Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Hakuna kitu, Kesho Lema pigwa chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, SUBIRINI MTAONA
Dua la kuku halimpati mwewe, nakuhurumia kijana mwenzangu, post zako nyng unaandika utumbo. Usitumie masabur kufikiri ushirikishe na ubongo wako japo kidogo
 
I know Arusha people, I trust on these people! I am sure we have so many Lemas in Arusha. If they BAN Godless tomorrow, we will avail another Godbless the day after tomorrow. We have GOD and people, They have Money....
 
Eee Mungu tunusuru kwanini unaacha watu hawa watunyanyase namna hiii??? Hivi jamani mbona binadamu tunakuwa wanyama kiasi hiki !! Hii ni nini, laana au tumelogwa hv kweli kabisa hapo Arusha kulikuwa na kesi? Mie si mjuzi wa sheria lakini kuna siku haki ya Wana Arusha na Watanzania itarudishwa na Mungu. Ngoja tusubiri kesho!!!!
 
jamani mimi kwa aaina ya ushahidi uliotolewa pale, sijui kwa kukwa sijui sheria pia, lakini hakuna wa lumtoa LEMA pale hata kama awe MUkama wa CCM
 
Naona unaleta ushasbiki wa simba na yanga vipi masaburi yana kuwasha....

Wewe Crashwise kwanza nakufahamu vizuri sana, nakusanya data zako zote na tuhuma zako zote (AMBAZO MPAKA LEO UMESHINDWA KUZIKANUSHA PALE MTAANI KWENU) Kisha ntakuchana LIVE hapa JF. Umeyataka mwenyewe.
 
Kwa kweli Lema akiondolewa na kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mdogo itakuwa ni faraja kwa wana-Arusha na zawadi nzuri ya Pasaka.

Ameshatuaibisha vya kutosha.

Ametufanya tupigige zaidi tangu awe mbunge.

Amelifanya Jiji la Arusha lirudi miaka 5 nyuma kimaendeleo.
 
Mhurumie bure Crashwise, wasio wasafi kama yeye wamejaa tele kwenye magwanda. Usimhukumu peke yake.
 
Kwa kweli Lema akiondolewa na kuzuiliwa kushiriki uchaguzi mdogo itakuwa ni faraja kwa wana-Arusha na zawadi nzuri ya Pasaka.

Ameshatuaibisha vya kutosha.

Ametufanya tupigige zaidi tangu awe mbunge.

Amelifanya Jiji la Arusha lirudi miaka 5 nyuma kimaendeleo.

Huyu ndo Great thinker sasa. Watabaki na magwanda yao hao wakaa kwa dada zao, wakosa heshima, kila siku ushabiki tu, Yani kesho ndo mtajua maji ya betri ni ICE CREAM
 
Acheni hizo. Hata kama huyu judge akiamua kabatilisha ushindi wa Lema, bado Lema si anaweza kukta rufaa? Na akikata rufaa ina maana ni judge yule yule wa mwanzoni atapangiwa kesi?
 
jamani mimi kwa aaina ya ushahidi uliotolewa pale, sijui kwa kukwa sijui sheria pia, lakini hakuna wa lumtoa LEMA pale hata kama awe MUkama wa CCM
Siyo Mukama...hata kama angekuwa jaji ni Lowasa na kikwete, Lema angeshinda kama walitaka kushinda kesi hiyo wange andaaa mashahi wa kueleweka siyo hao walio kuwa wananjinyea nyea tu.....
 
Lema hata akisimama na Kikwete waungane na Lowasa, Lema anashinda siyo yule mgawa uchi mleiomsimamisha kipindi kile tukatandika kwa zaidi ya kura 16000..nyagau nyie....

Usimalizie hasira kwenye key board. Huna sababu ya kututolea mapovu sisi kwani hukumu ya kumwondoa kilaza wenu anaitoa Jaj. Punguza munkari, haitasaidia.
 
kweli wanasiasa ni wapofu yaani kweli ccm wanawazo wa kuchukua jimbo la arusha mjini.Duniani kweli kuna maajabu yaani kama mimi mwenyekiti wa CCM ningefuta hii kesi manake hata uchaguzi ukiitishwa kesho Arusha kuingoa chadema ni haiwezekani.
 
Hivi mnajua kwa nini ccm imekimbilia kukubali kushindwa uchaguzi wa
Arumeru Mashariki?
 
Kwanza umeshalipa kodi ya hiyo nyumba unayokaa??? Utabaki kuwa MC wa kitchen party mpk na wewe ufanyiwe yako. Endelea kubwabwaja tu hapa kuthibitisha tuhuma zako... (NIMEPEWA NAMBA YAKO YA SIMU NA SALVA, NAKUPIGIA SASA HIVI NIKUPE VIPANDE VYAKO KWANZA)
AAAAAAAAAAAAAAAAAAAhhhhhhhhhh, kumbe kashifa ndiyo hii........Kifupi si ishi kwenye nyumba ya kupanga nimejenga ya kwangu **** wewe kama vipi lete familia yako nikulele, pili mimi siyo MC kama unavyodai na mwisho namba yangu siyo issue kiivyo mpaka umuombe salva ungeomba tu ninge kupatia maana na jua wewe ni shoga.....una lingine
 
kweli wanasiasa ni wapofu yaani kweli ccm wanawazo wa kuchukua jimbo la arusha mjini.Duniani kweli kuna maajabu yaani kama mimi mwenyekiti wa CCM ningefuta hii kesi manake hata uchaguzi ukiitishwa kesho Arusha kuingoa chadema ni haiwezekani.
Arusha mjini hatuta hitaji hata Helicopter tuna watanika mchana kweupe....
 
Back
Top Bottom