Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Kwa usalama wa Jaji huyu, mimi nashauri ange "UN DO" mchakato mzima wa Hukumu ya kesi ya Lema.
 
kama ulikuwepo siku ya kutoa tamko rasmi la chama juu ya kuvulia ubunge lema utakuwa una jibu sahihi, na kama umefatilia kilicho wapata wale wagawa sanda kule Lindi utakuwa na jibu...
sisi tuna Mungu, wao wana pesa.
Mkuu, bado si lazima kupooza kwa jaji kuhusisjwe na hukumu aliyotoa dhidi ya lema. Think again! Nafikiri tumwombee apone kabisa na kisha aone kamanda anavyorudi mjengoni kwa kishindo!
 
na huu mgomo wa madaktari sijui huduma atazipata wapi sijui ndiyo atapelekwa apolo maana kimbilio lake lili kuwa moi...
 
Mgetafuta kwanza ukweli wa taarifa hii kabla ya kuanza kufurahia na wengine mnataka kuandaa sherehe. Mtoa uzi, lete source na picha kwanza ndo tuanze kufunguka.
 
Jaji gabriel rwakabarila huyu huyu nliekutana nae jana akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kikazi au kuna mwingne?acheni uzushi

Wacha kukanusha kila jambo ila unayo haki ya kuboresha taarifa; ukweli ni kwamba alipatwa na stroke akaletwa yuko hoi hapo Muhimbili ametibiwa na ana kliniki ya tatizo hilo....kwa sasa Mungu amemjaalia ana nafuu. Kuumwa ni kwetu sote na Mola ndie hakimu wetu sote, tuombeane heri, tusameheane pale tunapokwazana. Tusiombeane mabaya wakulu lakini pia tusiwe waongo kwenye ukweli wa taarifa.
 
CDM JF wanashangilia kupooza kwa mtanzania mwenzetu, haohao wanashabikia mgomo wa madaktari unaolenga kupoteza maisha ya watanzania. Hiki ni chama chenye mapenzi na watanzania. Nakumbuka mpigania haki marehemu Chacha Wangwe aka Ras alipoingilia maslahi ya CDM 'mungu' wa akina crashwire akamshukia.
 
Wana jamvi salaamu. Kna jammaa mmoja aliniambia kuwa yule Judge aliye mvua Lema Ubunge ameparalyze.

Naombeni kama kuna mweny taarifa zaidi atujuze
 
Back
Top Bottom