Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,540
- 28,394
Ukiwa hai na bado Una uwezo wa kufanya KAZI, Fanya. Mwili ukishindwa ndo ukae tuu.View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Kustaafu ni kubadili KAZI hapa duniani.
Humuoni Kikwete anavyoongoza nchi baada ya kustaafu?