Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

View attachment 105782
Greenguard ni kama MBWA MWITU wanakulana wenyewe kwa wenyewe.

wO2p2k5dvO1GQAAAABJRU5ErkJggg==

Hawa ndio magaidi halisi, munchemba savimbi zingatia hili na uache kutumia propaganda za ugaidi kupambana na upinzani.
 
Hii ni aibu kubwa kwa CCM kushindwa kuandaa mashitaka huku wakijipiga vifua kwamba wana wasomi wengi.Hakika hiki ni kiwango cha ujinga wa hali ya juu!
 
Leo Jaji Simon Lukelelwa amefutilia mbali makosa ya ugaidi kwa washtakiwa watatu wanachama wa CHADEMA katika mahakama Kuu Kanda ya Tabora.

Pamoja na kutoa uamuzi huo Jaji Lukelelwa alichukua nafasi hiyo kutoa somo juu ya sheria ya UGAIDI kwa wanaotayarisha hati za mashtaka na kwa wanasiasa wanaoshabikia kutumia tuhuma za UGAIDI kama mbinu za kushindana kisiasa.

Jaji Lukelelwa alisema suala la kushabikia tuhuma za ugaidi limeshika kasi lakini inavyoonyesha mazungumzo hayo hayaelewi madhara yake na mapana yake. Utalii na.uchumi utaathirika. Inaweza kuleta madhara kwa nchi pasipo kuwa na ulazima wowote.

Aliongeza kusema kuwa tafsiri ya neno Gaidi haiko wazi. Anayeweza kuwa gaidi kwako labda ni mpigania uhuru kwa mwingine.

Jaji Lukelelwa aliwalaumu waendesha mashtaka kwa kuandaa mashtaka na kuingiza ugaidi bila lazima pasipo kuzingatia makosa yaliyo kwenye hati ya mashtaka. Siyo kila kitakachotokea kati ya wanasiasa kiwe ugaidi.

Ni vizuri waandaa mashtaka wajifunze namna ya kuandaa hati za mashtaka, na jaji amewapa waendesha mashtaka vifungu vinavyowaelekeza namna ya kuandaa mashtaka.

Jaji Lukelelwa alisisitiza kuwa sharia ya UGAIDI inaweza kutumiwa vibaya na wanasiasa walioko madarakani, na akaongeza kuwa hii ni hatari sana kwa Taifa.

Na mwishoni alisema kwenye hati ya mashtaka hakuna chochote kinachoonesha nia ya ugaidi.

Nimepapenda hapo kwenye red,huyu ndiye jaji mweledi anayejua sheria na majukumu yake.
 
Ni juzi tu nchemba kasema CDM ni magaidi wakati anamwita slaa adui namba moja.....akili inaona karibu sana huu jamaa...ila pia SEKTA ya SHERIA inaanza kupata heshima kubwa sana hapa TANZANIA sasa hivi......HONGERA WANASHERIA...HONGERA SANA
 
Huyu Dr Eliezer Feleshi ni janga la kidunia, anaidhalilisha sana hiyo ofisi ya Mwendesha mashtaka. Kwa kuwa hakutegemea kama atapata hiyo kazi na huenda alitumia ushirikina kuipata, anajikuta hawezi kukataa kitu akiambiwa na Mwigulu Nchemba. Nashindwa kuelewa hiyo PhD aliisomea ya nini kama anashindwa hata kuelewa definition ya neno ughaidi, cha kushangaza juzi walikuwa Dodoma wanagawana posho kwenye mkutano wa kujadili kwa nini wanashindwa kesi kibao mahakamani. Eliezer Feleshi anaingia katika kundi la watanzania wa kuchekesha zaidi kwenye fani yake, he is a JOKE DPP. Sidhani kama anaweza kuwaambia wanae kuwa mimi ni mwendesha mashtaka mkuu wakati hajui definition ya Ughaidi, aibu aibu aibu kwa wasomi wa nchi hii kuendeshwa na wanasiasa. Yote sababu ya njaa na insecurity.

usimshangae deep rest(DR) Eliezer Feleshi product ya walimu wetu ambao kila kukicha wanakandamizwa hivyo ni lazima watoe kitu premature.
 
Hii inaonyesha kwamba bado kuna maofisa na watendaji wamaosimamia haki bila kujali matakwa ya mafisadi.

Hongera sana jaji Simon Lukelelwa. Mungu yuko nawe, Mungu yuko Na watanzania wote wapenda haki
 
Kwa wote wapenda amani nawaomba tuanze kumchunguza huyu DPP Feleshi kuhusu PhD yake isijekuwa aliandikiwa na mwingine maana si jambo la kawaida kwa kiwangwa cha elimu yake kuendelea kuumiza watanganyika. Namna hii. Jamaa ni kilaza ile mbaya.
Huyu Dr Eliezer Feleshi ni janga la kidunia, anaidhalilisha sana hiyo ofisi ya Mwendesha mashtaka. Kwa kuwa hakutegemea kama atapata hiyo kazi na huenda alitumia ushirikina kuipata, anajikuta hawezi kukataa kitu akiambiwa na Mwigulu Nchemba. Nashindwa kuelewa hiyo PhD aliisomea ya nini kama anashindwa hata kuelewa definition ya neno ughaidi, cha kushangaza juzi walikuwa Dodoma wanagawana posho kwenye mkutano wa kujadili kwa nini wanashindwa kesi kibao mahakamani. Eliezer Feleshi anaingia katika kundi la watanzania wa kuchekesha zaidi kwenye fani yake, he is a JOKE DPP. Sidhani kama anaweza kuwaambia wanae kuwa mimi ni mwendesha mashtaka mkuu wakati hajui definition ya Ughaidi, aibu aibu aibu kwa wasomi wa nchi hii kuendeshwa na wanasiasa. Yote sababu ya njaa na insecurity.
 
Sijui hata kesi za kimataifa kama tutaweza shinda kwa kutumia ofisi ya huyu dpp,ikiwa ataendelea kutumika na wanasiasa
 
Haki na usawa ndo mafanikio ya taifa.kila la Kheri majaji katika kutenda haki.
 
nawalaani wamwagia watu tindikali. huo ni uovu mbaya sana unaopaswa kukemewa kwa hali zote

ninyi CCM mnamwagiana tindikali wenyewe ili kutafuta kesi za kuwabambikiza chadema lakin Mungu yu pamoja nasi CDM tutafika mbali tu. Ninyi uwaneni kwan mlimtaka kumuua Mwakyembe mbunge wenu sembuse hao wadogo.
 
Mwisho wa Ubaya aibu kila siku mvua inawanyeshea!Mwigulu :wave:
 
Nape,nchemba,ritz,hammy d,faiza etc, naombeni maoni yenu juu ya hili. Au mko kwenye kikao cha faragha kumtafutia huyu jaji kashfa? Au sisi chadema tumemhonga jaji wenu? Haki kwenye haki ..... Hujitenga
 
kuwaelewa ccm na mabo yao inabidi uwe na akili ya mwendawaziu kutwa majukwaani ugaidiugaidiugaidi hata maana yake hawaifahamu wapuuzi sana hawa......walioanza na Mungu watamaliza na Mungu
 
Mjinga mpe ela,pombe,mke mzuri, gari na nyumba apo ata kuwaza hawazi na anaweza akakuandikia shitaka lolote lile analojisikia ata kama hana ushahidi.
 
Back
Top Bottom