Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

Hivi unammwagia bnadamu mwenzako acid unasema huo sio ugaidi,unaratibu kumtesa mtanzania mwenzako napo unasema sio Ugaidi?Sheria inaweza pindishwa kwa nguvu ya mawakili waliopo bt ukweli utabak pale pale wats goes around,,,,,,,,,,,,!
Kuna tofauti ya makosa ya kigaidi na makosa ya jinai. Si kila jinai ni ugaidi.

Tena hayo yote ya kumwagia tindikali na kutesana yalifanywa na wana CCM wenyewe (greenguard) wakishirikiana na usalama wa Taifa ili wapate mtaji wa kisiasa wa propaganda ya UGAIDI, na hata kwenye kesi ya jinai iliyobaki watashindwa tu. NDIO UKWELI unaosemwa na MWANAUKWELI.

Tafuteni propaganda nyingine, hiyo mmeshindwa kabisa.

Au mwambieni JK ampe Mwigulu Nchemba cheo cha Ujaji.
 
Mimi nilisema mara nyingi sana hapa jamvini kuwa maccm yanashindwa kutofautisha ugaidi na jinai yaani terrorism na crime. Sasa wao walikimbilia ugaidi sababi halina dhamana.maccm nima pinda sana.basi tuu..huyu kikwete amalize muda wake ajiondokee hana maana yoyote.

Kama leo pm anapelekwa mahakamani bila shaka kutakuwa na majaribio ya kumpeleka The hague,ima yeye au vibaraka wake.
 
Kuna tofauti ya makosa ya kigaidi na makosa ya jinai. Si kila jinai ni ugaidi.

Tena hayo yote ya kumwagia tindikali na kutesana yalifanywa na wana CCM wenyewe (greenguard) wakishirikiana na usalama wa Taifa ili wapate mtaji wa kisiasa wa propaganda ya UGAIDI, na hata kwenye kesi ya jinai iliyobaki watashindwa tu. NDIO UKWELI unaosemwa na MWANAUKWELI.

Tafuteni propaganda nyingine, hiyo mmeshindwa kabisa.

Au mwambieni JK ampe Mwigulu Nchemba cheo cha Ujaji.

nchemba hana uwezo wa kufikiri,hivyo interpetation ya legal provisions hata weza kabisa na anaweza kujinyea mahakamani akibanwa na mawakili
 
Back
Top Bottom