Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Ninamuombea apone haraka jamani ili siku moja aje akatenda HAKI NA HAKI TU bila ushawishi wa kisiasa nyuma yake. Ewe Mungu wa rehema mponye kijana huyu arudi kazini haraka, Amen.

Wana jamvi salaamu. Kna jammaa mmoja aliniambia kuwa yule Judge aliye mvua Lema Ubunge ameparalyze.

Naombeni kama kuna mweny taarifa zaidi atujuze
 
Taarifa kutoka kwa mpambanaji amenivutia simu muda si mrefu na kunipasha habari kuwa,yule Mtanzania mwenzetu aliyetoa hukumu ya kutengua ubunge wa Mbunge wa Arusha mjini amepooza mguu.

Sitaki kusema ni laana za wana Arusha,bali ni hali ya kawaida kwa wanadamu maana tumeumbiwa na maradhi pia.

Nawasilisha.
 
Mungu ametufundisha kusamehe....'eee Mwenyezi Mungu umponye Hakimu wetu emen'.

Please msiihusishe CDM na msala huu!!!
 
Itakuwa ni CDM imemshughulikia.

Imani potofu zitawamaliza, bundi na paka wasilile mtaani ingawa nao wana haki ya kuishi hapo !!! mvua isinyeshe wakati jua linawaka, paka asilale chali !!! Kwa kuna mtu alifahamu kuhusu uumbwaji wake kabla ya kuzaliwa na kupata akili ? Huyo aliyekupa uhai, akili na utashi analipwa nini na nani ?
 
Mbona taarifa za afya za hakimu aliyempatia ushindi Mnyika au yule aliyetupilia mbali kesi ya Lissu hatupewi? Fungua akili zako.

Nimtazamo wako ila kumbuka MUNGU siyo mwanadamu aseme uhongo nakumbuka wana wa Arusha walifunga na kusali kwa asiku 7 kufunga ni kujitolea dhabihu kama wewe ni mkristo unajua kila kitu kuhusu kunga na kusali kama ukumu ile ilikuwa ni ya haki sawa ila ugonjwa ni sehemu ya mwanadamu kwa hiyo basi msijiulize maswali mengi mkachoka bure hakimu wa Mnyika alitenda haki na Lissu pia alitenda haki
 
Taarifa kutoka kwa mpambanaji amenivutia simu muda si mrefu na kunipasha habari kuwa,yule Mtanzania mwenzetu aliyetoa hukumu ya kutengua ubunge wa Mbunge wa Arusha mjini amepooza mguu.

Sitaki kusema ni laana za wana Arusha,bali ni hali ya kawaida kwa wanadamu maana tumeumbiwa na maradhi pia.

Nawasilisha.
Hii habari ni kweli na niliiweka jana lakini kwa msshangao mkubwa baada ya kufika pege ya pili ilifungiwa sijui kwasababu gani niliwauliza mods lakini mpaka sasa sijajibiwa...
 
Mbona taarifa za afya za hakimu aliyempatia ushindi Mnyika au yule aliyetupilia mbali kesi ya Lissu hatupewi? Fungua akili zako.
Uliipitia hukumu ya kesi ya Lema au unabwabwaja tu...
 
Namsikitikia kama ni kweli! ukijumlisha na huu mgomo wa Madaktari? Labda wampeleke India!
 
Dah! Jana niliambiwa kuwa amefariki. Kumbe si kweli?

Aiseeeeee hiyo avatar yako inakiuka haki za wanawake....ngoja waione akina preta lazima waandamane...huyo jaji afe kabisa..............
 
Mbona taarifa za afya za hakimu aliyempatia ushindi Mnyika au yule aliyetupilia mbali kesi ya Lissu hatupewi? Fungua akili zako.

Kama walishinda kwa haki kwanini wasipongezwe?

Matusi aliyotuhumiwa kuyatoa bwana Lema,na yale ya mh.Lusinde yapi yanatakiwa yapewe adhabu ya kuvuliwa ubunge?

Hata hivyo hii ni taarifa,mambo yakwanini hatujaleta taarifa za waliotoa hukumu ya Lissu na JJ Hazina mashiko.
 
Back
Top Bottom