Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

ndio wajiulize kwanini ccm imekubali kushindwa mapeeeeeeeeeeeeeeemaaaaaaaaaaaa..
 
Usimalizie hasira kwenye key board. Huna sababu ya kututolea mapovu sisi kwani hukumu ya kumwondoa kilaza wenu anaitoa Jaj. Punguza munkari, haitasaidia.
Keyboard ni yangu siyo ya chama kama wewe....kwa hiyo usiongope....hukumu tuna isubiri kwa hamu
 
CCM waepushe mbali mawazo haya maana wataleta maafa Arusha na nchini

Haya ndio CCM wanayataka yatokeee na yatakuja chanzo chochote cha vurugu ndani ya nchi hii ni pale Serikali ya CCM kunyima haki wananchi wake na kuwalazimishia uongozi na utawala wa mabavu.

My Take;
Jaji husika anatakiwa katika hukumu pia aangalia upepo na sio atoe hukumu kwa kunufaisha watu fulani kwa hali ya arusha ilivyo ni bora Lema aendelee kuwa mbunge kwani uchaguzi ukirudiwa hapa ni Maafa hamjawai ona watu watau hama mji baada ya kupiga kura tu mtu anakimbilia Moshi


 
Maganba wamechanganyikiwa,wakimchakachua Lema tunamsimamisha Dr Slaa
 
Usijo kijua wewe nini ninachofahami ni kwamba LEMA anapigwa chini then Itaundwa zengwe la Ukabila hapo mjini, Moja ya zengwe mojawapo ni kwamba Kwanini wachaga ndio waje kuwa viongozi wa Arusha? Then watu wa arusha wawezi kumchagua Mwingine.

Very reliable source
 
Leo nimebahatika kutembelea Arusha mjini katika sehemu moja mitaa ya Mihanzini nilikuwa na jamaa zangu tukipata vinywaji na kutafakari mambo tofauti. Katika maongezi yetu tulijadili kwa muda mrefu USHINDI wa NASARI huko Arumeru East. Maongezi yetu yalivuta watu wa meza za jirani pia.

Katika kujadiliana kwetu kuna jamaa wa meza ya jirani akaingia katika maongezi yetu katika kujadili kwake akaingiza jambo lililo nistua na kunigusa, Alisema, " EL na timu yake uhakika wa 90% kuwa Mpambanaji GODBLESS LEMA anang'olewa ktk UBUNGE kupitia hukumu ya kesi iliyopo mahakamani.

Mdau huyo aliendelea kueleza kuwa taarifa hizo kazipata kwa jamaa yake(ndugu yake) wa UVCCM Arusha aliyekaribu na MILLYA, kuwa wameshamuweka Jaji sawa hivyo "Jogoo awike asiwike lazima kutakucha tu" yaani lazima LEMA ang'olewe.

Nilishangaa kuona watu wengi wakiwemo na wenzangu wanazifahamu taarifa hizo na wanazungumza kwa uhakika na kuniambia wewe subiri HUKUMU ndipo utakapo amini tukisemacho. Wengine wakasema kuna sherehe imeshaandaliwa ya kujipongeza kwa kumng'oa LEMA. Na eti katika mashtaka dhidi ya LEMA walalamikaji wwameomba ikiwa mahakama itamuona LEMA ana HATIA afungiwe kushiriki siasa kwa miaka mitano. Hivyo katika uchaguzi mdogo CDM bila LEMA wamekwisha hivyo mtu wa EL atachukua JIMBO.

Naomba nieleweke si lengo langu kuingilia UHURU wa mahakama au kumshinikiza jaji atoe matokeo yatakayo wafurahisha CDM au wananchi wanao muunga mkono LEMA hata kama alipotoka ktk kampeni.

Je taarifa hizi Makamanda wa CDM hawana? kama wanazo wamejipanga vp? ni kweli wao wana PESA na sisi tuna MUNGU. Lakini inapobidi MAKAMANDA yapasa kutumia NGUVU YA UMMA kutoa HUKUMU kwa watumishi wanaopewa dhamana ya kutoa HAKI lakini wao wanaangalia MASLAHI ya KISHETANI.Si hamasishi machafuko au CDM wamtende vibaya Jaji akitoa Hukumu kinyume chao, lakini kama msingi wa hukumu ni fedha za EL, NGUVU YA UMMA IKIMUANGUKIA mimi nitaona sawa tu.

MAANA SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU

Mkuu naloli hizi taarifa zimetapaka Acity ikichukuliwa kuwa 5/04/2012 ndiyo ruling day ya kesi ya kamanda lema.jana nilikuwa chocho flan tukibadilishana mawazo na wadau kuhusu mustakabali wa mkoa wetu.hoja ya msingi iliyoibuka ilikuwa kesi ya lema mbali ya hilo uliloeleza mkuu hapo juu eti kuna issue nyingine ya lema kufoji vyeti vya secondary kitu ambacho mimi kwa u layman wangu wa sheria nilisema haiwezi kuhold water
Mytake:Hata kama hao mafisadi watafanikiwa huo mpango wao kitu ambacho siyo rahisi kihivyo nawakikishia kuwa kuna wakina lema 100 na hili jimbo haliwezi rudi mikononi mwa ccm.
 
Na mimi naomba kutoa ushuhuda kuwa CCM wameanza kutafuta watu wakuchukua jimbo la singida mashariki kwa lissu kwa lugha nyingine kesi ilishaamuliwa kabla hata ya kusikilizwa
 
hii kitu ni kuingilia uhuru wa mahakama ni vizuri mods waitoe , na aliye weka apewe ban inayo stahili na kosa lake
 
Hizi zooooooooooooooooooooote ni ndoto za mchana.........eti lema atvuliwa ubunge!!!!!...kwa kesi ipi ...mbona hakuna kesi ....huyo jaji kasoma wapi sheria?????...patachimbikaaaaa tena sana..narudia tena sana...................sisi ni taifa huru ....patachimbika ....tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mimi kesho niko mahakamani saa 12 na makamanda wenzangu,siogopi serikali mbovu kama ya Kikwete,Lema amenifundisha ujasiri
 
Hizi zooooooooooooooooooooote ni ndoto za mchana.........eti lema atvuliwa ubunge!!!!!...kwa kesi ipi ...mbona hakuna kesi ....huyo jaji kasoma wapi sheria?????...patachimbikaaaaa tena sana..narudia tena sana...................sisi ni taifa huru ....patachimbika ....tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Aisee huyu naye katokea wapi jamani?? wewe si uko form 3 pale ekenywa sekondari?? Kura yenyewe hupigi, sasa povu la nini unatoa?? Ngoja ukue basi kidogo ndo uje JF kama "matured kilaza" Kwa sasa soma kwanza.
 
hizi habari ni za kweli mkuu! Zimetapakaa karibia Ars nzima.
Jana asbh nilikuwa police upande wa ofc ya RPC, imagine maaskari wenyewe wanaliondelea hilo!!
Na mmoja akawa anasema ni bora haya matukio yangejitokeza kwa cku moja. Yaani ushindi wa Joshua na hukumu ya Godless Lema.
Na akasema hiyo alhamis kunawatu watakimbia mji! Mmoja wa askari akambana na kumuuliza ni kweli jamaa atapigwa chini? Huyo askari akastuka na kuniangalia na kusema mi sijui ww subiria hiyo alhamis.
Kwa hapa Bongo lolote linaweza tokea ingawa mimi bado ninaamini uwezo wa majaji katika kutetea hadhi ya kazi yao. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; hebu tusubiri tuone. Mimi nipo nje ya nchi lakini nimelisikia hilo toka juzi eti mafisadi wanajitapa wameshamwaga "mpunga" watu wakae mkao wa kula kuona jamaa anang'olewa!
 
Wabunge wote wa CDM wakiangushwa kwa nguvu ya mahakama-rushwa, uchaguzi ukirudiwa CDM watashinda! Nawapa ujanja wasiandikishe upya daftari la wapiga kura lkn hamtapona!!!! Hata wabibi wa-Arumeru walivaa vilemba vya thithiem lkn walimpa kura Nasari
 
Kwa hapa Bongo lolote linaweza tokea ingawa mimi bado ninaamini uwezo wa majaji katika kutetea hadhi ya kazi yao. Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja; hebu tusubiri tuone. Mimi nipo nje ya nchi lakini nimelisikia hilo toka juzi eti mafisadi wanajitapa wameshamwaga "mpunga" watu wakae mkao wa kula kuona jamaa anang'olewa!

Dah, magwanda kwa kupenga misifa, kweli mnatisha. Wewe si upo Kimara bonyokwa hapo kwa mzee machemli alaf unatuambia upo japenga??? Acha hizo gwanda.
 
defensive mechanism hiyo mwisho wa siku hukumu itazingatia haki na sheria za nchi hii
 
Ukweli ni Kwamba Arusha wamtoe Lema wamlete hata kikwete au huyo edward Lowassa akasimama na gogo hapa Arusha gogo litashinda... so wasijidanganye hata kidogo hili jimbp litarudi magambani... huwezi kufananisha kifo na usingizi maana alielala ataamka je aliekufa????? ccm tayari wameshaingia upepo hawana ujanja.
 
Mh Jaji Rwekibarira ni honest na mwerevu anyeamini ktk haki. Haki itatendeka bila shinikizo amini nawaambia.
 
Namwomba Mungu sana aepushe Balaa hili sababu naamini Arusha patakuwa padogo jamani!
 
Back
Top Bottom