joseph sinde warioba

Joseph Sinde Warioba (born September 3, 1940) served as Prime Minister of Tanzania from 1985 to 1990. Furthermore, he served concurrently as the country's Vice President. He has also served as a judge on the East African Court of Justice, and as chairman of the Tanzanian Constitutional Review Commission.
He was born in Bunda District of Mara Region in Tanzania. He graduated from the University of East Africa in Dar es Salaam, Tanzania in 1966. From 1966 to 1968, he served as state attorney in Dar es Salaam, and from 1968 to 1970, as solicitor for the City Council. In 1970, he graduated from The Hague Academy of International Law. From 1976 to 1983, he served as the attorney general of Tanzania. From 1983 until his election as prime minister, he served as minister of justice.
Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996, President Benjamin Mkapa appointed him as chairman of the Presidential Commission Against Government Corruption, better known as the Warioba Commission.
Warioba was chosen to lead the Commonwealth Observer Group in the April 2007 Nigerian elections. He gave a positive assessment of the elections, deeming them to be progress while also saying that there were irregularities.Warioba was appointed in November 2016 by the President of Tanzania John Magufuli as the Chancellor of Sokoine University of Agriculture in Morogoro, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Sinde Warioba usipoteshe Umma, Tume za Uchunguzi zinawaibu kwa Rais kwa Mujibu wa Katiba

    Na David Maphone. Nimemsikiliza Mzee wangu Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba, kwenye mahojiano yake katika kipindi cha Jenerali Ulimwengu Post kilichorushwa LIVE na THE CHANZO online 11 / 05 / 2026 Waziri mkuu mstaafu ambaye pia ni Jaji mstaafu Mhe. Joseph Sinde Warioba, amezungumza maswala...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Joseph Sinde Warioba alipewa kalamu ya Katiba lakini aliandika hisia zake

    👉Kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi wastaafu, hususan , kujiona kuwa wao pekee ndiyo wenye hekima na uwezo wa kuamua mustakabali wa taifa letu. Kila jambo linalofanywa na serikali hulikosoa kwa kejeli kana kwamba hakuna chochote kizuri kinachoweza kufanywa bila ridhaa yake. Hali hii imeanza...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tunawakumbuka Mawaziri Wakuu kwa makubwa ambavyo walitufanyia katika Taifa letu ila kwa kipindi cha Waziri Mkuu Joseph Sinde Warioba sijui tutakumbuka

    1. Rashidi Mfaume Kawawa (1961–1962) 👉 Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika baada ya uhuru. 👉 Alisimamia ujenzi wa misingi ya serikali mpya ya taifa huru. 👉 Anakumbukwa kwa uzalendo, ukakamavu na kusimamia sera za ujamaa. 2. Oscar Salathiel Kambona (1962–1963) 👉 Alikuwa mmoja wa viongozi vijana...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Mzee Mwenye Kumbukumbu ya Taifa ikipuuzwa na kuzimwa kuna hatari ya nchi kupata laana

    Joseph Sinde Warioba ameendelea kuwa mmoja wa viongozi waandamizi wanaozungumza kwa tahadhari lakini kwa ukali kuhusu hali ya kisiasa, haki za kiraia, utawala wa sheria na mwenendo wa uongozi nchini Tanzania. Kauli zake zimezua mjadala mkubwa kwa sababu wengi wanahisi anayoyasema, lakini si...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kama mzee Joseph Sinde Warioba anafanyiwa ushenzi huu wa vitisho, Je sisi kwangu kukavu weka mchuzi lazima tufe sana as it is today!

    Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo vya 29 October, 2025 vitakuwa in terms of millions! All in all washauri wa mama ndio wanamshauri vibaya
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Vyama vya Siasa vimegawa Watu, imefika mahali siku hizi kiongozi anafariki watu wanasherehekea

    "Mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba kiongozi anafariki watu wanasherehekea. Yaani tumefika hapo, ubinadamu umekwisha. Unaweza kuona kuna chuki...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Uchawa, Utekaji na Mauaji vinawajengea Watanzania Hofu kubwa ya kutoa Maoni

    "Tazama, mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba kiongozi anafariki watu wanasherehekea. Yaani tumefika hapo, ubinadamu umekwisha. Unaweza kuona...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

    "Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna. Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

    Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

    Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kwenye Vita ya Kagera, vijana wengi waliuawa na adui. Aidha, ukilinganisha na takwimu zinazozungumziwa sasa, idadi ya waliokufa ni kubwa zaidi kuliko ile ya vita. Tofauti ni kwamba, wakati ule tuliuawa na adui, lakini sasa...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  14. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hili jiwe kamrushia Jaji Warioba? Eti Mzee Msuya hakuwahi kuita wanahabari kuisema Serikali

    Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana). Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Tumepokea ushauri lakini CCM hatuna mgogoro na CHADEMA, Jaji Warioba akasuluhishe mgogoro wa CHADEMA

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mgogoro na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwomba Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba kuwa msuluhishi wa yanayoendelea ndani ya chama hicho cha upinzani. Amesema...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

    Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani. Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!? N. B: Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

    Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi. Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

    angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu. Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema...
Back
Top Bottom