A.A.
29. Mihyo, P.B.
30. Mlanzi, M.A.
31. Mlawa, G.F.
32. Mlay, J.I.
33. Msakamari, J.M.
34. Muro, M.I.
35. Mpiluka, W.H.
36. Mututo, L.N.
37. Mwagiru, B.C.
38. Mwakilasa, T.H.M.
39. Mwakisu, B.H.K.
40. Nasser, S.
41. Ngibuini, C.K.
42. Odhiambo, O.R.O.
43. Okello, F.O.
44. Othman, M.C.
45. Rachier, A.D.O.
46. Oyoo, J.O.
47. Pinda, M.K.P.
48. Putika, A.S.A.
49. Rashidi, Y.M.K.
50. Shaidi, L.L.P.
51. Sheikh, R.H.
52. Teemba, A.A.M.
53. Wellington, J.O

Mambo ya kwenda kupekua mafaili ya watu ni udaku huu.
 
teh teh.... ndio maana kawahi jitoa?Kajua Lissu atakua anajiandaa mwaribia kiinua mgongo chake.Sijui ingekuweje kuja elezwa kuwa jaji aliyeandika hukumu ni muongo aliyekubuhu.NI vipi hukumu yake itaaminika?
 
Lakini pia Utata unazidi kwanini habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 Zikawa hazipatikani

Uongo mtupu. Majina ya wote waliograduate sheria UDSM yamewekwa online kwenye tovuti ya law school.

Wala huitaji kwenda pale campus kuulizia majina ya graduates.

Alimaliza mwaka 1974 akiwa darasa moja na Mizengo Pinda kama sijakosea.
 
Uongo mtupu. Majina ya wote waliograduate sheria UDSM yamewekwa online kwenye tovuti ya law school.

Wala huitaji kwenda pale campus kuulizia majina ya graduates.

Alimaliza mwaka 1974 akiwa darasa moja na Mizengo Pinda kama sijakosea.

Topic closed!
 
Othman Chande alimaliza Form VI Tambaza High School. Tulikuwa darasani pamoja Form V na Form VI, 1969 - 1970. Pia tuliishi pamoja H.H. The Aga Khan Hostel, Upanga. Kwahiyo hakupitia njia nyingine kwenda kusoma UDSM.


He was an excellent student. Pia alikuwa anapenda sana kutania darasani tukiwa peke yetu kabla ya walimu kuja na baada ya walimu kuondoka na nje ya darasa. I know him. He was also very friendly - and somewhat talkative kwa sababu ya utani wake.


Kuhusu umri wake, najua bado hajafikia umri wa miaka sitini na tano. Nilimzidi umri kidogo. Hata baada ya miaka miwili atakuwa bado hajafikia umri huo wa miaka sitini na tano; labda hata baada ya miaka mitatu. Tulikuwa na umri tofauti miongoni mwetu. Kulikuwa na wanafunzi waliowazidi umri wanafunzi wengine katika darasa letu. Kuna hata waliokuwa mbele yetu darasa moja, waliomaliza Form VI, 1969, waliokuwa sawa kiumri na wanafunzi mbalimbali katika darasa letu.

One for the road, asante kwa kuweka mambo sawa.
 
Back
Top Bottom