Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Jaji angelikuwa kijana mmoja wa yupo Kisutu ambaye yeye ni mchafu sana ila mpenda madaraka ,yeye hujifanya mtakatifu ili system imuamini kumbe si mtenda haki na mwingiliaji kesi na kushinikiza maamuzi ktk kesi za walio chini yake walio chini yake......hapo ningelikubaliana na mleta habari lakini si kwa jaji aliyeichukua kesi hii toka Mh.Mujuluzi ni mtenda haki, hashinikizi wala hashinikizwi. Kama walalamikaji wame present hoja na ushahidi wenye nguvu watashinda ila kama anayejitetea amejenga hoja na ushahidi wenye kupangua malalamiko haki itatendeka. Tuache gosiping na u sheikh Yahaya , kama Jf inataka kuusafisha muhimili Mahakama vema tuanze kuwazunguza watu wa hovyo ambao wananyamaziwa na kil kukicha wanaboronga tena delibately toka kwa mahakimu-mwanzo,wilaya ,wakazi na pengine hao majaji.
 
jamani watanzania wenzangu tulia mfamaji hakosikutapatapa na kamahaujuikufa chungulia kabuli ccm itashinda pwanitu siohuko kwawaelevu watashindwa vibaya sana.CHAKUSHANGAZA HIKIHAPA ''KUJIOKOA KWA CCM NI KUJIUA WENYEWE MAANA HAKUNA NJIA NYINGINE
 
nani huyo wa kisutu si umtaje? kama ni Mgeta weka wazi namsikia ndio kalazimisha mahakimu wasign attendance register pale kisutu na pia kakataa kesi nyingi kuletwa pale matokeo yake zinapelekwa kinondoni na ilala a temeke
labda ni namna ya utendaji wake kuwafanya mahakimu wawe active na kufika mahakamani kwa wakati.

- FDR.Jr jua kuwa mahakama haziko huru,zinaingiliwa sana na executives hukumu nyingi zinatolewa kwa matakwa ya hao hao waliowaweka hapo mahakamani,
majaji hawako huru kama unavodhani hata mahakimu.lolote laweza tokea.

Jaji angelikuwa kijana mmoja wa yupo Kisutu ambaye yeye ni mchafu sana ila mpenda madaraka ,yeye hujifanya mtakatifu ili system imuamini kumbe si mtenda haki na mwingiliaji kesi na kushinikiza maamuzi ktk kesi za walio chini yake walio chini yake......hapo ningelikubaliana na mleta habari lakini si kwa jaji aliyeichukua kesi hii toka Mh.Mujuluzi ni mtenda haki, hashinikizi wala hashinikizwi. Kama walalamikaji wame present hoja na ushahidi wenye nguvu watashinda ila kama anayejitetea amejenga hoja na ushahidi wenye kupangua malalamiko haki itatendeka. Tuache gosiping na u sheikh Yahaya , kama Jf inataka kuusafisha muhimili Mahakama vema tuanze kuwazunguza watu wa hovyo ambao wananyamaziwa na kil kukicha wanaboronga tena delibately toka kwa mahakimu-mwanzo,wilaya ,wakazi na pengine hao majaji.
 
Leo nimebahatika kutembelea Arusha mjini katika sehemu moja mitaa ya Mihanzini nilikuwa na jamaa zangu tukipata vinywaji na kutafakari mambo tofauti. Katika maongezi yetu tulijadili kwa muda mrefu USHINDI wa NASARI huko Arumeru East. Maongezi yetu yalivuta watu wa meza za jirani pia.

Katika kujadiliana kwetu kuna jamaa wa meza ya jirani akaingia katika maongezi yetu katika kujadili kwake akaingiza jambo lililo nistua na kunigusa, Alisema, " EL na timu yake uhakika wa 90% kuwa Mpambanaji GODBLESS LEMA anang'olewa ktk UBUNGE kupitia hukumu ya kesi iliyopo mahakamani.

Mdau huyo aliendelea kueleza kuwa taarifa hizo kazipata kwa jamaa yake(ndugu yake) wa UVCCM Arusha aliyekaribu na MILLYA, kuwa wameshamuweka Jaji sawa hivyo "Jogoo awike asiwike lazima kutakucha tu" yaani lazima LEMA ang'olewe.

Nilishangaa kuona watu wengi wakiwemo na wenzangu wanazifahamu taarifa hizo na wanazungumza kwa uhakika na kuniambia wewe subiri HUKUMU ndipo utakapo amini tukisemacho. Wengine wakasema kuna sherehe imeshaandaliwa ya kujipongeza kwa kumng'oa LEMA. Na eti katika mashtaka dhidi ya LEMA walalamikaji wwameomba ikiwa mahakama itamuona LEMA ana HATIA afungiwe kushiriki siasa kwa miaka mitano. Hivyo katika uchaguzi mdogo CDM bila LEMA wamekwisha hivyo mtu wa EL atachukua JIMBO.

Naomba nieleweke si lengo langu kuingilia UHURU wa mahakama au kumshinikiza jaji atoe matokeo yatakayo wafurahisha CDM au wananchi wanao muunga mkono LEMA hata kama alipotoka ktk kampeni.

Je taarifa hizi Makamanda wa CDM hawana? kama wanazo wamejipanga vp? ni kweli wao wana PESA na sisi tuna MUNGU. Lakini inapobidi MAKAMANDA yapasa kutumia NGUVU YA UMMA kutoa HUKUMU kwa watumishi wanaopewa dhamana ya kutoa HAKI lakini wao wanaangalia MASLAHI ya KISHETANI.Si hamasishi machafuko au CDM wamtende vibaya Jaji akitoa Hukumu kinyume chao, lakini kama msingi wa hukumu ni fedha za EL, NGUVU YA UMMA IKIMUANGUKIA mimi nitaona sawa tu.

MAANA SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU

Usidanganyije man, EL hausiki hapo hizo ni siasa za chuki dhidi yake EL so wanataka ku-play ionekane as if mhusika ktk
kumwangusha kamanda GODbless Lema ni lowasa if its happen kuwa Ameangushwa, ukweli uko pale pale ni serikali ya ccm inahusika na mpango huo na huyo jaji keshapewa direction as what to do. Sio EL ila ni Serikali inyoongozwa na ccm.
Othman Chande alishasema serkali inaingilia mahakama. Natabiri mabomu na risasi za moto kutukima vivyo sivyo hoyo kesho. Itoshe tu kusema, we (the people) are watching the outcome so closelly.
 
Ila CCM watambue ya kuwa Hata Chadema ikimsimamisha dogo janja aliyerup siku ya kufunga kampen za Joshua na wao wakamsimamisha yule mama Chadema itashinda kwa kishindo Arusha... So kukwepa gharama zote watakazozitumia ni heri wajipange kwa ajili ya 2015 na sio kutumia plan B. Watu wa kaskazin hawadanganyiki tena na Magamba kifo chao kimeshafika hawana ujanja wala pakutokea....
Hapo kwenye RED hebu tafakari!!!
 
Glema kwisha habari zake, watz tunataka sera sio ubaguzi wa kijinsia , kikanda na kidini.
 
ccm could as well have a second thought after Arumeru debacle. Initially, yes, they might have thought it was a win win game but not now.......me think
 
Makada wengi wa ccm wiki iliyopita walikuwa wakitamba wazi kuwa ....wamempa Yule jaji toka mahatma kuu ya Rukwa milioni 50..., na hukumu wameandaa wao na kumpa ...ya kumpiga Lema chini........

Lakini nakubaliana na wanaodhani kuwa mpango huu umeshavuja...ikumbukwe kuwa hukumu hii ilikuwa iwe kabla ya uchaguzi.....ni dhahiri ccm wangeshinda wangekuwa wamelenga kuwakatisha tamaa wana Chadema kupinga lolote ambalo lingeamuliwa na jaji......lakini kwa sasa Amani ya nchi ipo shakani Kama kweli jaji atakuwa amekubali kutumika ...morali ya wana Chadema ipo juu.....

It was planned Chadema waangushwe Arumeru,kesi ya Lema waangushwe, alafu lie kesi ya viongozi waandamizi wote wa Chadema pale Arusha nayo watiwee hatiani.....
Tetesi za huu mkakati hata mimi ziliniogopesha! Kwanza hata sisi humu tulishagawanyika sana na Morali ilishuka kwa vijana wengi humu! Kama tungeshindwa Arumeru plus Lema na kupigwa chini alafu viongozi wenye ile kesi ya Arusha kutiwa hatiani! Huo ndio ungekuwa mwisho wa chadema(offcourse wangepatikana viongozi wengine vibaraka!).Ushindi wa Arumeru umewavuruga sana CCM na system yao!
 
mi nahisi mke bora utoka kwa Mungu na Mbunge bora hutoka kwa Mungu wakiamua wanachotka waachwe turudi uwanjani tenaaaaa alafu waone sauti ya Mungu si Sauti ya Lowaasaa wala pamela wala sioi tena
 
Huyo Jaji hawezi kupindisha haki au kupora haki sema wana CCM,mimi hata jana niliandika hapa kwamba wana CCM wamejiaminisha kuwa Godbless Lema,Mnyika na Lissu lazima wanq'oke nadhani wana myth ,sijui kwa nini wanadhani Majaji wanaweza kutukanisha hadhi zao na kuifanya nchi ikawa inaongoza kwa walinda haki kuvunja haki.

Mimi nadhani wa CCM ,wanaota,na ndoto yao wanaomba hao wabunge wadondoke ili Chadema wajikite kwenye chaguzi badala ya kufanya kazi za kueneza chama,hilo litakuwa kosa kubwa,kwa sababu chadema wataenda kuwashitaki majaji kwa wananchi,wananchi wakiwapuuza majaji kama walivyopuzwa Police,wanasiasa wa CCM na serikali yake,basi ukweli tutaingia vitani
Hakuna Jaji atataka hilo litokee Nguvu ya umma ni kitu kingine bwana
 
sipati picha Arusha kesho itakuwaje hukumu ikilalia upande wa magamba.

Nadhani moto wake hautazimika.
 
Hii ni sehemu ya ukombozi, hawa ccm wameshindwa kwenda na wakati, tangu bundi alipoanza kuwika juu yao miaka kadhaa iliyo pita hawakutaka kujirekebisha. Waacheni wakafie mbali. Watawanunua shahada watashindwa, watahonga watashindwa, watatumia dola watashindwa. Nguvu ya umma i juu ya vichwa vyao. Wanatutesa na wametutesa vya kutosha.
 
Mkuu sio kwamba mjipange ukonga maana mahanga ana hali mbaya kwenye kesi. Peoples power itawaonesha nyie ccm.
 
Nakukubali sana MMKJ.. Ni kweli watu wanaweweseka sana wakisikia CCM na hii inatokana na kuwa CCM wamekuwa na hila muda wote na imetokea kuwa wamekuwa wanafanikiwa mara nyingi kwa kutumia hizo hila na mbinu zao mbali mbali kiasi cha kuwaaminisha wengi kuwa jamaa wakitaka kitu wanaweza na wanapata ukizingatia kuwa wana dola.

Lakini watu wanatakiwa watambue kuwa wakiamua hayo yasitokee inawezekana kwani ni juzi tuu tumeona sauti ya umma ikiamua basi CCM haina uwezo wa kubadilisha matokeo. Au mnafikiri hawa jamaa hawana akili ya kuona hali ilivyo ? Mnafikiri hawakujaribu kutumia mbinu zao na hila zao chafu na mbaya za kila siku huko Arumeru Mashariki? Je waliweza?

Basi kuanzia leo tunatakiwa tujiaminishe kuwa tukiamua hakuna linaloshindikana. I mean UMMA wa Watanzania ukiamua basi CCM imekwenda na maji kwa kasi ya ajabu.

YES we CAN...

Mkuu umeongea ukweli na siku zote penye nia pana njia na umoja ni nguvu ilimladi tumtangulize Mungu
 
Back
Top Bottom