Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Ruta hili nalo neno.

Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................
 
Ingia
http//www.2bidy.com

kisha tafuta wimbo wa Lema #KWANINI MUNGU ULIYARUHUSU#
 
Hapa ndio mungu anapoonekana, kama yuda eskarioti alivyoshindwa pa kuvipeleka vipande vile vya pesa, na huyu jaji asubiri kunyea debe, amewapoka maelfu ya watanzania, watoto na wajukuu wao maisha yao kwa ujaji wa kikwete ambao judiciary system inaongelea wazi kuwa ni wimbi la majaji waliogubikwa na tamaa ya fedha na ni hatari kubwa sana kwa taifa letu, bado na kikwete nae siku zake sijui kwa nini zinachelewa, tupige magoti na kumlilia mungu huyu bwana miaka miwili baada ya ikulu atakua barabarani akipitisha kopo sasa la kujiombea yeye na rizwani, angalie mubaraka yuko wapi? familia ya gadafi je? sembuse yeye? mungu nisamehe lakini huyu jaji tuendelee kupewa taarifa zake za kukosa huduma za bure za serikali, maana hiyo huduma ni kodi yetu na mioyo yetu imekataa kwa hiyo hataonja lulu ya jasho letu. bwana ametoa na bwana ametwaa
 
Wana JF,

Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.

Tulianza na Mungu,tutamaliza na Mungu.Haki ya mtu haipotei,huwa inacheleweshwa tu.M4C daima tutaeleweka tu na sauti zetu zinazolilia toka mbali.
 
Kiwewe cha mtenda maovu hata kama hajafanyiwa chochote lazima aweweseke na kujikuta anapata madepression yasiyo na mpango
 
Naamini hao waliofunga ndio wale wale waliofunga pindi kamanda Chacha Wangwe alipotaka kuvuruga chama kwa kuhoji matumizi ya fedha za chama.
Ecoli acha masihara, usicheze na Mungu ukapata madhara na wewe!
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka yule mbunge (Mudhihiri) aliyetoa hoja kuwa Zitto atimuliwe bungeni
 
Na mkono wa katibu mkuu ulipooza kwa malipo ya nani?
 
Si vema kulipiza baya kwa baya. Ninamwombea Mungu ampe ahueni apone haraka na aje kuujua ukweli wa dhambi aliyotutendea Watanzania na kuitubu.

Acha hizo weweeeee......yaani unifanyie ubaya afu nikulipi wema??? huo ndo uduanzi...Baya=Baya n
 
Back
Top Bottom