Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Malipo ni hapa hapa duniani. Mungu amejibu sala/maombi ya wana-Arusha pamoja na mjungo wa mbunge wetu Lema. Hata JK nchi inamshinda kutokana na manung'uniko na simanzi iliyopo moyoni mwa wananchi, kwa hiyo nae Mungu anamuadhibu kiaina... Huyo Jaji naomba pia, mikono na mdomo upooze pia...
 
huyu mbona adhabu yake ndogo sana...kuna wale walokuwa wanagawa sanda kule kwenye jimbo la chikawe kule kusini kule wakati wa oparesheni okoa kusin wale jamaa wawili na mmoja akiwa ni diwani..wao adhabu ilikuwa ni kifo...walikufa mmoja baadaya mwingine....
 
Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................
 
Wana JF,

Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.

unataka kusema Lema kamtupia jini mauti.... sijaona sababu ya kumuhusisha Lema kwenye ugonjwa wa kibinadamu.

Mahakama ndio iliyotoa hukumu sio jaji na ndio maana jaji akikiuka sheria kuna kukata rufaa.
 
Tunashukuru kwa taarifa, sidhani kama ni busara kuhukumu kwani kisasi ni kazi ya mungu kulipa na anasema hivyo katika maandiko matakatifu.....
 
Jaji gabriel rwakabarila huyu huyu nliekutana nae jana akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kikazi au kuna mwingne?acheni uzushi
Kuna chama majungu ni mtaji.
Wiki hii wameanza na Simbachawene-imethibitika uongo
Leo Jaji wa Lema
Hawajui uongo ni sifa kuu ya yule mwovu.
 
Malipo ni hapa hapa duniani.
Mungu amejibu sala/maombi ya wana-Arusha pamoja na mjungo wa mbunge wetu
Lema. Hata JK nchi inamshinda kutokana na manung'uniko na simanzi
iliyopo moyoni mwa wananchi, kwa hiyo nae Mungu anamuadhibu kiaina...
Huyo Jaji naomba pia, mikono na mdomo upooze pia...

Na wote tuseme Amina.
 
Ni sala za dini ipi zinazomshirikisha Mungu kutenda mauvu??????????? kumshirikisha Mungu kumvunja miguu jaji.

Kama Mungu angekuwa anashiriki kwenye sala za kuombea mabaya hapa JF wangebaki watu 3 tu.

Hakuna binadamu asiyetenda dhambi.
 
Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................
Mkuu we wamyooshea Lema kidole kuwa ana dhambi nyingi kwani we huna dhambi ndugu? Mbona unamhukumu kamanda whilst sisi wanadamu si wasafi??
 
Ni sala za dini ipi zinazomshirikisha Mungu kutenda maovu??????????? kumshirikisha Mungu kumvunja miguu jaji.

Kama Mungu angekuwa anashiriki kwenye sala za kuombea mabaya hapa JF wangebaki watu 3 tu.

Hakuna binadamu asiyetenda dhambi.
 
Lahana ya kutotenda ibilisi amemshughulikia ipasavyo,ni bora afe mapema huyo!!
 
Ni wakati Muhafaka wa yeye kuja mbele ya Public nakusema ukweli!Ugua Pole Rwakabarila
 
Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................

Wewe ni nani hadi umuhesabie dhambi Lema. Una mamlaka yoyote ya kumsaidia Mungu kazi?
 
Naomba Mungu ampe afya njema ili ashuhudie siku CHADEMA itakapochukua nchi
 
Tumwombe kwa Rab apone,mengine tumwachie yeye.
Mwenye haki atastawi kama mtende.
 
Ni sala za dini ipi zinazomshirikisha Mungu kutenda maovu??????????? kumshirikisha Mungu kumvunja miguu jaji.

Kama Mungu angekuwa anashiriki kwenye sala za kuombea mabaya hapa JF wangebaki watu 3 tu.

Hakuna binadamu asiyetenda dhambi.

Anayeadhibu ni swaitwani, ila mpaka apate kibali.

God is more powerful than Satan: 1 Jn 4:4 "greater is He..."
[FONT=verdana, arial, sans-serif]In Revelation 12:10 Satan is referred to as "the accuser of our brethren." The word "accuse" is defined, "(1) to charge with, or declare to have committed a crime, (2) to find at fault; to blame . . ."[/FONT]
[FONT=verdana, arial, sans-serif]But he is never allowed to touch Godly anointed people. NK[/FONT]
 
Back
Top Bottom