Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

Ndoto ya mwendawazimu. Pamoja na kwamba CCM nilikuwa nawapinga tangu JF ilipoanza, siwezi kukubali jinsi Mbowe alivyotuuzia Jambazi Sugu kwenye gunia. Huwezi kuvunja cardinal principal ya u-responsibility just for a day na kujichukulia peremende ambazo matokeo yake yatakuwa kuwakandamiza walipa kodi wa nchi hii. Jayari Jambazi Sugu linawakamua walipa kodi kwa hali iliyo chafu zaidi, hakuna democracy bali ni kuonesha vidole tu, No Way bora CCM irudi tena madarakani na huu uwe mfano kwa vyama vya upinzani, sisi hatuoti tu kama uyoga.

Mkuu Wewe na GENGE lako inaonekana EL anatishia matumbo yenu manake hizi Jazba sio za bure mmeshajua kwamba Pumzi imeshataka Acheni ujinga kuna maisha pia NJE ya CCM km mlidhani mna hatimiliki nahii NCH badilini fikra zenu....Kwanza hebu rudi kule kwenye Jukwaa la GT ukajibu hoja za Nguruvi3 manake naona unapaparika kama kuku aliekatwa Shingo unasema EL fisadi ulijua lini....
 
Last edited by a moderator:
KWAKWELI LEO NIMEGUNDUA JAMBO LA HUZUNI SANA KATIKA MAISHA YANGU YA TAREHE 25. 10. 2015.

Kituo changu cha kupigia kura kinaitwa Sabasaba..

Mita 200 mashariki ni kituo cha polisi cha kata

Mita 200 magharibi, kambi ndogo ya jeshi wilaya

Mita 200 kaskazini, ofisi za CCM mkoa

Mitaa 200 kusini, gereza la mkoa.

Mita 200 kusini magharibi ambapo ni jirani na nyumbani ndipo zilipo ofisi za FFU Mkoa...

Hivi hakuna utaratibu wa kubadili kituo wajameni?

utaratibu hamna,ila subiria hukumu kesho saa tatu asubuhi!wala usihofu hakuna wa kukudhuru
 
MAREKEBISHO: Aliyesema sheria inaruhusu kukaa mita 200 kutoka kituoni baada ya kupiga kura ni Jaji Lubuva na sio Jaji Mkuu Othman Chande
 
Kwa sasa ubishi uishe, sasa tufanye nini watanzania, tunayo kazi moja tu watanzania nayo ni kuitoa ccm madarakani. Uwezo wa kuitoa tunao, sababu ya kuitoa tunayo na nia ya kuitoa tunayo.
 
Marekebisho,soma hapa!
 

Attachments

  • 1445346004275.jpg
    1445346004275.jpg
    22.6 KB · Views: 358
Nyie nendeni mkalale,

Habari ya kukaa tu, au kulinda kura ni juu yetu nyie haiwahusu!. Hivi watu wa ccm zimetimia kweli??

Awali mlikuwa mnakataa kuwa sheria hairuhusu, tena kupitia mkiti wenu kule Dom kawapotosha nanyi bila kutafuna mkajipotosha!! Haya sasa leo Jaji kawaumbua mmehamia blabalaaa nyingine mkimsubiri kilaza wenu aje awapotoe zaidi.!!

Shida sana Nchi hii ......!!

BACK TANGANYIKA

Wewe neng'eneka tu!labda ukae mita 50! ndio utaweza kulinda kura ila ukifata sheria ya mita 200 huoni chochote!hata kituo ukioni!

Kama nyie ni wapenda sheria mtakaa mita 200!kama nyie ni wapenda vurugu tutaona
 
KWAKWELI LEO NIMEGUNDUA JAMBO LA HUZUNI SANA KATIKA MAISHA YANGU YA TAREHE 25. 10. 2015.

Kituo changu cha kupigia kura kinaitwa Sabasaba..

Mita 200 mashariki ni kituo cha polisi cha kata

Mita 200 magharibi, kambi ndogo ya jeshi wilaya

Mita 200 kaskazini, ofisi za CCM mkoa

Mitaa 200 kusini, gereza la mkoa.

Mita 200 kusini magharibi ambapo ni jirani na nyumbani ndipo zilipo ofisi za FFU Mkoa...

Hivi hakuna utaratibu wa kubadili kituo wajameni?
Wewe tutakuruhusu upige kura harafu ukalale kwa sababu hata wakiiba kwenye kituo kimoja haziwezi kuzidi kura 450.
 
Jaji mkuu wa Tanzania Othman Chande ameyasema hayo katika kongamano la majaji leo akiwa na Damian Lubuva wa NEC. Amesema sheria inaruhusu wananchi kukaa mita 200 kutoka kituo cha kura

=====================



Chanzo: IPP Media

Acha Unafiki aliyesema ni Judge Damian Lubuva na Siyo Othuman Chande muwe mnasikiliza kwanza Kabla ya Kukimbilia kuandika Thread!
 
Huyu anaelewa jinsi safari ya The Hague zinavyoanza, akiangalia mvi zake na heshima naona kaamua 'kujitenga' na wenzie katika safari ya ICC.
 
Malofa wakimaliza kupiga kura watakaa kwa utulivu huku wakijihesabu kujua idadi ya kura walizo piga!!! Mpaka hapo CCM hawana pa kutokea ...

Tetesi ni kuwa kuna wanawake wameandaliwa karibu kila kituo kuingia na kura zenye tick tayari kwa Mr Magufuli kwa kuziweka na kuzificha kwenye sidiria au kwenye kile kuguo kidogo cha maeneo nyeti cha pembe tatu maarufu kama "chupi"

Jamaa karibu kwenye ofisi zao zote wanakutana usiku wa manane kupanga ufanikishaji wa goli la mkono na mpango wao ni piga ua garagaza, eti Magufuli (kwenye nafasi ya Urais) lazima CCM ishinde!!!

Na sisi tunasema, baadhi ya majimbo ya ubunge na kata za udiwani tutawaruhusu washinde tu. Lakini piga ua garagaza katika nafasi ya Urais Edward Ngoyai Lowassa na CHADEMA/UKAWA lazima ashinde kwa kura za kishindo kikuu!!
 
Kwa sasa ubishi uishe, sasa tufanye nini watanzania, tunayo kazi moja tu watanzania nayo ni kuitoa ccm madarakani. Uwezo wa kuitoa tunao, sababu ya kuitoa tunayo na nia ya kuitoa tunayo.
Ni kazi ngumu ila Baba wa Taifa alituasa kuwa kila kitu kinaweza kufanyika pale utakapotimiza wajibu wako! Dunia itawacheka Watanzania wakishindwa kuiondoa ccm safari hii.
 
Back
Top Bottom