Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Hakiyanani el hatafanikiwa kama anataka kujua nguvu ya umma ye aendelee ataona!!!

Cdm asilimia 99.9%
 
Ni hisia za watu mbona, kule kigoma kesi inaelekea mbunge wa ccm ataondokaje huko na sisi tumempa jaji kitu , pia hata mnyika wetu anaweza kuondoka , kwani nilikuwepo alhamisi mahakamani kwa sisi tuliosoma sheria mnyika alijichanganya sana majibu yake yanathibitisha kuwa kuna utata katika matokeo ya uchaguzi pia alikuwa anaongea mahakamani kama yupo katika jukwaa la siasa, anaulizwa maswali ya ndiyo au hapana yeye anatoa maelezo amabayo yanamchanganya na majibu yake aliyokuwa ameyatoa awali. Hilo linaweza kutokea kwa haki kabisa hata ccm nao wanayonafasi ya kushinda vilevile kwenye kesi. Tunachotakiwa sisi tujipange siyo kuanza kutoa shutuma kuwa jaji kapewa hela kuna mambo hata kama mimi na hukumu nitatoa haki iliyo sawa.
 
kwa mtazamo wangu LEMA kesho akishinda amshukuru mungu ccm wamejipanga kuchukua jimbo,kwa nguvu zote kama akishinda jimbo la UBUNGO watalichakachua huo ndio mkakati wao
 
hapo ni issue zaaa usituletee hapa Jf, kama vipi njoo kesho ushuhudie Lema anavvyotoka Kifua mbele!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom